Zay B vs Sister P

Zay B vs Sister P

Hakuna dada mwenye busara na akili nyingi sana humu jukwaani kama wewe. Muelekeze mdogo wako juu ya mausha haya ya kimapenzi na maisha yote kwa ujumla. Miss Queen njoo kwangu. Mdharau wosia wa dada yake,ataleta mrejesho wa kuumizwa na kulogwa
Bembeleza
 
Mshana ni mtu mzuri ila hawezi kuwa serious na wewe [emoji2] [emoji2] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji85]
Mtani ninini hiki? [emoji15] [emoji15] [emoji115]
 
Kama kitaa tu toto.. wapo wanao aminika na wasioaminika cheza karata yako vizuri[emoji51] .. usiogope idadi usiogope kupiga chini wasioeleweka ukimpata unayemtaka tulia mpende vilivyo ..
Sa si uwe unampa na mifano hai!
 
Back
Top Bottom