ZBC ni ya serikali au ya Dini ya kiislamu

ZBC ni ya serikali au ya Dini ya kiislamu

Siku muungano utakapoisha Zanzibar inakuwa full islamic state
 
Natania bwana kupigana siyo sawa ingawa unatakiwa ukienda sehemu uheshimu mila na tamaduni zao
ni kero kulazimisha mtu aheshimu mila zako wakati hakuletei madhara. Mtu anakula mchana we utapataje madhara? Huu mwezi wa pili kuna dini wamefunga siku 40 na wengine wamefunga siku 30 mbali na wale wa kwaresma ambao bado hawajaanza funga yao, hakuna mtu anayebughudhiwa kwa kula mchana kwa kuwa wengine wamefunga
 
ni kero kulazimisha mtu aheshimu mila zako wakati hakuletei madhara. Mtu anakula mchana we utapatae madhara? Huu mwezi wa pili kuna dini wamefunga siku 40 na wengine wamefunga siku 30 mbali na wale wa kwaresma ambao bado hawajaanza funga yao, hakuna mtu anayebughudhiwa kwa kula mchana kwa kuwa wengine wamefunga
ni kweli ila zanzibara wana mila na tamaduni zao na ni nchi ile tusisahau kisa tu muungano, ukila kwa staha ni sawa ila siyo makusudi hadharani ili kuwakejeli watu na mila zao, watalii wenyewe wakija wanafahamu maswala ya utamuduni sembuse sisi wabongo
 
Sasa wazannzibari wenyewe 95% wewe unaumia ya nini, kuna aliyekulazimisha kuiangalia?

Ila nyie wakristo mna shida fulani na uislamu kuna kitu fulani kinawakereketa kooni mnaona wivu kwa chochote kuhusu uislamu. Japo kuna wakristo wazuri tu hawana shida na ni marafiki zetu sana tu
 
kama zanzibar ni sehemu ya jamhuri ya muungano wa Tanzania haifai ZBC kujaza maudhui ya kiislam kwa wingi katika vipindi vyake wakati ni nchi isiyoongozwa kwa misingi ya kiislam
Nenda katoe hayo maudhui basi
 
Zanzibar ina hadhi ya nchi lakini Zanzibar ukubwa wake ni kama mkoa huku bara kwa hiyo haina shida sababu ni utamaduni wa watu wahuko ,ni sawa ni huku bara ,mabasi kuweka nyimbo za kwaya kuanzia mwanzo wasafari mpaka mwisho safari ni kawaida, sababu wengi wanao safiri ni watu wa utamuduni huo kwa hiyo hiyo hamna shida.
 
Navyojua nchi ni Tanzania zanzibar ni sehemu ya Tz mbona wana uraia wa Tanzania?
seems hujawahi kwenda zanzibar so ni vigumu kukuelewesha and after all kitu wasichokijua wengi muungano baina ya bara na visiwani ni katika baadhi tu ya vipengele vichache ndio maana zanzibar ina bunge, serikali na mahakama ambayo ipo kwa maslahi ya wazanzibari.
 
lile gazeti lao, mara rais alikuwa msikitini, mara kakutana kadhi, mara na mufti, mara kakutana na imaam wa msikiti fulani, gazeti la serikali front page linajaa uislam utadhani zanzibar ni nchi ya kiislam
Basi hapo kafiri kidogo upasuke kwa hasira🤣🤣🤣
 
Naomba kufahamishwa ilo ZBC nani mmiliki na kama serikali tunajua kuwa serikali haina Dini why iwe imejikita kwenye dini?

Tunaona TBC haijaegemea upande wowote zaidi ya upande wa serikali maudhui ya TBC sana sana kuonyenyesha miradi inayo endelea na mambo mengi ya serikali

Lakini kwa ZBC nitofauti kabisa ni dini mwanzo mwisho sijui kama kuna mfanya kazi pale ambaye ni mkristo
ZBC ni mali ya Islamuc State of Zanzibar(ISZ); hakuna shida yoyote mkuu. Waache waendelee na mambo yao mkuu.
 
Kuna ZBC 2 hii ni ya Azam TV na imewekwa special kwaajili ya Dini tu, na kuna ZBC hii inamilikiwa na SMZ hii inajumuisha mambo yote taarifa ya habari, Ngoma, Dini, michezo, mpaka Dini yenu ya kikafiri wana vipindi vyao humo, Wacha kulalamika Kafiri Waheed we
Acha upuuzi wa kuita Watanzania wenzako makafiri kwa sababu tu ya kutokuwa wafuasi wa dini iliyoletwa kwa majahazi na mitumbwi.
 
Naomba kufahamishwa ilo ZBC nani mmiliki na kama serikali tunajua kuwa serikali haina Dini why iwe imejikita kwenye dini?

Tunaona TBC haijaegemea upande wowote zaidi ya upande wa serikali maudhui ya TBC sana sana kuonyenyesha miradi inayo endelea na mambo mengi ya serikali

Lakini kwa ZBC nitofauti kabisa ni dini mwanzo mwisho sijui kama kuna mfanya kazi pale ambaye ni mkristo
ni ya azam
 
Kuna ZBC 2 hii ni ya Azam TV na imewekwa special kwaajili ya Dini tu, na kuna ZBC hii inamilikiwa na SMZ hii inajumuisha mambo yote taarifa ya habari, Ngoma, Dini, michezo, mpaka Dini yenu ya kikafiri wana vipindi vyao humo, Wacha kulalamika Kafiri Waheed we
We mse...ngerema hauna ustaarabu na dini za watu
 
Back
Top Bottom