Zelensky aapa Ukraine kuishinda Urusi

Zelensky aapa Ukraine kuishinda Urusi

Hata akiondoa majeshi yake bado Ukraine itaitaka Urusi iwajibike kwa uhalifu wa kivita uliotendeka na uharibifu wa nchi na uchumi wa Ukraine.
Swali hapa gumu kulijibu. Nani atawajibisha Putin? Marekani mwenyewe ubavu hana.
 
Siliaha ni silaha mzee wangu; uwe umezitengeza mwenyewe, umezinunua au umeomba. Tanzania hatuntegenezi silaha lakini bado tunajiamnini kuwa tuna jeshi kubwa. Sasa Angalia mzigo ambao wmenzako wa ombaomba amepata, na kutuni wenu atafurukuka. Putin amekuwa anasumbuliwa sana na siasa za cold war na anataka kuzirudisha wakati wenzake wallishasonga mbele. Anasahahu kuwa you cant beat your opponets by bringing them down, but just by jumping ahead of theem, which he cannot do but just propaganda.

we nae kwa hiyo wewe ndio unajua sana kuliko urusi yaani urusi ilio anzisha vita haikujua kuwa nato na marekni watapeleka silaha ukraine ila wew unae jua roho inataka kukupasuka huku mwanalu mango........
 
Huyu mwamba nimemkubali.Humaanisha kile anachokisema!
 
Rais Volodymyr Zelensky wa Ukraine ameapa kwamba mwaka huu wa 2023 utakuwa mwaka wa ushindi dhidi ya uvamizi wa Urusi, huku Muungano wa Kijeshi wa NATO ukisema dhamira yake ya kuiunga mkono Ukraine iko imara.

Rais Zelensky ametumia hotuba yake ya kukumbuka mwaka mmoja wa uvamizi wa Urusi dhidi ya nchi yake kunadi ujasiri na dhamira ya jeshi la Ukraine kutetea mipaka ya nchi hiyo.

"Siku kama hii mwaka mmoja uliopita kutoka mahala hapa hapa majira ya saa moja asubuhi, niliwahutubia kwa maelezo mafupi. Ilikuwa ya sekunde 67 tu. Ilikuwa na mambo mawili muhimu kabisa kwa wakati huo na sasa.

Kwamba Urusi ilianzisha vita dhidi yetu. Na sisi ni madhubuti. Tuko tayari kwa lolote. Tutamshinda kila mtu, kwa sababu sisi ni Ukraine. Hivyo ndivyo ilivyoanza tarehe 24 Februari 2022. Siku refu kabisa maishani mwetu.

Siku ngumu kabisa kwenye historia yetu. Tuliamka mapema na tangu hapo hatujalala tena." Alisema rais huyo.

Akiwa na uso wa huzuni kutokana na mwaka mmoja wa damu, vifo, wakimbizi, na uharibifu mkubwa wa majengo na miundombinu kutokana na mashambulizi ya Urusi, Zelensky aliwaambia raia wa nchi yake kwamba ushindi wa nchi yao kwenye vita hivi, ni jambo la lazima, licha ya kulemewa vibaya na makombora ya adui.
So you believe this lies,eh!
 
Back
Top Bottom