figganigga
Platinum Member
- Oct 17, 2010
- 28,132
- 64,416
hivi gentleman,Tungekuwa na Taasisi imara za kupambana na Uhujumu Uchumi na Utakatishaji fedha, basi Diamond na Mke wake wangekuwa washahojiwa. Japo waelezee waloleta hela wana uhusiano gani.
Wasanii wa bongo wanashiriki kutakatisha fedha.. Kwenye Kitchen party, Harusi(zinazovunjika baada miezi kadhaa) birthday nk.
Mtu anaduka Sinza la nguo la thamani ya Milioni 20, lakini zawadi anatoa Milioni 100..
Huku unakuta benk anadaiwa Milioni 10 tena🤣🤣
Yaani fedha zinazotolewa kama zawadi ni mbinu za Wahujumu Uchumi uingiza pesa chafu kwenye mzunguko.
Anapewa hela kwenye Camera labda Milioni miatano au hata Bilioni moja(Mfano Harusi ya Katoro) Kisha Pesa zinapelekwa Benk. Baada ya hapo wananza kurudishiwa wahusika.
Pesa nyingi zinazotolewa huwa zinarudishwa kwwa Wahusika.
Bila Serikali kuingilia kati, Umasikini Tanzania hauwezi kuisha..
Nchi ishajiozea hii.. Bora liende mwenye hela ndo mwenye sauti.
CCM Chama cha MajambaziTungekuwa na Taasisi imara za kupambana na Uhujumu Uchumi na Utakatishaji fedha, basi Diamond na Mke wake wangekuwa washahojiwa. Japo waelezee waloleta hela wana uhusiano gani.
Wasanii wa bongo wanashiriki kutakatisha fedha.. Kwenye Kitchen party, Harusi(zinazovunjika baada miezi kadhaa) birthday nk.
Mtu anaduka Sinza la nguo la thamani ya Milioni 20, lakini zawadi anatoa Milioni 100..
Huku unakuta benk anadaiwa Milioni 10 tena🤣🤣
Yaani fedha zinazotolewa kama zawadi ni mbinu za Wahujumu Uchumi uingiza pesa chafu kwenye mzunguko.
Anapewa hela kwenye Camera labda Milioni miatano au hata Bilioni moja(Mfano Harusi ya Katoro) Kisha Pesa zinapelekwa Benk. Baada ya hapo wananza kurudishiwa wahusika.
Pesa nyingi zinazotolewa huwa zinarudishwa kwwa Wahusika.
Bila Serikali kuingilia kati, Umasikini Tanzania hauwezi kuisha..
Nchi ishajiozea hii.. Bora liende mwenye hela ndo mwenye sauti.
Tungekuwa na Taasisi imara za kupambana na Uhujumu Uchumi na Utakatishaji fedha, basi Diamond na Mke wake wangekuwa washahojiwa. Japo waelezee waloleta hela wana uhusiano gani.
Wasanii wa bongo wanashiriki kutakatisha fedha.. Kwenye Kitchen party, Harusi(zinazovunjika baada miezi kadhaa) birthday nk.
Mtu anaduka Sinza la nguo la thamani ya Milioni 20, lakini zawadi anatoa Milioni 100..
Huku unakuta benk anadaiwa Milioni 10 tena🤣🤣
Yaani fedha zinazotolewa kama zawadi ni mbinu za Wahujumu Uchumi uingiza pesa chafu kwenye mzunguko.
Anapewa hela kwenye Camera labda Milioni miatano au hata Bilioni moja(Mfano Harusi ya Katoro) Kisha Pesa zinapelekwa Benk. Baada ya hapo wananza kurudishiwa wahusika.
Pesa nyingi zinazotolewa huwa zinarudishwa kwwa Wahusika.
Bila Serikali kuingilia kati, Umasikini Tanzania hauwezi kuisha..
Nchi ishajiozea hii.. Bora liende mwenye hela ndo mwenye sauti.
Hapana.. Naonea Huruma TanganyikaUnamuonea wivu zuchu?
SawaUmasikini unatengeza roho mbaya na kuwachukia waliofanikiwa bila sababu za msingi...
Wachina wapo busy na vindege upo kimya kisa watu kumchangia mtoto wao unataka kutengeneza kesi..
Uzuri wa kuwaombea watu mabaya huwa yanawarudia kwa njia nyingine na siku ingine..
Hii karma huwa inarudi ni kitu kibaya kuwaza mabaya kwa wengine...Sawa
NilishasemaTungekuwa na Taasisi imara za kupambana na Uhujumu Uchumi na Utakatishaji fedha, basi Diamond na Mke wake wangekuwa washahojiwa. Japo waelezee waloleta hela wana uhusiano gani.
Wasanii wa bongo wanashiriki kutakatisha fedha.. Kwenye Kitchen party, Harusi(zinazovunjika baada miezi kadhaa) birthday nk.
Mtu anaduka Sinza la nguo la thamani ya Milioni 20, lakini zawadi anatoa Milioni 100..
Huku unakuta benk anadaiwa Milioni 10 tena🤣🤣
Yaani fedha zinazotolewa kama zawadi ni mbinu za Wahujumu Uchumi uingiza pesa chafu kwenye mzunguko.
Anapewa hela kwenye Camera labda Milioni miatano au hata Bilioni moja(Mfano Harusi ya Katoro) Kisha Pesa zinapelekwa Benk. Baada ya hapo wananza kurudishiwa wahusika.
Pesa nyingi zinazotolewa huwa zinarudishwa kwwa Wahusika.
Bila Serikali kuingilia kati, Umasikini Tanzania hauwezi kuisha..
Nchi ishajiozea hii.. Bora liende mwenye hela ndo mwenye sauti.
Endeleeni kujitekenya na kujichekesha wenyewe kama Mazuzu na malevi ya GongoNilishasema
Mkiona jambo linaungwa mkono na kitengo (The Mwashambwaz) Lucas Mwashambwa ni famba na jinai iliyohalalishwa.
Umenena kweli
Mmezoea kutuona sisi mazuzu. Safari hii mgonjwa kapiga chafya, wachawi hamkani si shwariEndeleeni kujitekenya na kujichekesha wenyewe kama Mazuzu na malevi ya Gongo
Maisha ni akili tu bossTungekuwa na Taasisi imara za kupambana na Uhujumu Uchumi na Utakatishaji fedha, basi Diamond na Mke wake wangekuwa washahojiwa. Japo waelezee waloleta hela wana uhusiano gani.