Ze Comedy aka Orijino Comedy: Mwendelezo

Ze Comedy aka Orijino Comedy: Mwendelezo

Kada,

Umeliwa! Sisi tunajua mchezo wanaoucheza kina Rostam. Wamewatumia watu wengi kutetea mafisadi kwa njia mbalimbali. Wanalotaka ni kutuondoa kwenye mjadala wa kitaifa ulioibuliwa na wapinzani, laini hatuondoki ng'o! Naona wewe umeshajitumbukiza kwenye viatu vyao, kujaribu kutufanya na sisi tuelekeze mawazo yetu WANAPOTAKA wao. Hivi unafanya makusudi kutimiza haja yao au nawe umekumbwa bila kujua? Bwana ee, turudi square one, tujadili hoja ya msingi. Achana na hoja za kina Rostam na Lowassa kupitia Ze Comedy, tena tutawazomea hata hao Ze Comedy! Kada, amka usingizini usitumiwe!

mkuu umenikuna,
nadhani hao ze comedy wakiendekeza njaa za kuwakumbatia mafisadi dawa yao ni kuwazomea.. na hivo kibarua chao kuota majani ghafla!

Kwahiyo hawa mafisadi wanataka kutwambia kwamba kwa vile Slaa alifanya kosa huko nyuma basi nao ni halali wazidi kuiba pesa zetu?? na kutuingiza mikenge ya mikataba mibovu tena miaka 50??

Vyovyote vile ama slaa alikula hizo hela ama hajala... sisi shida yetu ni mafisadi wa raslimali za Taifa letu period!
 
Hapa sijaelewa somo. Kikundi cha sanaa(independent??) kumsakama Dr Slaa? Is this another mazingaombwe or what?
 
Hapa sijaelewa somo. Kikundi cha sanaa(independent??) kumsakama Dr Slaa? Is this another mazingaombwe or what?

Hizi ndizo mbinu za wanamtandao, kwa kuwa wanajua watuhumiwa wameshinda kujisafisha, mawaziri wamezomewa na sasa wanajua watu wengi wanafuatilia maigizo ya Ze Comedy, wakaamua wawatumie na hao ili kujaribu kufikisha usanii wao kwa watanzania! Serikali ya wasanii inaughilibu umma!
 
Mimi niko kimya ,lakini kazi ninayoifanya CCM watasikia maumivu yake.
Huwezi kuwa na uhakika wa habari na ukawa na akili timamu ukawapelekea Comedy waitoe.Wao na kipindi chao,dhumuni lao ni kuichekesha jamii.Serious issue hazipitii kwa the comedy
 
Napenda kumkumbusha Masatu na kada ma Jokofu ambao ni wasemaji wa CCM na watetezi wa mafisadi jambo moja kubwa . Slaa amekuwa katika Upinzani na Bungeni sasa ni terma ya pili . Slaa ni mwiba mkali kule karatu na CCM wamemtafuta kumuondoa katika kiti bila ya mafanikio ikiwa ni pamoja kutafuta kadhfa lakini hawajaiona na sasa wameamua kupika . It will backfire . Slaa ni mtu makini atajibu hoja hata kama imepitia kwa Ze Comedy na he will come out clean yet we will demand more explanation on the Buzwagi and BOT matters . Tutataka kujua pia juu ya magogo ya juzi bandarini who was behind the move kama ni wawekezaji ama Mkiubwa fulani serikalini ama ni janja yao ya kutaka kuzima a very serious issue.

Kanisa Katoliki lina utaratibu mkubwa wa kufanya kazi . Salaa anaheshimika mno miongoni na Mapdre na maaskofu wote . He opted to quit the priesthood lakini yeye bado ni Padre Slaa na hilo analijua .Alichofanya ni kuacha daraja la upadre na kuishi nje ya nyumba za Kanisa na kuendesha maisha yake kwa uwazi kila mmoja anajua na Kanisa linajua ndiyo maana hadi leo Kanisa linatambua mchango wake na hata alio kuwa nao kwenye mtandao wanamwita US kusema nao .

This is a serious error Ze Comedy wamefanya japokuwa wana haki yao kama Comedian lakini Slaa ataijibu .Slaa katoka kundini akiwa hana kashfa wala malalamiko. Kumbukuka Slaa akiwa Kanisani kama Padre he was above vimisaada kwa vilema . He was a man of issues na miaka yote hiyo kapambana na CCM hawakuona la kufumaniwa wala la vilema ndiyo wanaona leo ?

