issa yurry
JF-Expert Member
- Apr 20, 2014
- 626
- 818
Hawa majuha ccm wacheza na amani ya nchi ktk tundu ya choo
Sent from my TECNO CA7 using JamiiForums mobile app
Sent from my TECNO CA7 using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwanini sisi hatupigani na askari tunawafuata nyinyi ccm mitaani situnawajua munapoishi majimbani kwenu tunaanza na nyinyikwanzaila wewe uwe mstar wa mbele.si unaitwa umsolapagaz wa mashimo ya mfalme suleiman.yule bwana alikua shujaa kwelikwel.usiwe keyboard warrior. TOKA KWANZA WEWE KAMA UNAONA KUANZISHA NI RAHISI.AMANI YETU KWANZA.
Sent from my TECNO CF7 using JamiiForums mobile app
ila wewe uwe mstar wa mbele.si unaitwa umsolapagaz wa mashimo ya mfalme suleiman.yule bwana alikua shujaa kwelikwel.usiwe keyboard warrior. TOKA KWANZA WEWE KAMA UNAONA KUANZISHA NI RAHISI.AMANI YETU KWANZA.
Sent from my TECNO CF7 using JamiiForums mobile app
Safi sana ila usisahau kuna askari walikatwa vichwa na wengine walishazungukwa kwa hekima za wazee wakaachiwa lakini safari hii hakutakuwa na huruma. Mzee atakaezingua ataanzwa yeye.Walikufa na wengine walikimbilia shimoni Kenya safari hii hakuna atakayeweza kukimbilia shimoni watashughulikiwa hapa hapa tu!!
Haya ngoja tusubiri tarehe 28/10/2020 siyo mbali zimebaki siku 37 tu mkuu!!Safi sana ila usisahau kuna askari walikatwa vichwa na wengine walishazungukwa kwa hekima za wazee wakaachiwa lakini safari hii hakutakuwa na huruma. Mzee atakaezingua ataanzwa yeye.
Jiwe anataka kupita njia ileile aliyopita Mkapa ya machafuko hadi wapemba wengi kukimbilia shimoni mombasa,hizi figisu za nini,unatumia vyombo vya dola kubebwa unawaibia kura nayo haitoshi unawaengua,huko ni kukosa kujiamini na ccm inajua haipendwi si bara wala visiwani.Kunaweza kuleta mtafaruko ni bora NEC ifumbe macho kabisa.Waruhusu wagombea wote,kura ndio kipimo sahihi bara na visiwani.
Wewe mzamiaji unafurahia sawa Tanzania ingie kwenye Vita ili utilize malengo yenu, basi umefeli, Vita hatatokea Tanzania kama ilivyo kwa Corona au Covid 19Vita inalazimishwa kwa udi na uvumba
ni hapo dar itakapowakaWasikimbilie tu Shimoni 'Mombasa' kwa dawa watakayopewa
NEC na ZEC ni tume za uchafuzi.Naam kumekucha tume ya zanzibar ya uchaguzi imetangaza haya yafuatayo:-
Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC), imewaengua wagombea kumi na watano (15) kati ya hao kumi na mmoja (11) ni wa Chama Cha ACT-Wazalendo, CCM mmoja (1), CUF mmoja (1), UPDP mmoja (1) na Demokrasia Makini mmoja (1), waliokuwa wakigombea nafasi za Uwakilishi Zanzibar.
Sababu za kuondolewa ni kushindwa kufuata kanuni za uchaguzi katika kujaza fomu za uteuzi.
ACT-Wazalendo ni:-
1. Haji Ali Haji (Tumbatu).
2. Hassan Jani Masoud (Nungwi).
3. Haji Mwadini Makame (Kijini).
4. Juma Duni Haji (Mtoni).
5. Hasne Abdallah Abeid (Bububu).
6. Hamad Masoud Hamad (Ole).
7. Omar Ali Shehe (Chake Chake).
8. Khamis Rashid Khamis (Chonga).
9. Issa Said Juma (Micheweni/Konde).
10. Mmanga Mohammed Hemed (Konde/Tumbe).
11. Is-haka Ismail Shariff (Wete).
CUF ni:-
1. Juma Ali Juma (Ole).
Demokrasia Makini ni:-
1. Abbas Omar Abbas (Ole).
UPDP ni:-
1. Yussuf Said Hamad (Chake Chake).
CCM ni :-
1. Othman Ali Khamis (Mtambwe).
chanzo ni mwndishi Ally Mohammed kutoka zanzibar
Ingefaa uwaambie haya ndugu zako wa tume, maana hawa ndo chanzo cha kuvuruga amaniMkuu Mnapokuwa nyuma ya keyboard akili zenu huwa mnamkabidhi nani?
Unaposema wakianzishe ni kwa faida ya nani? Je unakuwa umewaza juu ya watoto wetu,akina mama na wazee wasiokuwa na pakukimbilia?
Ogopa sana kugombea mabaya.kuwa makini,hubiri amani na upendo
AMANI YETU KWANZA.
