Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Dewuji ni tapeliHivi ni kweli kwamba pamoja na maandalizi yote ya pambano la ndondi dhidi ya Mmexico , Ibra tuzo aliyostahili ni Bajaji ?
Hivi ndivyo wenzetu Duniani wanavyofanya au mimi ndio sielewi ?
Yale yale ya bil 20 !Dewuji ni tapeli
Naunga mkono hojaTulia wewe,
Kama una Ford ranger mpe uwaridhishe watanzania
hata mimi sijaelewaYale yale ya bil 20 !
Ngoja tunyamaze tuhata mimi sijaelewa
Kuna mambo ya kujiuliza:Hivi ni kweli kwamba pamoja na maandalizi yote ya pambano la ndondi dhidi ya Mmexico , Ibra tuzo aliyostahili ni Bajaji ?
Hivi ndivyo wenzetu Duniani wanavyofanya au mimi ndio sielewi ?
Nishatulia mkuu , maana sina Ford ranger la kugawa bureTulia wewe,
Kama una Ford ranger mpe uwaridhishe watanzania
Basi hayaHapo Ni Tangazo tuu la biashara tuu mshiko wake kashachukua...Mo ana promote bajaji zake ni kama alivyowapa wachezaji pikipiki Mo mjanja
Sent from my SM-G9650 using JamiiForums mobile app
Kwa hiyo ulitaka akanunue kabisa kwa mwingine sh. milioni 8 sio?Mo ni sungura, katoa bajaji ambayo thamani ni milioni 8, lakini kwake thamani si hiyo yeye kwa beinza jumla usikute anachukua kwa milioni 4-5 kama wakala.
Watu walalamishi hata uwape niniHapo Ni Tangazo tuu la biashara tuu mshiko wake kashachukua...Mo ana promote bajaji zake ni kama alivyowapa wachezaji pikipiki Mo mjanja
Soma tena!!Kwa hiyo ulitaka akanunue kabisa kwa mwingine sh. milioni 8 sio?
Kavuta bei gani ?Mshiko ashavuta, Mo anapromote bajajo zake