Zelensky aapa Ukraine kuishinda Urusi

Zelensky aapa Ukraine kuishinda Urusi

Hakuna dhambi njema!

Amerika ina dictate mataifa takribani yote duniani yafanye na yafuate anayoyataka yeye!

Huyu ndiye dikteta tunayemtambua.
Umeona enn, ndio maana anapigwa vita ili Urusi nayo ikomboke iwe huru raia wa nchi ile waweze kumchagua kiongozi wanayemtaka
 
Duh! Us uwa Wana kauli tata sana[emoji16][emoji28]

[emoji298]️The war will end in some kind of negotiation, and the starting point will be the withdrawal of Russian troops from Ukraine, US Defense Secretary Lloyd Austin said.[emoji298]View attachment 2529450
Unakumbuka kuwa jasus namb moja wa us aliwah sema kuwa Ukraine wanapaswa kuachia sehem ya nchi yao
 
Umeona enn, ndio maana anapigwa vita ili Urusi nayo ikomboke iwe huru raia wa nchi ile waweze kumchagua kiongozi wanayemtaka
Angalia CIA wanachokuambia kuhusu demokrasia! Kisha nani ni halali kuwa dikteta. Marekani imejificha kwenye mwamvuli wa demokrasia kuhalalisha mambo yake.
 
Attachments

  • tweeload_8eb89015.mp4
    514.7 KB
Angalia CIA wanachokuambia kuhusu demokrasia! Kisha nani ni halali kuwa dikteta. Marekani imejificha kwenye mwamvuli wa demokrasia kuhalalisha mambo yake.
Hayo mambo mkuu hakuna nchi imelazimishwa kuyafuata, ni vile nchi maskini duniani zalazimika kuomba omba hata huko kwenu mpaka leo mumeshindwa kupiga vita ushoga hadharani, sasa nani alaumiwe? mbona Mugabe alitangaza hadharani kupinga ushoga??
 
dikteta yupi! America anayetaka kutawala dunia nzima.. anaejiita kiranja wa dunia..
Amerika ndiyo kiranja wa dunia na ameshatawala dunia. Umesahau kulijua hili. Mfano hai
1. USA alivamia Iraq akamnyonga Sadam. Je, kuna nchi yoyote dunia ilimuwekea vikwazo?
2. USA na Muingereza wamekiri waliongoza machafuko Libya mpk Gadhafi akauwawa. Je, kuna nchi yoyote dunia ilimuewekea vikwazo?
3. Biden ameenda Ukraine na alisema ataisaidia Ukraine licha ya hivyo anaisaidia Ukraine ndiyo maana vita vimetimiza mwaka mmoja. Russia anapigana vita na Ukraine kwa zaidi ya mwaka mmoja? Hapa Russia kwa aibu ya kushindwa ikabidi aite operesheni ya kijeshi. Aibu sana
4. China amewekewa vikwazo na Marekani
5. Russia amewekewa vikwazo na marekani.
6. Biden ameenda mpk poland lkn hakuna nchi iliyokoroma
7. USA imetangaza itaisaidia Taiwan kijeshi. Kwanini China ajatangaza vita na USA?
A. Je, kuna nchi yoyote duniani iliyowahi au imemuwekea vikwazo Marekani? Itaje
B. Kwanini Marekani anawawekea vikwazo Russia na China. Yeye kama nani?
USA ndiyo kiranja wa dunia, hii haipingiki ndiyo mfalme wa dunia. Moto wa USA siyo wa mchezo.
 
Siyo kwamba hataki endelea,kazidiwa mbinu za medania
Tuliaminishwa Russia ina jeshi kubwa na silaha zenye nguvu. Anapigana vita na Ukraine zaidi ya mwaka mmoja kweli?
USA amemuonyesha kwake bado ni mtoto sana pamoja na China.
Ameenda Ukraine, na amesema atazidi kuisaidia Ukraine kwa hali yoyote ile, tena ameenda mpk poland. Amesema atazidi kuiwekea vikwazo Russia.
Kama China atathubutu kuivaimia Taiwan, ataisaidia.
USA kama nani? Kwanini China na Russia wasimuwekee vikwazo na yeye?
 