Swali fikirishi, endanda mgombea Urais toka ACT wazalendo akashinda Je anaweza amuru uchaguzi wa madiwani na wabunge urudiwe kwasababu ya dosari nyingi zilizojitokezaNaam kumekucha tume ya zanzibar ya uchaguzi imetangaza haya yafuatayo:-
Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC), imewaengua wagombea kumi na watano (15) kati ya hao kumi na mmoja (11) ni wa Chama Cha ACT-Wazalendo, CCM mmoja (1), CUF mmoja (1), UPDP mmoja (1) na Demokrasia Makini mmoja (1), waliokuwa wakigombea nafasi za Uwakilishi Zanzibar.
Sababu za kuondolewa ni kushindwa kufuata kanuni za uchaguzi katika kujaza fomu za uteuzi.
ACT-Wazalendo ni:-
1. Haji Ali Haji (Tumbatu).
2. Hassan Jani Masoud (Nungwi).
3. Haji Mwadini Makame (Kijini).
4. Juma Duni Haji (Mtoni).
5. Hasne Abdallah Abeid (Bububu).
6. Hamad Masoud Hamad (Ole).
7. Omar Ali Shehe (Chake Chake).
8. Khamis Rashid Khamis (Chonga).
9. Issa Said Juma (Micheweni/Konde).
10. Mmanga Mohammed Hemed (Konde/Tumbe).
11. Is-haka Ismail Shariff (Wete).
CUF ni:-
1. Juma Ali Juma (Ole).
Demokrasia Makini ni:-
1. Abbas Omar Abbas (Ole).
UPDP ni:-
1. Yussuf Said Hamad (Chake Chake).
CCM ni :-
1. Othman Ali Khamis (Mtambwe).
chanzo ni mwndishi Ally Mohammed kutoka zanzibar
Lengo la wananchi kuwachagua viongozi ni ili wawaongoze, ikiwemo kujali haki za watoto, kina mama na wazee. Lakini viongozi wanapo wasaliti wananchi na kuwadhulumu haki zao, hilo linakuwa sio lengo la wao kuwekwa madarakani. Ndio hapo wananchi wanapo wajibika kudai haki yao. Na kwa kuwa yeyote mwenye kudhulumu ameonesha nia hovu, hivyo ni lazima kwenye kudai haki kutakuwa na gharama. Hivyo ni jukumu la mamlaka kufikiria kuhusu watoto, kina mama na wazee juu ya dhulma wanayoifanya.Mkuu Mnapokuwa nyuma ya keyboard akili zenu huwa mnamkabidhi nani?
Unaposema wakianzishe ni kwa faida ya nani? Je unakuwa umewaza juu ya watoto wetu,akina mama na wazee wasiokuwa na pakukimbilia?
Ogopa sana kugombea mabaya.kuwa makini,hubiri amani na upendo
Juma Duni Haji si ndio yule (babu Duni) aliyegombea katika nafasi ya umakamo wa raisi wa JMT 2015? Ama ni mwingine? Kama ndio yeye ilikuwaje aweze kujaza fomu za umakamo halafu ashindwe kujaza za uwakilishi? Hili haliingii hata kwenye akili ya kuku licha ya binadamu. Katika hili sidhani kama ZEC wamefikiria mara 2 juu ya maamuzi yao.Naam kumekucha tume ya zanzibar ya uchaguzi imetangaza haya yafuatayo:-
Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC), imewaengua wagombea kumi na watano (15) kati ya hao kumi na mmoja (11) ni wa Chama Cha ACT-Wazalendo, CCM mmoja (1), CUF mmoja (1), UPDP mmoja (1) na Demokrasia Makini mmoja (1), waliokuwa wakigombea nafasi za Uwakilishi Zanzibar.
Sababu za kuondolewa ni kushindwa kufuata kanuni za uchaguzi katika kujaza fomu za uteuzi.
ACT-Wazalendo ni:-
1. Haji Ali Haji (Tumbatu).
2. Hassan Jani Masoud (Nungwi).
3. Haji Mwadini Makame (Kijini).
4. Juma Duni Haji (Mtoni).
5. Hasne Abdallah Abeid (Bububu).
6. Hamad Masoud Hamad (Ole).
7. Omar Ali Shehe (Chake Chake).
8. Khamis Rashid Khamis (Chonga).
9. Issa Said Juma (Micheweni/Konde).
10. Mmanga Mohammed Hemed (Konde/Tumbe).
11. Is-haka Ismail Shariff (Wete).
CUF ni:-
1. Juma Ali Juma (Ole).
Demokrasia Makini ni:-
1. Abbas Omar Abbas (Ole).
UPDP ni:-
1. Yussuf Said Hamad (Chake Chake).
CCM ni :-
1. Othman Ali Khamis (Mtambwe).
chanzo ni mwndishi Ally Mohammed kutoka zanzibar
Ninyi ndio mnailazimisha na nawashauri hata kuiota msiiote.Vita inalazimishwa kwa udi na uvumba