Automata
JF-Expert Member
- Mar 3, 2015
- 3,414
- 4,794
Ha! Ha! Ha! na umri ndo umeenda...atabaki masikini daimaDah Juma Duni Haji anatia huruma .
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ha! Ha! Ha! na umri ndo umeenda...atabaki masikini daimaDah Juma Duni Haji anatia huruma .
Hadi ccm ?naam kumekucha tume ya zanzibar ya uchaguzi imetangaza haya yafuatayo:-
Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC), imewaengua wagombea kumi na watano (15) kati ya hao kumi na mmoja (11) ni wa Chama Cha ACT-Wazalendo, CCM mmoja (1), CUF mmoja (1), UPDP mmoja (1) na Demokrasia Makini mmoja (1), waliokuwa wakigombea nafasi za Uwakilishi Zanzibar.
Sababu za kuondolewa ni kushindwa kufuata kanuni za uchaguzi katika kujaza fomu za uteuzi.
ACT-Wazalendo ni:-
1. Haji Ali Haji (Tumbatu).
2. Hassan Jani Masoud (Nungwi).
3. Haji Mwadini Makame (Kijini).
4. Juma Duni Haji (Mtoni).
5. Hasne Abdallah Abeid (Bububu).
6. Hamad Masoud Hamad (Ole).
7. Omar Ali Shehe (Chake Chake).
8. Khamis Rashid Khamis (Chonga).
9. Issa Said Juma (Micheweni/Konde).
10. Mmanga Mohammed Hemed (Konde/Tumbe).
11. Is-haka Ismail Shariff (Wete).
CUF ni:-
1. Juma Ali Juma (Ole).
Demokrasia Makini ni:-
1. Abbas Omar Abbas (Ole).
UPDP ni:-
1. Yussuf Said Hamad (Chake Chake).
CCM ni :-
1. Othman Ali Khamis (Mtambwe).
chanzo ni mwndishi Ally Mohammed kutoka zanzibar
Wasikimbilie tu Shimoni 'Mombasa' kwa dawa watakayopewaWapinzani wakianzishe. Liwalo na liwe...
Membe hana nafasi kwa CCM na serikali zake mbili (Bara & Visiwani)…zaidi anakula majuto now yakukimbia chamaWamefuata ushauri wa Membe waweke mmoja wa kudanganya! Zanzibar hakuna tena uchaguzi! Ova!
Tena kwenye jimbo ambalo wana uhakika hawashindi!CCM kwa maigizo eti CCM imemuengua mwana CCM mmoja.
naam kumekucha tume ya zanzibar ya uchaguzi imetangaza haya yafuatayo:-
Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC), imewaengua wagombea kumi na watano (15) kati ya hao kumi na mmoja (11) ni wa Chama Cha ACT-Wazalendo, CCM mmoja (1), CUF mmoja (1), UPDP mmoja (1) na Demokrasia Makini mmoja (1), waliokuwa wakigombea nafasi za Uwakilishi Zanzibar.
Sababu za kuondolewa ni kushindwa kufuata kanuni za uchaguzi katika kujaza fomu za uteuzi.