Tuna historia ya mapadre na maaskofu watukutu Tanzania . Kwa mfano Justin Samba wa Jimbo la Musoma (RIP) alifumaniwa kabla hajawa Rector Makoko Seminary lakini bado alikuwa Rector na akawa Askofu . Kuna watu wametuhumiwa kwa mambo ya kijinga kwa maana ya kijicho kama Fr.karugendo .Kagombana na Askofu wake kwa kusimamia wanyonge na project zao hawa ni wachache tu ambao tunawajua sisi wakatoliki .Leo Slaa inakuwaje ? Anyway he should also come out clean . Naamini ujumbe ameupata na let's wait .
 
Dr Slaa angekuwa na kashfa yeyote ile angekuwa amekwisha siku nyingi sana.
SISIEMU nyimbo zimewaishia, Miluzi imewaishia, Talalila zimewaishia na hata usanii uko mbioni kuwaishia.

Mtakoma Kulinga
 
duh, unanikumbusha mbali uliposema morse code, nakumbuka nipo mbeya miaka hiyooo mwalimu wangu mmoja hivi anaitwa mshumbusi, tulikuwa tunamuita morse code ! hahaaa, hapana sio morse code lakini nilichoshwa tu mkuu !

Huwezi kukaa mbeya wewe, ungekaa kule usingekuwa kuwadi wa mafisadi mimi mbeya nakujua. muulize msanii wako. wewe umekulia pwani
 
Mimi nadhani kuna umuhimu wa kuweka bayana vitu kadha wa kadha:
- Ze Comedy wamepata umaarufu kwa sababu wamekuwa wakitumia jukwaa la sanaa kuwasema na kuonyesha madhambi ya viongozi walioko madarakani. Kuna kipindi kule Dodoma baadhi ya viongozi walizungumza kuhusu kuwafungia.
- Ze Comedy inarushwa EATV ambayo inamilikiwa na Reginald Mengi
- Wiki 2 zilizopita, Ze Comedy walialikwa kwenye halfla Mnazi Moja na Makamu wa Rais Dr Shein alikuwa mgeni rasmi, Ze Comedy walimfunika Shein!
- Mengi alikuwa Marekani akiongozana na JK wamerudi last week
- Ze Comedy imeanza kuwakejeli na kuwadhihaki wapinzani, lakini cha ajabu Zitto Kabwe hawakumdhihaki wakati alipofungiwa bungeni.

Let us look at the chain of events alafu tutafakari. Nadhani wale wanaosema kwamba kuna 'spinning' inayofanyika hawajakosea. Lakini sasa officially, Dr Slaa hatakiwi kujibu lolote. Ze Comedy cannot be taken seriously na atajishusha hadhi kulumbana nao, lakini pia there's a danger that if he ignores the audience might take it to be true. It's a Catch 22 and a well spun story.
Tuangalie Dr Slaa atatengue vipi kitendawili hiki, I do not underestimate him.
 
Najua wapo watakaoniunga mkono na watakao nipinga. Kwa sababu wananchi hawana pesa ya kuwanunua Ze Comedy kama wafanyavyo akina Rostam Aziz silaha pekee tuliyonayo ni kuwazomea na kutoangalia kipindi chao. Comedy Ziiii! Comedy wanawatete mafisadi!!1 Kwanini hao ze Comedy wasioneshe pesa za wananchi zinavyoliwa? kwanini wasioneshe wagonjwa wanaolala chini sakafuni na wengine wanalala kitanda kimoja watu 4? Kwanini wasioneshe ubovu wa bara bara zetu na reli yetu wakati watu wanajenga mahekalu huko mbezi?


Ze comedy wasipoangalia watakufa natural death. Hawa ze Comedy hawajui wananchi ndio wateja wao wakuu? Jamani kwa wale wanaonieunga mkono lets us tuwakomeshe hawawanasiasa njaa Ze Copmedy.
 
Hawa dawa yao ni kuwazomea,tutawamaliza mara moja,umaarufu wao utapukutika.
 
Wazee,
kwanini muhangaishane na ze comedy?? waacheni waendelee kuganga njaa zao....bad calculations zao ndizo zitawamaliza!! adui nambari moja wa ze comedy ni ze comedy yenyewe. Watachuja na kupauka kama 'kitenge' cha urafiki, time will tell!! suala hili liachiwe wananchi ambao ni mashabiki ze comedy kulitolea uamuzi, hamna haja ya sisi kutoa "death sentence." Uwezo wa kufikiria wa masanja ni mdogo, hajui kwamba ana-side na losing team....amshukuru Nyerere kwa elimu ya UPE, ama sivyo asingekuwa na uwezo wa kusoma hata hizo scripts zake za 'kidebwedo.'!!!
 
nadhani mtakuwa mnajizomea, yaani kuwazomea katika net kweli humu pia kuna ze comedy ! ndio kwanza mnawapa exposure, instead of destroying them you are just building them ! keep it up guys !
 
nadhani mtakuwa mnajizomea, yaani kuwazomea katika net kweli humu pia kuna ze comedy ! ndio kwanza mnawapa exposure, instead of destroying them you are just building them ! keep it up guys !

