Zanzibar 2020 ZEC yawaengua wagombea wengi wa ACT-Wazalendo. Je ACT-Wazalendo itashiriki Uchaguzi?

Zanzibar 2020 ZEC yawaengua wagombea wengi wa ACT-Wazalendo. Je ACT-Wazalendo itashiriki Uchaguzi?

Kunaweza kuleta mtafaruko ni bora NEC ifumbe macho kabisa.Waruhusu wagombea wote,kura ndio kipimo sahihi bara na visiwani.
Hiyo inaonyesha upinzani ni mapoyoyo tu hata form wnashindwa kuwa makini kujaza wakati uchaguzi wa selikari za mitaa umeisha juzi tu?
 
Mkuu Mnapokuwa nyuma ya keyboard akili zenu huwa mnamkabidhi nani?

Unaposema wakianzishe ni kwa faida ya nani? Je unakuwa umewaza juu ya watoto wetu,akina mama na wazee wasiokuwa na pakukimbilia?

Ogopa sana kugombea mabaya.kuwa makini,hubiri amani na upendo
Ni vizuri maneno hayo hayo mazuri waambie pia wanao pangua wapinzania kwa makosa ya kutengeneza! Kwanini waatarishe amani kwa kutafuta ushindi? Bado kimbembe cha kutokutangaza watakao shinda!
 
sasa tumsubiri maali seif atakuja na lipi ?

hali ya zanzibar huenda ikabadilika wakati wowote kuanzia sasa.

stay tune

CCM wanatafuta njia ya kuufuta uchaguzi, solution ni kuwa provoke ACT hapa zanzibar waanzishe maandamano , kwani hali ya Tanganyika ni mbaya sana kwao.

Lissu amewakaranga vibaya sana , karibu na kuungua , hawaliki tena.
 
Hiyo inaonyesha upinzani ni mapoyoyo tu hata form wnashindwa kuwa makini kujaza wakati uchaguzi wa selikari za mitaa umeisha juzi tu?

Wewe payaya mbona umetuandikia lugha isiyofahamika??? selikari ni kitu gani hicho ??
 
naam kumekucha tume ya zanzibar ya uchaguzi imetangaza haya yafuatayo:...
Mbona kosa la kujaza fomu ni dogo sana kuliko mahitajio ya demokrasia na kulinda amani.Kama kweli walikosea kujaza fomu tume ingeliwaita na kuwafundisha namna ya kujaza fomu mpaka wakafanikiwa,Hao wa ccm waliopatia walijuwa vipi kujaza au walipewa semina kabla.

Mtua akikusudia ubaya basi mara nyingi hukutafutia visa na kukutega mwahala unamopita.Na kwa vile jeshi liko mikononi mwao na mazoezi wanaendelea basi wala hawajali malalamiko ya watu.Ni kama kwamba wanajisemea moyoni watafanya nini ? na wakifanya wataona.Hizi ndizo akili za kibabe zinavyokuwa.
 
Kabisa, tme ni sasa, tusubilie tamko la Viongozi wakuu wa Chama
Tamko lipi?

Lisu wakati anazindua kamapeni mbagala aliwaambia andamaneni nchi nzima ili wagombea wenu warudishwe!
Hakuna hata panya amethubutu kuandamana!

Sasa hilo neno unataka litoke mbinguni?
 
Kunaweza kuleta mtafaruko ni bora NEC ifumbe macho kabisa.Waruhusu wagombea wote,kura ndio kipimo sahihi bara na visiwani.
Hii ni suala la ZEC sio NEC tena. Lakini ikiwa wameshindwa kujaza fomu hawafai kuongoza maana kigezo kimojawapo ni ujazaji fomu.

Baraka Obama mara ya kwanza anaingia madarakani alikosea kuapa kwenye hadhara alijichanganya maneno. Alipofika Ikulu aliapishwa upya.

Sheria ni msumeno
 
CCM wanatafuta njia ya kuufuta uchaguzi, solution ni kuwa provoke ACT hapa zanzibar waanzishe maandamano , kwani hali ya Tanganyika ni mbaya sana kwao.

Lissu amewakaranga vibaya sana , karibu na kuungua , hawaliki tena.
Yani kabisa unaona Lisu kawakaanga ccm huku bara?

Jamani msiwe mnafuatalia kampeni kupitia account ya twitter ya kigogo
 
Maalim Seif na Zito tunaomba mtangaze maandamano tupo tayari vijana narudia tupo tayari. Hawa hawatuwezi tutakufa mia lakini na wao tutawapata japo 80 halafu kitaeleweka tu. TUTANGAZIENI MAANDANO YAWE YA AMANI AU YA FUJO TUPO TAYARI.
Mmmh ndege mbili za kijeshi zikipita angani wote mnatawanyika kimya kimya kama panya
 
Mmmh ndege mbili za kijeshi zikipita angani wote mnatawanyika kimya kimya kama panya
Hatawanyiki mtu mkuu kwani Mahita si alikuja pia na helicopter yake. Hutujui sisi wa Zanzibar bora nyamaza tu mkuu.
 
Huyo 1 ni kafara. Tena kwenye majimbo yale ambayo huwa wanashindwa. Yale ya Pemba.

Wapinzani wakianzishe. Liwalo na liwe... After all, baada ya 28 Okt 2020, NEC na ZEC zitawatangaza CCM washindi, washinde, wasishinde!
Tangaza wewe!
 
Maalim Seif na Zito tunaomba mtangaze maandamano tupo tayari vijana narudia tupo tayari. Hawa hawatuwezi tutakufa mia lakini na wao tutawapata japo 80 halafu kitaeleweka tu. TUTANGAZIENI MAANDANO YAWE YA AMANI AU YA FUJO TUPO TAYARI.
Labda maandamano ya JF na Tweeter!
 
Hatawanyiki mtu mkuu kwani Mahita si alikuja pia na helicopter yake. Hutujui sisi wa Zanzibar bora nyamaza tu mkuu.
Walikufa na wengine walikimbilia shimoni Kenya safari hii hakuna atakayeweza kukimbilia shimoni watashughulikiwa hapa hapa tu!!
 
Serikari inatakiwa kuwa moja ili tushirikiane vizuri sasa wao wanachelewesha mpaka lini?
 
Huyo 1 ni kafara. Tena kwenye majimbo yale ambayo huwa wanashindwa. Yale ya Pemba.

Wapinzani wakianzishe. Liwalo na liwe... After all, baada ya 28 Okt 2020, NEC na ZEC zitawatangaza CCM washindi, washinde, wasishinde!
ila wewe uwe mstar wa mbele.si unaitwa umsolapagaz wa mashimo ya mfalme suleiman.yule bwana alikua shujaa kwelikwel.usiwe keyboard warrior. TOKA KWANZA WEWE KAMA UNAONA KUANZISHA NI RAHISI.AMANI YETU KWANZA.

Sent from my TECNO CF7 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom