ZBC ni ya serikali au ya Dini ya kiislamu

Mbona waislamu hawalazimishi hata kwenda Vatican , vatican hakuna muislamu hata mmoja 😀 😀lawe huwezi kukutana tukilalamika ...Kila sehemu na sheria zake.
Una uwakika?
 
Kwahy wanao tazama iyo tv ni wanzanibar tu?
Tv ina maudhui huyapendi kuna haja gani ya kuangalia , mimi siangalii Tv yenye miziki kama Trace japo ipo.

Yaani uache kufuatilia mambo ya maana kwa mtazamo wako ufuatilie ZBC ?
 
Tv ina maudhui huyapendi kuna haja gani ya kuangalia , mimi siangalii Tv yenye miziki kama Trace japo ipo.

Yaani uache kufuatilia mambo ya maana kwa mtazamo wako ufuatilie ZBC ?
Ahahahha hapana kwakweli
 
Kwanini Azam wanatumia jina la ZBC 2 badalla ya kujiita Azam 9 au 8? wamepanga kutakatisha nini?
 
Ila nasikia ata kwenye ajira ni ngumu sana mkristo kupata au mtu anaetokea musoma kupata ajira pale
Sharti la kwanza la ajira uwe na kitambulisho cha mkazi ... Wewe wa musoma kukipata sio Rahisi
 
WAUMINI WENGI WA KIISLAM NI MAJUHA!

ZANZIBAR NI KISIWA KILICHOJAA MAJUHA KULIKO SEHEMU YEYOTE DUNIANI!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…