Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 25,258
- 48,589
- Thread starter
-
- #21
Ni ajabu sana ni sawa na wale waislamu wakikupigia simu wanasalimia asalamu alekuuu kufikir wote ni waislamu na wanajua iyo salamu yaoNi bora wakaanisha maudhui kulingana na dini na imani za wananchi. TV ya umma unajaza maudhui ya dini moja tu haipendezi. Kama wanaupenda uislam ni bora waanzishe ZBC chaneli ya maudhui ya kikristo kama wanashindwa kubalansi vipindi vya dini katika TV hiyo
Ndo mnavofundishwa na dini yenu ya haki kuwaita binadamu wenzenu Kafiri, ama kwel mna safar ndefu sanaKuna ZBC 2 hii ni ya Azam TV na imewekwa special kwaajili ya Dini tu, na kuna ZBC hii inamilikiwa na SMZ hii inajumuisha mambo yote taarifa ya habari, Ngoma, Dini, michezo, mpaka Dini yenu ya kikafiri wana vipindi vyao humo, Wacha kulalamika Kafiri Waheed we
huyo ni mdini ataharibu uziSizani kama hapo juu katika maandiko yangu nimemtukana mtu ila ajabu sana kwako umenituka lekebisha kauli. Hapa tunaelimishana na sio kutukanana
Zanzibar ni nchi ya kidini? Hapana. Ata kama waislam ni wengi, katiba hairuhusu hicho. Udini sasa hivi umezidi sana.Lakini asilimia kubwa ya Wazanzibar ni Waislaam, hivyo sioni sababu ya kushangaa kitu hicho. Pia "nchi yao" ni ndogo sana hivyo ni vigumu sana kupata maudhui mbali mbali.
Kuna mambo huwezi kuyabadilisha sasa sehemu 98% no waislamu unategemea nini? Waweke kwaya? Ule ni utamaduni wa watu wa zanzibar na lazima uheshimiwe, ramadhani inakuja utaratibu wetu ni ule ule bakora tu kwa makobeNaomba kufahamishwa ilo ZBC nani mmiliki na kama serikali tunajua kuwa serikali haina Dini why iwe imejikita kwenye dini?
Tunaona TBC haijaegemea upande wowote zaidi ya upande wa serikali maudhui ya TBC sana sana kuonyenyesha miradi inayo endelea na mambo mengi ya serikali
Lakini kwa ZBC nitofauti kabisa ni dini mwanzo mwisho sijui kama kuna mfanya kazi pale ambaye ni mkristo
Ni wabaguzi sana waleZanzibar ni nchi ya kidini? Hapana. Ata kama waislam ni wengi, katiba hairuhusu hicho. Udini sasa hivi umezidi sana.
Mkuu sisi kwetu dini kwanza mengine baadae. Allahu akhbar!Naomba kufahamishwa ilo ZBC nani mmiliki na kama serikali tunajua kuwa serikali haina Dini why iwe imejikita kwenye dini?
Tunaona TBC haijaegemea upande wowote zaidi ya upande wa serikali maudhui ya TBC sana sana kuonyenyesha miradi inayo endelea na mambo mengi ya serikali
Lakini kwa ZBC nitofauti kabisa ni dini mwanzo mwisho sijui kama kuna mfanya kazi pale ambaye ni mkristo
Ila sheria?Mila na desturi siyo jambo la muungano.
KumbeeZanzibar ni nchi! Hayo ni mambo ya Zanzibar ambayo hayaingiliwi na JMT.
Sipo zenji ila ningekuwepo ningekuwa nakula tena njianiKuna mambo huwezi kuyabadilisha sasa sehemu 98% no waislamu unategemea nini? Waweke kwaya? Ule ni utamaduni wa watu wa zanzibar na lazima uheshimiwe, ramadhani inakuja utaratibu wetu ni ule ule bakora tu kwa makobe
Ndio maana ata wasomi kwenu wachacheMkuu sisi kwetu dini kwanza mengine baadae. Allahu akhbar!
๐๐Imewekwa hiyo channel kuwafurahisha wafia dini, basi hapo wanajiona wapo dunia nyingine, ila channel zao nyingine zipo sawia
Inamilikiwa na "ISLAMIC REPUBLIC OF ZANZIBAR"Naomba kufahamishwa ilo ZBC nani mmiliki na kama serikali tunajua kuwa serikali haina Dini why iwe imejikita kwenye dini?
Tunaona TBC haijaegemea upande wowote zaidi ya upande wa serikali maudhui ya TBC sana sana kuonyenyesha miradi inayo endelea na mambo mengi ya serikali
Lakini kwa ZBC nitofauti kabisa ni dini mwanzo mwisho sijui kama kuna mfanya kazi pale ambaye ni mkristo
zanzibar sio nchi? noma sanaIle sio nchi na haipaswi kuwa ivyo
Hao wasomi wenu nyinyi wamewasaidia nini mpaka sasa mkuu. Kila kukicha mnalalamika maisha magumu, pesa hamna, ajira hamna, vifaa tiba na madawa hamna...mbona hatuoni positive impact yao yoyote zaidi ya kujinufaisha wao?..Ndio maana ata wasomi kwenu wachache
Hapo kwenye kuwaita watu makafiri ndio hua mnaonesha ni kiasi vichwa vyenu ni vitupu mnatumia vichwa kuhifadhi mate badala ya akili mazezeta kabisa ๐ฎ๐ฎ๐ฎKuna ZBC 2 hii ni ya Azam TV na imewekwa special kwaajili ya Dini tu, na kuna ZBC hii inamilikiwa na SMZ hii inajumuisha mambo yote taarifa ya habari, Ngoma, Dini, michezo, mpaka Dini yenu ya kikafiri wana vipindi vyao humo, Wacha kulalamika Kafiri Waheed we