Zawadi kwaajili ya wapenzi wetu

ndege JOHN

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2015
Posts
21,643
Reaction score
51,642
Wakuu Kuna binti fulani wife material nimempenda Sana nimeona nijiingize na Mimi katika mahusiano mchumba nishamtongoza na sasa Bado ananifikiria fikiria kwa kuwa Bado muoga wa haya mambo Basi naendelea kusubiri na mtoto Ni bikra kabisa Hili liko wazi.(Kuna watu watabisha ila nasema ukweli msiniulize nimejuaje)

Sasa Jana Kuna mmama fulani mtu mzima tu akanishauri kuwa nisimwendee haraka kutaka penzi kwa huyu binti Bali niliwe liwe Kwanza hela za uchumba taratibu mtoto atavutiwa tu na Mimi na hatimaye mzigo nitakula kilaini nikaona poa Ni wazo jema.

Kufupisha maelezo Ni kwamba mzeebaba nimeamua Sasa kujitusu nikasema acha nipunguze matumizi ya pombe ili hizo hela nazopata nimchukulie huyu mwanamke vijizawadi.isiwe kesi haya mambo hayana formula ila nawashauri na nyie wakuu wenzangu muwe mnawachukulia zawadi wapenzi wenu halafu tubadilishane uzoefu tuambie umemnunulia kitu gani tujifunze kuimarisha penzi.

Kama Ni gari,au ped,au simu,au nguo chochote kipost.Mimi leo nimeanza na chupi na sabuni ya dalani ni zawadi na sio jukumu langu coz mtotom anaishi Bado kwa wazazi. Niombeeni tusije kuachana Naye huyu mtoto maana Kama Ni kuamua nimeamua kwakweli.Na kesho nikipata hela namchukulia mafuta ya nywele mazuri au Dera.

[emoji23][emoji23][emoji23]Aisee

Utuletee pia mrejesho wa responce yake baada ya kupokea zawadi.
 
Mkuu uko sahihi kabisa lakini nakushauri Kila Jambo fanya kwa kiasi ....utakuja kunishukuru baadaye ...na kama ni zawadi au pesa hakikisha kua isizid sana kiasi kwamba ikitokea bahati mbaya mmezinguana roho ikuume
 
[emoji23][emoji23][emoji23]Aisee

Utuletee pia mrejesho wa responce yake baada ya kupokea zawadi.
Nimeshampa.. mtoto kwa kuwa muoga akaanza kuona aibu akasema kwanini namletea vishawishi umeskia me Sina chupi Chukua vitu vyako..mzee baba nikamwambia tulia Ni kwa ajili yako Tumia nikaondoka zangu nikimwacha anatabasamu
 
Hizo ndio tabia za wanaume karibu wote,hapo umependa huoni wala husikii,ukishakaa nae siku mbili tatu vizawadi vinaanza kupungua vyenyewe automatically,ila nakutakia kila la kheri kwahuyo mchumba wako,maombi na sala pia navyo ni muhimu ili kukufanya uweze kudumu naye...
 
Mkuu uko sahihi kabisa lakini nakushauri Kila Jambo fanya kwa kiasi ....utakuja kunishukuru baadaye ...na kama ni zawadi au pesa hakikisha kua isizid sana kiasi kwamba ikitokea bahati mbaya mmezinguana roho ikuume
Asante mkuu uzuri ni kwamba nature ya maisha yangu yenyewe hairuhusu kumpa hata kitu Cha kuzidi Ten kwa sababu ten yenyewe ndo posho yangu ya siku mbili.
 
Nimeshampa.. mtoto kwa kuwa muoga akaanza kuona aibu akasema kwanini namletea vishawishi umeskia me Sina chupi Chukua vitu vyako..mzee baba nikamwambia tulia Ni kwa ajili yako Tumia nikaondoka zangu nikimwacha anatabasamu
Sawa mkuu pambania kombe.

Mtoto kabila gani?..mnyaturu?
 
Asante mkuu uzuri Ni kwamba nature ya maisha yangu yenyewe hairuhusu kumpa hata kitu Cha kuzidi Ten kwa sababu ten yenyewe ndo posho yangu ya siku mbili.
Nakubali [emoji817][emoji110]
 
Asante mkuu uzuri Ni kwamba nature ya maisha yangu yenyewe hairuhusu kumpa hata kitu Cha kuzidi Ten kwa sababu ten yenyewe ndo posho yangu ya siku mbili.
Inamaanisha akitokea mkulungwa akapanda dau na akatangaza ndoa unanyang'anywa tonge mdomoni?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…