Ze Comedy aka Orijino Comedy: Mwendelezo

Ze Comedy aka Orijino Comedy: Mwendelezo

"Mimi mbunge mzima...." ungekuwa waziri ingekuwaje Komba?
 
huyo mwandishi angemuuliza Komba kama anajua anagalau basic na abc's za literature na kazi zake,wananchofanya ze comedy ni sawa sawa na anachofanya masudi kipanya,the onlt difeerence is their means/medium of communications,wakati masudi kipanya anatumia carricature wao ze comedy is simply comedy but alla different forms of literature...mwabieni shule angalau hata form four tu
 
huyo mwandishi angemuuliza Komba kama anajua anagalau basic na abc's za literature na kazi zake,wananchofanya ze comedy ni sawa sawa na anachofanya masudi kipanya,the onlt difeerence is their means/medium of communications,wakati masudi kipanya anatumia carricature wao ze comedy is simply comedy but alla different forms of literature...mwabieni shule angalau hata form four tu

Mkuu Ibambasi umenifanya nikakumbuka mambo huyu Komba alikuwa akisomea ualimu pale Chuo Cha Ualimu Kleruu-Iringa enzi za TANU mimi kumuona Komba ilikuwa miaka 26 ya TANU mwaka 1976 kama utakumbuka wakati huo kulikuwa na harakati za maandalizi ya Kuzaliwa Chama kipya a.k.a CCM. Sisi wakati huo tulikuwa watoto wadogo sana nakumbuka niliwahi kuwasikia kaka zangu wakiimba ule wimbo wa kukibembeleza chama cha TANU: Wimbo wa Makamba..."Chama chetu kimetuongoza hadi uhuru tulipoupata kimeendelea kuongoza kufikia lengo Ujamaa, mwenyekiti Mwl Nyerere mwenye hekima na wingi wa sifaaa Tanzania x2 Ewe TANU ...........

Sasa kipindi hicho Komba alikuwa Mwanafunzi Mwalimu na kikundi chake na kipindi hicho kuwa mwalimu si lazima uwe umemaliza form four, kwa hiyo nakubaliana na wewe Mkuu Ibambasi huyu jamaa aende shule ili awe kidogo mwelewa wa masuala haya.
 
Hapo kweli mh kachemsha, naomba ajue kwamba huo ndo usanii, kwani hata kina steve nyerere wanaigiza hadi viongozi wa dunia iweje mh. aone sauti yake ni gharama. Acha vijana wakomaze usanii wao na sio kuwapa vitisho.
 
Mheshimiwa mbunge kweli ni chizi! yeye ni nani mpaka asiweze kuigwa? Mimi nawapa mkono wazee wa ze comedy waendelee na kazi yao maana kama serikali imewapa kibali na jamii infurahia burudani yao hakuna shida.
Mh. mbunge ukianza kufuatilia mambo kama haya tutakushangaa maana sijui huo muda utautoa wapi ikiwa mjimboni kwako tu kumekushinda.
 
Nimesikia na Mwenyekiti wa Kilabu cha Simba (Mzee Dalali) naye anataka kuwashitaki ze comedy eti waliigiza kuwa aliulizwa na wazungu kiiinglishi kuwa yeye ni kiongozi wa kilabu gani, akajibu "mmmmmmmmmmhhhhhhh" yaaani kama simba anaunguruma.

Jamani, ile NGUMBARU ya Nyerere iliishia wapi ?SASA TUWE NA NGUMBARU YA KIINGEREZA
 
Comedy au satire ni suala geni Bongo. Naona hawa waheshimiwa wamekosa masuala ya msingi ya kufanya.
 
Kwa wale wapenzi wa kipindi maarufu cha THE COMEDY Wangoje wiki ijayo

Hawa jamaa wa the comedy wataigiza igizo na wale mahujali walivyotapeliwa uwanja wa ndege na kuyayushwa kuhusu safari yao ya kwenda mecca

SASA HIVI IMEKUWA UTANI MITAANI DEREVA AKICHELEWA ABIRIA WANAMUULIZA UNAENDA MECCA ?
 
hahahh jamani mtuwekee na sie wa nje kwenye net hata kule kwenye east african tybe kule
 
Wana JF
Kweli ni vyema Ze Comedy ktania sura za watu hasa viongozi wa juu?
Naomba maoni.
 
Unajua maana ya utani? wacha kuleta vioja hapa.
 
Hii thread ilipaswa kuwa hapa ??? Mods ipelekwe kuleeee
 
Any problem with that dude?, and if its so then what about Cartoonists?
 
Wana JF
Kweli ni vyema Ze Comedy ktania sura za watu hasa viongozi wa juu?
Naomba maoni.

Uliwahi kusoma literature wewe?Unajua kazi ya fasihi?Wewe na Komba mna matatizo gani lakini?

Please go back to class and learn the basics of art and literature.
 
Wana JF
Kweli ni vyema Ze Comedy ktania sura za watu hasa viongozi wa juu?
Naomba maoni.

Mkubwa dhima halisi ya sanaa ni kufundisha, Kuadabisha na Kufichua Uovu, mfano Uwepo wa Mafisadi nchini na kuburudisha na zinaweza zikawepo nyingine nyingi hizi ni kwa uchache.

Sasa tatizo lipo wapi?

Mkubwa, JF sio mahala pa kuja kuchimba umbea ila ni mahala pa kuchuja Mbivu na Mbichi hasa kutoa HOJA NA MAPENDEKEZO JENZI kwa wananchi na Serikali kwa ujmla wake.

Plz Mod hamisha hiii.
 
Ni sawa kabisa Katuni za Masoud wa Kipanya huleta mafunzo fulani kwa jamii. Walichokifanya Ze Comedy ni kuwa na katuni hai badala ya katuni za kuchora. Kwa hiyo Ze Comedy ni katuni hai.
 
Back
Top Bottom