Zelensky aapa Ukraine kuishinda Urusi

Zelensky aapa Ukraine kuishinda Urusi

HERY HERNHO

Senior Member
Joined
Mar 4, 2022
Posts
110
Reaction score
458
Rais Volodymyr Zelensky wa Ukraine ameapa kwamba mwaka huu wa 2023 utakuwa mwaka wa ushindi dhidi ya uvamizi wa Urusi, huku Muungano wa Kijeshi wa NATO ukisema dhamira yake ya kuiunga mkono Ukraine iko imara.

Rais Zelensky ametumia hotuba yake ya kukumbuka mwaka mmoja wa uvamizi wa Urusi dhidi ya nchi yake kunadi ujasiri na dhamira ya jeshi la Ukraine kutetea mipaka ya nchi hiyo.

"Siku kama hii mwaka mmoja uliopita kutoka mahala hapa hapa majira ya saa moja asubuhi, niliwahutubia kwa maelezo mafupi. Ilikuwa ya sekunde 67 tu. Ilikuwa na mambo mawili muhimu kabisa kwa wakati huo na sasa.

Kwamba Urusi ilianzisha vita dhidi yetu. Na sisi ni madhubuti. Tuko tayari kwa lolote. Tutamshinda kila mtu, kwa sababu sisi ni Ukraine. Hivyo ndivyo ilivyoanza tarehe 24 Februari 2022. Siku refu kabisa maishani mwetu.

Siku ngumu kabisa kwenye historia yetu. Tuliamka mapema na tangu hapo hatujalala tena." Alisema rais huyo.

Akiwa na uso wa huzuni kutokana na mwaka mmoja wa damu, vifo, wakimbizi, na uharibifu mkubwa wa majengo na miundombinu kutokana na mashambulizi ya Urusi, Zelensky aliwaambia raia wa nchi yake kwamba ushindi wa nchi yao kwenye vita hivi, ni jambo la lazima, licha ya kulemewa vibaya na makombora ya adui.
 
Jamaa mwehu sana, anaapa kushinda vita kwa silaha za kuombaomba. Hao wanaompa mda si mrefu watamkimbia atabaki marekani pekeyake
 
Mwanzo Putin alimchukulia kama muigizaji sasa mwaka umetimia, Putin anajuta sana huyu jamaa ni madhubuti sana kuwahi kutokea, Zelensky ndio atakuwa Rais wa taifa la Russia muda utafika tu
Yawezekana Putin aliaminishwa na watu wake kuwa tuvamie, mapinduzi yatatokea, wanajeshi watamtoa Zele.... Leo nimesoma sehemu wanasema viongozi wengi waliachiwa baada ya Mwezi 1
 
Yale ni maeneo yake aliyowapa Ukraine kama zawadi kaamuwa kurudisha maeneo yake Kwa Sababu Ukraine alitaka kumkaribisha adui.
... aisee! Kwani kule UN mpaka wa kimataifa wa Ukraine unaonesha hayo maeneo yapo Russia au Ukraine au unaonesha hilo eneo ni zawadi kama ulivyosema?
 
Rais Volodymyr Zelensky wa Ukraine ameapa kwamba mwaka huu wa 2023 utakuwa mwaka wa ushindi dhidi ya uvamizi wa Urusi, huku Muungano wa Kijeshi wa NATO ukisema dhamira yake ya kuiunga mkono Ukraine iko imara.

Rais Zelensky ametumia hotuba yake ya kukumbuka mwaka mmoja wa uvamizi wa Urusi dhidi ya nchi yake kunadi ujasiri na dhamira ya jeshi la Ukraine kutetea mipaka ya nchi hiyo.

"Siku kama hii mwaka mmoja uliopita kutoka mahala hapa hapa majira ya saa moja asubuhi, niliwahutubia kwa maelezo mafupi. Ilikuwa ya sekunde 67 tu. Ilikuwa na mambo mawili muhimu kabisa kwa wakati huo na sasa.

Kwamba Urusi ilianzisha vita dhidi yetu. Na sisi ni madhubuti. Tuko tayari kwa lolote. Tutamshinda kila mtu, kwa sababu sisi ni Ukraine. Hivyo ndivyo ilivyoanza tarehe 24 Februari 2022. Siku refu kabisa maishani mwetu.

Siku ngumu kabisa kwenye historia yetu. Tuliamka mapema na tangu hapo hatujalala tena." Alisema rais huyo.

Akiwa na uso wa huzuni kutokana na mwaka mmoja wa damu, vifo, wakimbizi, na uharibifu mkubwa wa majengo na miundombinu kutokana na mashambulizi ya Urusi, Zelensky aliwaambia raia wa nchi yake kwamba ushindi wa nchi yao kwenye vita hivi, ni jambo la lazima, licha ya kulemewa vibaya na makombora ya adui.
Yaan vita ilikua Ina epukika kabisa lakini Hawa washenzi wamesababisha damu kumwagika na madhara yatakayo dumu vizazi na vizazi.....
 
Back
Top Bottom