Uliaminishwa nanani!!?

Kama RUSSIA haina nguvu NATO inangojea nini kwenda kuisaidia UKRAINE kama ilivyosaidia RAIA pale LIBYA

ELENSKY kaomba sana waweke No Fly Zone kuyazuia madege ya RUSSIA yasivinjari kwenye anga lake ila NATO wakiongozwa na US wamemwambia hilo haliwezekani sababu tutakua tumetangaza vita direct na RUSSIA

Ukitaka kujua uwezo mkubwa wa RUSSIA waambie NATO watekeleze matakwa yakueka No Fly Zone kama anavyoomba KOMEDIAN

Maana kama kupeleka silaha hata RUSSIA alipeleka pale SYRIA nahaikutosha akapeleka na jeshi kabisaaa bila kusahau na VENEZUELA

Kama NATO hawatasikiliza matakwa ya Elensky yakueka No Fly Zone haitakua naubishi yakwamba nikweli kabisa RUSSIA ni Superb

VIKWAZO ndio nini VIKWAZO nisera iliofeli ya WESTERN pamoja na US wao nandio maana tokea RUSSIA alipoekewa vikwazo punde tu baada yakuanza SMO mpaka leo hvyo vikwazo vimesaidia nini vimefanya SMO iishe ama vimefanya RUSSIA ifilisike

VIKWAZO akaeke kwa ZIMBABWE ila kwamataifa yanayojitambua levo za IRAN nakuendelea hayana madhara

LIBYA aliingia na NATO yake akaingie na UKRAINE vikwazo havijaleta maana yeyote ile sababu SMO inaendelea na itaendelea mpaka malengo yafikiwe

US na NATO paper Tiger.....

[emoji96]US says Russian economy showing "certain resilience" to Western sanctions as a result of Moscow's moves, the White House says

Hv ndio vikwazo unavyoviongelea ama kuna vyengineee
 
Mwanzo Putin alimchukulia kama muigizaji sasa mwaka umetimia, Putin anajuta sana huyu jamaa ni madhubuti sana kuwahi kutokea, Zelensky ndio atakuwa Rais wa taifa la Russia muda utafika tu
Waafrika tuna laana mtu anakutetea halafu unamkejeli
 
Uliaminishwa nanani!!?

Kama RUSSIA haina nguvu NATO inangojea nini kwenda kuisaidia UKRAINE kama ilivyosaidia RAIA pale LIBYA

ELENSKY kaomba sana waweke No Fly Zone kuyazuia madege ya RUSSIA yasivinjari kwenye anga lake ila NATO wakiongozwa na US wamemwambia hilo haliwezekani sababu tutakua tumetangaza vita direct na RUSSIA

Ukitaka kujua uwezo mkubwa wa RUSSIA waambie NATO watekeleze matakwa yakueka No Fly Zone kama anavyoomba KOMEDIAN

Maana kama kupeleka silaha hata RUSSIA alipeleka pale SYRIA nahaikutosha akapeleka na jeshi kabisaaa bila kusahau na VENEZUELA

Kama NATO hawatasikiliza matakwa ya Elensky yakueka No Fly Zone haitakua naubishi yakwamba nikweli kabisa RUSSIA ni Superb

VIKWAZO ndio nini VIKWAZO nisera iliofeli ya WESTERN pamoja na US wao nandio maana tokea RUSSIA alipoekewa vikwazo punde tu baada yakuanza SMO mpaka leo hvyo vikwazo vimesaidia nini vimefanya SMO iishe ama vimefanya RUSSIA ifilisike

VIKWAZO akaeke kwa ZIMBABWE ila kwamataifa yanayojitambua levo za IRAN nakuendelea hayana madhara

LIBYA aliingia na NATO yake akaingie na UKRAINE vikwazo havijaleta maana yeyote ile sababu SMO inaendelea na itaendelea mpaka malengo yafikiwe

US na NATO paper Tiger.....

