Zawadi niliyopewa na mpenzi wangu siku ya "Full Moon" 18.02.2022

Wakwaya
Screenshot_20220307-194357_Chrome.jpg
 
Bhanigini bhane,

Mimi sio mdau wa mahaba licha ya kwamba nina mapenzi tele. Mahaba ndio chachandu ya mapenzi, mambo ya kuitana bebi, switi hati hayo kwangu ni matumizi mabaya ya sauti.

Kunyonyana madenda na kubusubusu kwangu hizo ni kero. Mambo ya kukumbatiana ni kupakana tu taka sumu za mwilini, huo ndio msimamo wangu siku zote.

Sasa nina huyu mrembo, mtoto wa Lucas, mtoto kutoka kabila la Wakyaya, sijui kaifanya nini akili yangu.

Yàani mimi kweli nimekuwa mtu wa kulia asipopokea simu yangu kweli??? Hakika nina jishangaa.

Yaani siku hizi nimeanza tabia mbaya ya kummiss huyu mwanamke hadi nadata.

Siku ya Ijumaa 18.02.2022 ilikuwa ni siku ya mwezi mpevu, full moon 🌝 🌕 night. Na binti aliniahidi kwamba ana zawadi yangu.

Basi jioni akanifuata ofisini, akaniambia nisitingishike wala kujichezesha, niache gari yangu hapo hapo ofisini tutatumia yake.

Nikaingia kwenye gari yake, tukaenda hadi ufukweni, pale kwenye Njia ya Utelezi.
Kumbe kisha fanya arrangement ya private boat.

Aisee, maisha haya ninayoishi sasa najiona nimeasi asili yangu, yaani huyu mrembo ananinyonya mdomo, nasikia raha badala ya kero, halafu Kamanda Guninika anakuwa mgumuuu, mkubwaaaaa, bibie ananiambia don't rush, I am your baby tonight.

Michezo mingi niliyokuwa naona ni kinyume na UKUSHI niliofundishwa na Ngariba wangu KISENDI NYANDA NTALIMA MPANDAGOYA, sasa ndio inanidatisha.

Mechi inapigwa kwenye open space, mbele ya melikebu, mwanga unameremeta, mawimbi ya bahari yanatoa sauti mwanana. Mwanga unatengeneza vivuli vizuri...... halafu mrembo Happy anakwambia nitang'aa siku zote maishani mwako kama hii mbaramwezi.

Penzi langu kwako litaongezeka kila siku kama maji ya bahari yaongekezavyo kutokana na global warming.

Mtoto anajikunja kama samaki, mara kama upinde wa mvua, dah..... Happy Lucas mtoto wa Kikwaya ulikuwa wapi siku zote hizo kuifanya dunia kuwa paradise yangu?

Nimekumiss tena, ngoja niweke simu chini nianze kukuwaza upyaaaaaaaa.

Nitakupa burudani kama zile za peponi, ukienda msalani nikubebe mgongoni. I am finito
😄😄😄 aya ya kwanza nimecheka
 
Braza hongera sana kwa kubadilishiwa timmimg zako za kijubah! Siku zote huwa nasema mapenzi ya kweli yapo kwa wanawake wasio wabinafsi na wenye mipunga😅

Wale fisi wa jf hawawezi kukatisha hapa wameachwa ucci kabisa!
Duh....
 
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😅😂😅😅😅😅😅😂😂😂😂😂😅😅😅😅😅😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😅😅

Sijui mnafeli wapi wazee ila msikate tamaa penzi la kweli liko kwa wanawake aina ya Happy mtoto wa Kikwaya!
Kweli, demu ana njaa unafikiri kwanini asigongwe kiboya ili ale?
 
Bhanigini bhane,

Mimi sio mdau wa mahaba licha ya kwamba nina mapenzi tele. Mahaba ndio chachandu ya mapenzi, mambo ya kuitana bebi, switi hati hayo kwangu ni matumizi mabaya ya sauti.

Kunyonyana madenda na kubusubusu kwangu hizo ni kero. Mambo ya kukumbatiana ni kupakana tu taka sumu za mwilini, huo ndio msimamo wangu siku zote.

Sasa nina huyu mrembo, mtoto wa Lucas, mtoto kutoka kabila la Wakyaya, sijui kaifanya nini akili yangu.

Yàani mimi kweli nimekuwa mtu wa kulia asipopokea simu yangu kweli??? Hakika nina jishangaa.

Yaani siku hizi nimeanza tabia mbaya ya kummiss huyu mwanamke hadi nadata.

Siku ya Ijumaa 18.02.2022 ilikuwa ni siku ya mwezi mpevu, full moon [emoji275] [emoji281] night. Na binti aliniahidi kwamba ana zawadi yangu.

Basi jioni akanifuata ofisini, akaniambia nisitingishike wala kujichezesha, niache gari yangu hapo hapo ofisini tutatumia yake.

Nikaingia kwenye gari yake, tukaenda hadi ufukweni, pale kwenye Njia ya Utelezi.
Kumbe kisha fanya arrangement ya private boat.

Aisee, maisha haya ninayoishi sasa najiona nimeasi asili yangu, yaani huyu mrembo ananinyonya mdomo, nasikia raha badala ya kero, halafu Kamanda Guninika anakuwa mgumuuu, mkubwaaaaa, bibie ananiambia don't rush, I am your baby tonight.

Michezo mingi niliyokuwa naona ni kinyume na UKUSHI niliofundishwa na Ngariba wangu KISENDI NYANDA NTALIMA MPANDAGOYA, sasa ndio inanidatisha.

Mechi inapigwa kwenye open space, mbele ya melikebu, mwanga unameremeta, mawimbi ya bahari yanatoa sauti mwanana. Mwanga unatengeneza vivuli vizuri...... halafu mrembo Happy anakwambia nitang'aa siku zote maishani mwako kama hii mbaramwezi.

Penzi langu kwako litaongezeka kila siku kama maji ya bahari yaongekezavyo kutokana na global warming.

Mtoto anajikunja kama samaki, mara kama upinde wa mvua, dah..... Happy Lucas mtoto wa Kikwaya ulikuwa wapi siku zote hizo kuifanya dunia kuwa paradise yangu?

Nimekumiss tena, ngoja niweke simu chini nianze kukuwaza upyaaaaaaaa.

Nitakupa burudani kama zile za peponi, ukienda msalani nikubebe mgongoni. I am finito
[emoji134][emoji134][emoji134][emoji134][emoji134][emoji134]

Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
 
Penzi jipya linakuwa na mbwembwe nyingi sana, hongera sana na kila lakheri.
 
Back
Top Bottom