Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 25,258
- 48,589
- Thread starter
- #41
Navyojua nchi ni Tanzania zanzibar ni sehemu ya Tz mbona wana uraia wa Tanzania?zanzibar sio nchi? noma sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Navyojua nchi ni Tanzania zanzibar ni sehemu ya Tz mbona wana uraia wa Tanzania?zanzibar sio nchi? noma sana
Wana msaada sana mpaka hapo mlipofika ni sababu ya wasomi wa TzHao wasomi wenu nyinyi wamewasaidia nini mpaka sasa mkuu. Kila kukicha mnalalamika maisha magumu, pesa hamna, ajira hamna, vifaa tiba na madawa hamna...mbona hatuoni positive impact yao yoyote zaidi ya kujinufaisha wao?..
Acha sisi tuendelee kumtafuta Mollah.
Kwa, zenj,serikali ni islam, na islam ni serikali, maamuzi mengi yanafanyika kwa jicho LA uislam unataka nini! Hawaangalii vigezo vya ki uchumi,Naomba kufahamishwa ilo ZBC nani mmiliki na kama serikali tunajua kuwa serikali haina Dini why iwe imejikita kwenye dini?
Tunaona TBC haijaegemea upande wowote zaidi ya upande wa serikali maudhui ya TBC sana sana kuonyenyesha miradi inayo endelea na mambo mengi ya serikali
Lakini kwa ZBC nitofauti kabisa ni dini mwanzo mwisho sijui kama kuna mfanya kazi pale ambaye ni mkristo
Kweli nyinyi wenzetu elimu haijawasaidi.Wana msaada sana mpaka hapo mlipofika ni sababu ya wasomi wa Tz
Wewe na vyura huna utofautiKuna ZBC 2 hii ni ya Azam TV na imewekwa special kwaajili ya Dini tu, na kuna ZBC hii inamilikiwa na SMZ hii inajumuisha mambo yote taarifa ya habari, Ngoma, Dini, michezo, mpaka Dini yenu ya kikafiri wana vipindi vyao humo, Wacha kulalamika Kafiri Waheed we
Elimu jua ilo kwanza wasomi ni wachacheKwa, zenj,serikali ni islam, na islam ni serikali, maamuzi mengi yanafanyika kwa jicho LA uislam unataka nini! Hawaangalii vigezo vya ki uchumi,
Unazuia vileo visiingie kisiwani kisa, ni mfungo wa ramadhani! Wakati huo huo, uchumi wako, 80% inategemea utalii!,
Wazenj wengi wanafikria kupitia dini yao, quruan inachukua nafasi ya, katiba,
Huo ndio upuuzi, baba wa taifa la Uturuki, Mustafa ataturk, alipinga, na, akaweza kuijenga Uturuki vzr! Uturuki ni super power, na baa zipo kibao watu wanakula, haijalishi ni mfungo wa ramadhani au la! Kama Uturuki anafanya, sembuse nyie zenj!
huo utakuwa ni ushenzi kutandika watu bakora wanaokula mchana. Bara ukichapa mtu anaekula mchana utajibiwa vikaliKuna mambo huwezi kuyabadilisha sasa sehemu 98% no waislamu unategemea nini? Waweke kwaya? Ule ni utamaduni wa watu wa zanzibar na lazima uheshimiwe, ramadhani inakuja utaratibu wetu ni ule ule bakora tu kwa makobe
Dini zina wenyewe na ukitaka kudevelop angalia fursa ipo wapi nchi nyingi zakiarabu hawana hayo mamboKweli nyinyi wenzetu elimu haijawasaidi.
Tuishie hapo.
Engezea na kutokuwa na elimu skuli zipo ila hawataki kusomaKwani haujui kua hako kawilaya kanaongozwa kwa sheria za mnyaazi "mungu" mambo mengi ya kijamii wana yaendesha kidini zaidi bila kujali imani za watu wengine
Hao wanajitoa akili tuhuo utakuwa ni ushenzi kutandika watu bakora wanaokula mchana. Bara ukichapa mtu anaekula mchana utajibiwa vikali
IRZ?Inamilikiwa na "ISLAMIC REPUBLIC OF ZANZIBAR"
Hapo kwenye elimu ndio janga sasa, kuna ambao hadi leo wana kazania watoto wao habari za madrasa badala ya elimuEngezea na kutokuwa na elimu skuli zipo ila hawataki kusoma
YaapIRZ?
lile gazeti lao, mara rais alikuwa msikitini, mara kakutana kadhi, mara na mufti, mara kakutana na imaam wa msikiti fulani, gazeti la serikali front page linajaa uislam utadhani zanzibar ni nchi ya kiislamKwa, zenj,serikali ni islam, na islam ni serikali, maamuzi mengi yanafanyika kwa jicho LA uislam unataka nini! Hawaangalii vigezo vya ki uchumi,
Unazuia vileo visiingie kisiwani kisa, ni mfungo wa ramadhani! Wakati huo huo, uchumi wako, 80% inategemea utalii!,
Wazenj wengi wanafikria kupitia dini yao, quruan inachukua nafasi ya, katiba,
Huo ndio upuuzi, baba wa taifa la Uturuki, Mustafa ataturk, alipinga, na, akaweza kuijenga Uturuki vzr! Uturuki ni super power, na baa zipo kibao watu wanakula, haijalishi ni mfungo wa ramadhani au la! Kama Uturuki anafanya, sembuse nyie zenj!
mzazi mwingine ana mentality watoto wake kuwa masheikhHapo kwenye elimu ndio janga sasa, kuna ambao hadi leo wana kazania watoto wao habari za madrasa badala ya elimu
Kuna ubaya gani kuzidisha Mambo ya MunguIle sio nchi na haipaswi kuwa ivyo
Sijui watakuja elimishwa liniHapo kwenye elimu ndio janga sasa, kuna ambao hadi leo wana kazania watoto wao habari za madrasa badala ya elimu