Angel Nylon
JF-Expert Member
- Jul 26, 2011
- 9,164
- 18,402
MashAllah. So nice, so sweet.
Ya rainbow jee waijua?
Ya rainbow jee waijua?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
farkhina kuja hii hapaEnnie amu BAK King'asti Angel Nylon [MENTION=166624] mimi49 Chocs Swts MziziMkavu shansarie Jerrymsigwa SHERRIF ARPAIO,@afto-arabica measkron
Afro-Arabica

farkhina kuja hii hapa View attachment 125597
mambo gani?
inakuwaje huo mchanganyiko yaani ktk bakuli hadi hii rangi
inakuwa kwenye mstari wake na hii kwenye mstari wake
farkhina kuja hii hapa View attachment 125597
farkhina ahsante!
sijaona mafuta yale umetumia wapi shosti!
halafu umenipa idea ya kutokupika keki bila blue band!
maana mamangu alikuwa mkaaaali na kuivisha sukari kwa blue band!ole wako ubadili uelekeo wa mkono!