ACT-Wazalendo ni:-
1. Haji Ali Haji (Tumbatu).
2. Hassan Jani Masoud (Nungwi).
3. Haji Mwadini Makame (Kijini).
4. Juma Duni Haji (Mtoni).
5. Hasne Abdallah Abeid (Bububu).
6. Hamad Masoud Hamad (Ole).
7. Omar Ali Shehe (Chake Chake).
8. Khamis Rashid Khamis (Chonga).
9. Issa Said Juma (Micheweni/Konde).
10. Mmanga Mohammed Hemed (Konde/Tumbe).
11. Is-haka Ismail Shariff (Wete).
CUF ni:-
1. Juma Ali Juma (Ole).
Demokrasia Makini ni:-
1. Abbas Omar Abbas (Ole).
UPDP ni:-
1. Yussuf Said Hamad (Chake Chake).
CCM ni :-
1. Othman Ali Khamis (Mtambwe).
chanzo ni mwndishi Ally Mohammed kutoka zanzibar
Ahaaa !!! ZEC mpo makini Sana ! Hao wote kwanini wanakosa umakini kwenye ujazaji wa Fomu !? Hao wote naamini wengi Wao Ni Wasomi ! Navisihi Sana , Sana Vyama vyote vilivyokuwa vimesimamisha Wawakilishi hawa , vikaiangukie Tume ya Uchaguzi Zanzibar ( ZEC ) immediately !naam kumekucha tume ya zanzibar ya uchaguzi imetangaza haya yafuatayo:-
Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC), imewaengua wagombea kumi na watano (15) kati ya hao kumi na mmoja (11) ni wa Chama Cha ACT-Wazalendo, CCM mmoja (1), CUF mmoja (1), UPDP mmoja (1) na Demokrasia Makini mmoja (1), waliokuwa wakigombea nafasi za Uwakilishi Zanzibar.
Sababu za kuondolewa ni kushindwa kufuata kanuni za uchaguzi katika kujaza fomu za uteuzi.
ACT-Wazalendo ni:-
1. Haji Ali Haji (Tumbatu).
2. Hassan Jani Masoud (Nungwi).
3. Haji Mwadini Makame (Kijini).
4. Juma Duni Haji (Mtoni).
5. Hasne Abdallah Abeid (Bububu).
6. Hamad Masoud Hamad (Ole).
7. Omar Ali Shehe (Chake Chake).
8. Khamis Rashid Khamis (Chonga).
9. Issa Said Juma (Micheweni/Konde).
10. Mmanga Mohammed Hemed (Konde/Tumbe).
11. Is-haka Ismail Shariff (Wete).
CUF ni:-
1. Juma Ali Juma (Ole).
Demokrasia Makini ni:-
1. Abbas Omar Abbas (Ole).
UPDP ni:-
1. Yussuf Said Hamad (Chake Chake).
CCM ni :-
1. Othman Ali Khamis (Mtambwe).
chanzo ni mwndishi Ally Mohammed kutoka zanzibar
ZEK inasimamia sheria taratibu na kanuni, uwe ACT, CUF au CCM ukikosea unaenguliwa tu!naam kumekucha tume ya zanzibar ya uchaguzi imetangaza haya yafuatayo:-
Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC), imewaengua wagombea kumi na watano (15) kati ya hao kumi na mmoja (11) ni wa Chama Cha ACT-Wazalendo, CCM mmoja (1), CUF mmoja (1), UPDP mmoja (1) na Demokrasia Makini mmoja (1), waliokuwa wakigombea nafasi za Uwakilishi Zanzibar.
Sababu za kuondolewa ni kushindwa kufuata kanuni za uchaguzi katika kujaza fomu za uteuzi.
ACT-Wazalendo ni:-
1. Haji Ali Haji (Tumbatu).
2. Hassan Jani Masoud (Nungwi).
3. Haji Mwadini Makame (Kijini).
4. Juma Duni Haji (Mtoni).
5. Hasne Abdallah Abeid (Bububu).
6. Hamad Masoud Hamad (Ole).
7. Omar Ali Shehe (Chake Chake).
8. Khamis Rashid Khamis (Chonga).
9. Issa Said Juma (Micheweni/Konde).
10. Mmanga Mohammed Hemed (Konde/Tumbe).
11. Is-haka Ismail Shariff (Wete).
CUF ni:-
1. Juma Ali Juma (Ole).
Demokrasia Makini ni:-
1. Abbas Omar Abbas (Ole).
UPDP ni:-
1. Yussuf Said Hamad (Chake Chake).
CCM ni :-
1. Othman Ali Khamis (Mtambwe).
chanzo ni mwndishi Ally Mohammed kutoka zanzibar
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]CCM kwa maigizo eti CCM imemuengua mwana CCM mmoja.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mniombeeeeeeeeeee.
Tutaanza na wewe, wewe si huogopi kufa,haya waambie wakianzishe
Hawezi kufanya lolote.sasa tumsubiri maali seif atakuja na lipi ?
hali ya zanzibar huenda ikabadilika wakati wowote kuanzia sasa.
stay tune