Zawadi kwa Diamond na Zuchu ni utakatishaji fedha. Serikali ipo kimya

Zawadi kwa Diamond na Zuchu ni utakatishaji fedha. Serikali ipo kimya

Tungekuwa na Taasisi imara za kupambana na Uhujumu Uchumi na Utakatishaji fedha, basi Diamond na Mke wake wangekuwa washahojiwa. Japo waelezee waloleta hela wana uhusiano gani.

Wasanii wa bongo wanashiriki kutakatisha fedha.. Kwenye Kitchen party, Harusi(zinazovunjika baada miezi kadhaa) birthday nk.

Mtu anaduka Sinza la nguo la thamani ya Milioni 20, lakini zawadi anatoa Milioni 100..

Huku unakuta benk anadaiwa Milioni 10 tena🤣🤣

Yaani fedha zinazotolewa kama zawadi ni mbinu za Wahujumu Uchumi uingiza pesa chafu kwenye mzunguko.

Anapewa hela kwenye Camera labda Milioni miatano au hata Bilioni moja(Mfano Harusi ya Katoro) Kisha Pesa zinapelekwa Benk. Baada ya hapo wananza kurudishiwa wahusika.

Pesa nyingi zinazotolewa huwa zinarudishwa kwwa Wahusika.

Bila Serikali kuingilia kati, Umasikini Tanzania hauwezi kuisha..

Nchi ishajiozea hii.. Bora liende mwenye hela ndo mwenye sauti.
Hao unaofikiri ndio wana sauti ya kukemea cha ajabu ndio wamewapa kuzizungusha hapo sasa ndio utafuraji mwenyewe.
 
Back
Top Bottom