C chekx JF-Expert Member Joined Apr 5, 2014 Posts 591 Reaction score 343 Aug 22, 2015 #81 Mi tatizo langu ktk upikaji wa keki huwa haiumuki, na pia ndani inakua km ugali, natumia oven kuokea
F farkhina Platinum Member Joined Mar 14, 2012 Posts 14,568 Reaction score 16,917 Aug 22, 2015 Thread starter #82 chekx said: Mi tatizo langu ktk upikaji wa keki huwa haiumuki, na pia ndani inakua km ugali, natumia oven kuokea Click to expand... Unaweka unga mwingi ndio inakua ngumu au unaibake mda mrefu ama kwenye chombo kikubwa inakua flat
chekx said: Mi tatizo langu ktk upikaji wa keki huwa haiumuki, na pia ndani inakua km ugali, natumia oven kuokea Click to expand... Unaweka unga mwingi ndio inakua ngumu au unaibake mda mrefu ama kwenye chombo kikubwa inakua flat