Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kbd na Rich Woman piteni hapa
Asante kwa kuniita angalau sasa mnapata mwanga, ila inatamanisha hii keki loh
farkhina mwalimu wangu japo picha ni ndogo sana ila jitahidi tu uione nimefanya majaribio ya kupika keki japo sio ya zebra nilipika chocolate cake ilitoka lakini nilizidisha moto kidogo ikaungua hapo juu ikabidi nitoe eneo lililoungua, Asante naomba uendelee kunifundisha ili niendelee kupika na mimi nibobee
Inaonekana ni nzuri sana maashaAllah hongera...
Hapana mie sio mwalimu tunabadilishana ujuzi tu shoga angu
Asante dear wangu
Kwakweli tuendelee kubadilishana huo ujuzi halafu hapa ndani kuna uhaba wa nyuzi za upishi wa keki au labda sijatafuta vizuri.
Mate lita hapa!!
Yawezekana me nakumbuka nimeweka aina kama 3 tofauti
farkhinah yangu sio zebra ila ni cake, thanx mamii nazidi kupata maujuzi, barikiwa sana
Muhimu kuwa imewiva na ina ladha kama cake hiyo zebra itakuja vizuri mda mwengineView attachment 278360
My motivation