[emoji96]US says Russian economy showing "certain resilience" to Western sanctions as a result of Moscow's moves, the White House says

Hv ndio vikwazo unavyoviongelea ama kuna vyengineee
Russia anatumia nguvu nyingi na akili kidogo. Marekani na NATO wanatumia akili nyingi sana na nguvu kidogo sana. Unaweza kuona kama wanaogopa hivi lkn mtu anapigwa hivyo.
Russia kwa nguvu zake zote hizo ametimiza mwaka 1 bado hajaipiga Ukraine na anaomba msaada wa silaha kwa China. Kama ana silaha kwanini asipiige Ukraine fast tu.
Kama NATO haina nguvu kwanini Russia amechukua muda mrefu na hana matumaini ya kuipiga Ukraine? Russia haina kitu tangu lini socialist akamshinda capitalist?
Capitalists hajawahi kushindwa
 
Laana mnayo kweli mana kila siku mnakataa udikteta na kutawaliwa kwa mabavu lakini Putin amekuwa madarakani russia na hana mpango wa kuondoka madarakani kiongozi wa upinza amemsweka jela muda usiojulikana
 
Tuliaminishwa Russia ina jeshi kubwa na silaha zenye nguvu. Anapigana vita na Ukraine zaidi ya mwaka mmoja kweli?
USA amemuonyesha kwake bado ni mtoto sana pamoja na China.
Ameenda Ukraine, na amesema atazidi kuisaidia Ukraine kwa hali yoyote ile, tena ameenda mpk poland. Amesema atazidi kuiwekea vikwazo Russia.
Kama China atathubutu kuivaimia Taiwan, ataisaidia.
USA kama nani? Kwanini China na Russia wasimuwekee vikwazo na yeye?
Mfano China anafanya biashara kubwa na Marekani hivyo anategemea sana kuuza na kununua Marekani, akimuwekea vikwazo ataumia yeye.

Marekani naye hivyo hivyo ila anaweza uza na kununua pengine
 
Russia anatumia nguvu nyingi na akili kidogo. Marekani na NATO wanatumia akili nyingi sana na nguvu kidogo sana. Unaweza kuona kama wanaogopa hivi lkn mtu anapigwa hivyo.
Russia kwa nguvu zake zote hizo ametimiza mwaka 1 bado hajaipiga Ukraine na anaomba msaada wa silaha kwa China. Kama ana silaha kwanini asipiige Ukraine fast tu.
Kama NATO haina nguvu kwanini Russia amechukua muda mrefu na hana matumaini ya kuipiga Ukraine? Russia haina kitu tangu lini socialist akamshinda capitalist?
Capitalists hajawahi kushindwa
Capitalist walifanywa nini kule vietnam na socialist ya RUSSIA na UCHINA

NATO na US walichukua miaka mingapi kupigana kule AFGHANISTAN na khatimae wakakimbia

RUSSIA na NATO nani walichukua muda mrefu kupigana kule AFGHAN na hapa UKRAINE

NATO na shost yao US waoga sana walimvamia ASSAD wakataka kumtoa RUSSIA akawaingizia MAGUU wakakimbia

Wakaingia VENEZUELA wakawachagulia RAIS wao ila RUSSIA akawakingia kifua hatimae RAIS kastaag bila kufanya kazi

SMO iendeleeee malengo ya hii SMO ipiganwe mpaka NATO na US akili ziwakae sawa
 
Jamaa mwehu sana, anaapa kushinda vita kwa silaha za kuombaomba. Hao wanaompa mda si mrefu watamkimbia atabaki marekani pekeyake
Siliaha ni silaha mzee wangu; uwe umezitengeza mwenyewe, umezinunua au umeomba. Tanzania hatuntegenezi silaha lakini bado tunajiamnini kuwa tuna jeshi kubwa. Sasa Angalia mzigo ambao wmenzako wa ombaomba amepata, na kutuni wenu atafurukuka. Putin amekuwa anasumbuliwa sana na siasa za cold war na anataka kuzirudisha wakati wenzake wallishasonga mbele. Anasahahu kuwa you cant beat your opponets by bringing them down, but just by jumping ahead of theem, which he cannot do but just propaganda.

Uliaminishwa nanani!!?

