Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
pesa itasaidiakataa ndoa ni wahujumu mapenzi 🐒
ni maandalizi ya dependants wa uzeeni kwasbabu ya ubinafsi tu hawana wa kuwasaidia ni kutegemea huruma za watu 🐒
haiwezekani sukari ipo halafu kwa makusudi mtu anaificha, anaefaidi ni sabuni bafuni 🐒
R.I.P Laigwanan comrade ENL
wafadhili wamechoka kuwahudumia wazee wachukua sheria mikononi 🐒pesa itasaidia
mimi naona bibi na babu hawauguzwi na watoto wao, watoto wao wanalipa watu wawauguze
halafu sio lazima mtu awe familia ndo akusaidie, family comes in many forms
Sisi tunaHata kukaa bila ndoa kuna changamoto pia.
kataa ndoa ni wahujumu mapenzi 🐒