Zebra cake

Zebra cake

Mi tatizo langu ktk upikaji wa keki huwa haiumuki, na pia ndani inakua km ugali, natumia oven kuokea
 
Mi tatizo langu ktk upikaji wa keki huwa haiumuki, na pia ndani inakua km ugali, natumia oven kuokea

Unaweka unga mwingi ndio inakua ngumu au unaibake mda mrefu ama kwenye chombo kikubwa inakua flat
 
Back
Top Bottom