Zawadi yangu ya Valentine kwa mwenyekiti wa kataa ndoaw

pesa itasaidia

mimi naona bibi na babu hawauguzwi na watoto wao, watoto wao wanalipa watu wawauguze

halafu sio lazima mtu awe familia ndo akusaidie, family comes in many forms
 
Ujue mkuu sio kataa ndoa wote wanapiga nyeto ndo mana kuna nchi kama Denmark umalaya ni kazi halali kwa ajili ya watu kama hawa.Anaenda huko anapata safe sex anarudi nyumbani kwake.

Mimi naamini ndoa ni kitu kizuri ila kuna wanasayansi hapa duniani kama wasingekua kataa ndoa na watoto wasingegundua vitu vingi ambavyo vinatusaidia leo hii.
Kindeena
 
Hata kukaa bila ndoa kuna changamoto pia.
Sisi tuna
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…