Kama RUSSIA haina nguvu NATO inangojea nini kwenda kuisaidia UKRAINE kama ilivyosaidia RAIA pale LIBYA

ELENSKY kaomba sana waweke No Fly Zone kuyazuia madege ya RUSSIA yasivinjari kwenye anga lake ila NATO wakiongozwa na US wamemwambia hilo haliwezekani sababu tutakua tumetangaza vita direct na RUSSIA

Ukitaka kujua uwezo mkubwa wa RUSSIA waambie NATO watekeleze matakwa yakueka No Fly Zone kama anavyoomba KOMEDIAN

Maana kama kupeleka silaha hata RUSSIA alipeleka pale SYRIA nahaikutosha akapeleka na jeshi kabisaaa bila kusahau na VENEZUELA

Kama NATO hawatasikiliza matakwa ya Elensky yakueka No Fly Zone haitakua naubishi yakwamba nikweli kabisa RUSSIA ni Superb

VIKWAZO ndio nini VIKWAZO nisera iliofeli ya WESTERN pamoja na US wao nandio maana tokea RUSSIA alipoekewa vikwazo punde tu baada yakuanza SMO mpaka leo hvyo vikwazo vimesaidia nini vimefanya SMO iishe ama vimefanya RUSSIA ifilisike

VIKWAZO akaeke kwa ZIMBABWE ila kwamataifa yanayojitambua levo za IRAN nakuendelea hayana madhara

LIBYA aliingia na NATO yake akaingie na UKRAINE vikwazo havijaleta maana yeyote ile sababu SMO inaendelea na itaendelea mpaka malengo yafikiwe

US na NATO paper Tiger.....

[emoji96]US says Russian economy showing "certain resilience" to Western sanctions as a result of Moscow's moves, the White House says

Hv ndio vikwazo unavyoviongelea ama kuna vyengineee
Na wewe ni mpiga propaganda tu. Wenye akili wakisema hatutaki escalation usidhani kuwa hawana uwezo! Urusi ina mabomu mengi ya Nyuklia, ila siyo kuwa wao tu ndio wanayo. Wenzako wanajua kuwa huyu mrusi akielemewa anaweza kuamua lolote bila kujali madhara, Ila mabomu ya nyuklia yako sehemu nyingi dunaini na iwapo kila mwenye nayo atayafyatu,ia nbasi dunia hitakuwa sehemu ya bindamu kuishi tena.Wenzako wakijaribu kupoooza tempo usidhani kuwa ni waoga au hawana uwezo, bali wao wanatumia busara zaidi.
 
Rais Volodymyr Zelensky wa Ukraine ameapa kwamba mwaka huu wa 2023 utakuwa mwaka wa ushindi dhidi ya uvamizi wa Urusi, huku Muungano wa Kijeshi wa NATO ukisema dhamira yake ya kuiunga mkono Ukraine iko imara.

Rais Zelensky ametumia hotuba yake ya kukumbuka mwaka mmoja wa uvamizi wa Urusi dhidi ya nchi yake kunadi ujasiri na dhamira ya jeshi la Ukraine kutetea mipaka ya nchi hiyo.

"Siku kama hii mwaka mmoja uliopita kutoka mahala hapa hapa majira ya saa moja asubuhi, niliwahutubia kwa maelezo mafupi. Ilikuwa ya sekunde 67 tu. Ilikuwa na mambo mawili muhimu kabisa kwa wakati huo na sasa.

Kwamba Urusi ilianzisha vita dhidi yetu. Na sisi ni madhubuti. Tuko tayari kwa lolote. Tutamshinda kila mtu, kwa sababu sisi ni Ukraine. Hivyo ndivyo ilivyoanza tarehe 24 Februari 2022. Siku refu kabisa maishani mwetu.

Siku ngumu kabisa kwenye historia yetu. Tuliamka mapema na tangu hapo hatujalala tena." Alisema rais huyo.

Akiwa na uso wa huzuni kutokana na mwaka mmoja wa damu, vifo, wakimbizi, na uharibifu mkubwa wa majengo na miundombinu kutokana na mashambulizi ya Urusi, Zelensky aliwaambia raia wa nchi yake kwamba ushindi wa nchi yao kwenye vita hivi, ni jambo la lazima, licha ya kulemewa vibaya na makombora ya adui.
Bado anaapa tu
 
Back
Top Bottom