Kada sio sisi kuwazomea kwenye net maana the comedy inawezekana hawajui komputa nini. Hii ni kuwafungua wananchi ili wawazomee huko kwweye maonesho yao. Kama imewezekana kwa Mawaziri kwanini kwa isiwezekane kwa hili? Unajua wananchi wengi sana wanawaangalia na naaamini ze Comedy wanaweza kuelimisha jamii sana kwa njia ya sanaa yao na wanaweza pia kuipotosha jamii. Unajua ni watu wangapi wana soma magazeti Tz na kujua kuna ufisadi? na uhakika wanaoangalia ze comedy ni wengi kuliko wanaosoma magazeti na wanaojua upuuzi unaoendelea nchini. Ze comedy kama wasanii na kama kioo cha jamii wanaweza kutumika kwa manufaa zaid na sio kwa hivyo wanavyonunu na akina RA. Any way wananchi wenyewe ndio wataamua kuwamaliza au kuwa jenga.
 
sasa unadhani kila mwananchi ana computer ili waweze kupata hizo info ?
 
Huwezi kukaa mbeya wewe, ungekaa kule usingekuwa kuwadi wa mafisadi mimi mbeya nakujua. muulize msanii wako. wewe umekulia pwani

haya kuwadi ! ongea kama unanijua, nadhani 5 in 6 post utakazoandika ni lazima zihusu kada !
 
sasa unadhani kila mwananchi ana computer ili waweze kupata hizo info ?


No sidhani kama kila mwananchi anacomputer kupata hizi informatio. Computer is one way pia kuna njia nyingi kama kwa walioko bongo text mesage, by mouth etc.
 
Napenda kumkumbusha Masatu na kada ma Jokofu ambao ni wasemaji wa CCM na watetezi wa mafisadi jambo moja kubwa .
This is a serious error Ze Comedy wamefanya japokuwa wana haki yao kama Comedian lakini Slaa ataijibu .Slaa katoka kundini akiwa hana kashfa wala malalamiko. Kumbukuka Slaa akiwa Kanisani kama Padre he was above vimisaada kwa vilema . He was a man of issues na miaka yote hiyo kapambana na CCM hawakuona la kufumaniwa wala la vilema ndiyo wanaona leo ?

Tuna historia ya mapadre na maaskofu watukutu Tanzania . Kwa mfano Justin Samba wa Jimbo la Musoma (RIP) alifumaniwa kabla hajawa Rector Makoko Seminary lakini bado alikuwa Rector na akawa Askofu . Kuna watu wametuhumiwa kwa mambo ya kijinga kwa maana ya kijicho kama Fr.karugendo .Kagombana na Askofu wake kwa kusimamia wanyonge na project zao hawa ni wachache tu ambao tunawajua sisi wakatoliki .Leo Slaa inakuwaje ? Anyway he should also come out clean . Naamini ujumbe ameupata na let's wait .

Isuue hapa hawajamaa hatutaki watumiwe na CCM kama ni hivyo wajitangaze wzi kama walivyo akina TOT. Ila naamin wanafanya kosa la kitekinicali.
 
Kada,
Hebu nipe logic yako, maana I become confused! Kama Dr. Slaa alikuwa na madhambi hapo zamani, basi alikuwa hana haki kuwafichua mafisadi? Please where is your logic here?

Unajua kwa nini hadi sasa CCM wameshindwa kujibu mapigo na kuwatumia ze comedy and the like kujibu haya mapigo? Is only because they know they do not have any means to clean this. All flopped, from Kingunge to Warioba; and the so called culprits (list of shame themselves). Who went to courts?

The difference is, you may come with all allegations against Dr. Slaa, but you must write it well, look well arranged, with full names, examples, papers, quotes, figures like the way a Dr. Slaa report appears.

Dr. Slaa report is an unprecedent report, which is very well written, and this have left everybody naked, and included those we trusted! This can even torn the country!

Dr. Slaa is not alone, many are behind him, including many Tanzanians who are for the development and painful for this nation; the difference between other Tanzanians and Dr. Slaa is; Dr Slaa has the gutts to present this openly; not a back-bencher.

The list with Dr. Slaa is only a tip of an iceberg; there are more classified! The datas can be accessed at will; we can't give the country to the dogs!!
 
Back
Top Bottom