ZBC ni ya serikali au ya Dini ya kiislamu


View: https://x.com/AzatAlsalim/status/1890086680536969408
 
Hivi ccm ni uvccm kwa ajili ya watu hawa au
 
Ndio maana ata wasomi

Ndio maana ata wasomi kwenu wachache
Idadi ya watu Tanzania Bara ni ngapi na wasomi idadi yao ni wangapi?
Idadi ya watu Tanzania Visiwani ni ngapi na wasomi idadi yao ni wangapi? Me nahisi kwa asilimia km itakuwa inalingana tu kutokana na idadi ya watu au weee unaona vp?
Au wananchi wote wa Tanzania Bara ni wasomi?
Lkn yote 9 hao wasomi wa huko Bara wana mchango gani katika jamii? Hapa naomna uangalie kwa jicho la upeo sn. Jee wasomi wa huko bara wana mchango gani kwa jamii kutokana na usomi wao? Jee kwa umri wako ukiangalia ulipotoka mpk sasa unaona Tanzania bara chini ya wasomi na wabobezi inapaa au inadidimia?
 
Zanzibar ni nchi ya kiisilamu na serikali yake ni ya kiisilamu hivyo ZBC ambayo ni ya serikali inatekeleza mfumo wa nchi yao.
 
Zanzibar ni mkoa tuu sio nchi wapuuuzi wale wapemba
 
Zanzibar kila mita mia kuna msikitini, inategemea kwa mazingira hayo mjadala utakuwa nini?
 
Acha kupiga kelele kwenye forum za makafiri. Hiyo dini yenu ya ovyo mnayojitambia hajatokea hata mmoja wenu mvaa kanzu mwenye akili akatengeneza forum yoyote bongo
 
Kaka siyo vizuri kuita Dini isiyokua ya kwako Kafri. Wewe unaejihesabia kwamba Dini yako ni Bora kuliko ya mwezako ndio Kafri.

Mtume Mwenyewe Aliheshimu watu wasio waimani yake wewe ni zaidi ya Mtume wa Mwenyezi Mungu?

Nyinyi ndio wajinga wasioijua Dini ya Uislam na Matokeo yake wanaichafua mbele za watu kwamba ni Dini ya kibaguzi na kigaidi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…