Zawadi ya Bajaj ni halali kwa Ibrahim Class?

Zawadi ya Bajaj ni halali kwa Ibrahim Class?

Hivi ni kweli kwamba pamoja na maandalizi yote ya pambano la ndondi dhidi ya Mmexico , Ibra tuzo aliyostahili ni Bajaji ?

Hivi ndivyo wenzetu Duniani wanavyofanya au mimi ndio sielewi ?
Kuna mambo ya kujiuliza:
  • hiyo bajaj ndio malipo au ni zawadi ya nyongeza?
  • makubaliano ya mkataba wa promota/waandaaji yakoje?
  • kabla ya udhamini huu, walikuwa wanapewa zawadi kubwa kuliko bajaj?
 
Back
Top Bottom