ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,643
- 51,642
Wakuu Kuna binti fulani wife material nimempenda Sana nimeona nijiingize na Mimi katika mahusiano mchumba nishamtongoza na sasa Bado ananifikiria fikiria kwa kuwa Bado muoga wa haya mambo Basi naendelea kusubiri na mtoto Ni bikra kabisa Hili liko wazi.(Kuna watu watabisha ila nasema ukweli msiniulize nimejuaje)
Sasa Jana Kuna mmama fulani mtu mzima tu akanishauri kuwa nisimwendee haraka kutaka penzi kwa huyu binti Bali niliwe liwe Kwanza hela za uchumba taratibu mtoto atavutiwa tu na Mimi na hatimaye mzigo nitakula kilaini nikaona poa Ni wazo jema.
Kufupisha maelezo Ni kwamba mzeebaba nimeamua Sasa kujitusu nikasema acha nipunguze matumizi ya pombe ili hizo hela nazopata nimchukulie huyu mwanamke vijizawadi.isiwe kesi haya mambo hayana formula ila nawashauri na nyie wakuu wenzangu muwe mnawachukulia zawadi wapenzi wenu halafu tubadilishane uzoefu tuambie umemnunulia kitu gani tujifunze kuimarisha penzi.
Kama Ni gari,au ped,au simu,au nguo chochote kipost.Mimi leo nimeanza na chupi na sabuni ya dalani ni zawadi na sio jukumu langu coz mtotom anaishi Bado kwa wazazi. Niombeeni tusije kuachana Naye huyu mtoto maana Kama Ni kuamua nimeamua kwakweli.Na kesho nikipata hela namchukulia mafuta ya nywele mazuri au Dera.