Mrengwa wa kulia
JF-Expert Member
- Mar 21, 2022
- 1,091
- 3,695
Wachinjaji walipofika machinjion kuchinja Ngombe wakakuta Ngombe wameshika visu wanawasubiri wachinjaji.
see and learn.
see and learn.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na huu ndo ukweli mchungu pro Russia hawataki kuuskia.ubaya wa udictator ni kua amri inatoka kwa mtu mmoja tu. Hakuna kuhoji..Madikteta hayajawahi kuwa na akili zaidi ya kupelekeshwa na personal prides at the cost of the lives of the people!
Source msn? Hivi kwanini ushabiki unakutoa ufahamu, do you think any US news source will give credible news on Russia? Ukraine imekuwa magofu, nyie mnaongea kishabiki huku.Urusi imemtuma rais wa Uturuki aongee na Zelensky watafute mbinu za kumaliza vita, hili limemshangaza sana maana siku zote ndilo lilikua ombi lake, hususan ile siku Urusi ilikua inajaribu kuparamia Kyev kabla kuangukia pua.
Asema hadi Urusi iwaondoe wanajeshi wake, ni mwendo wa mapigo tu.....
Ikumbukwe alishasema vita vilianzia Crimea na vitaishia Crimea.....mtaua mamilioni ya wa-Ukraine lakini mwendo ni ule ule.
President Volodymyr Zelensky on Thursday ruled out peace with Russia unless withdrawal of its troops from Ukraine, speaking after talks with his Turkish counterpart, and the UN Secretary General Antonio Guterres.
Zelensky told reporters that he was "very surprised" to hear from President Recep Tayyip Erdogan that Russia was "ready for some kind of peace", adding: "First they should leave our territory and then we'll see".
MSN
www.msn.com
Source msn? Hivi kwanini ushabiki unakutoa ufahamu, do you think any US news source will give credible news on Russia? Ukraine imekuwa magofu, nyie mnaongea kishabiki huku.
Source msn? Hivi kwanini ushabiki unakutoa ufahamu, do you think any US news source will give credible news on Russia? Ukraine imekuwa magofu, nyie mnaongea kishabiki huku.
Yani kila kukicha mnazisha nyuzi za kujifariji.PUTIN wala hana uwo muda wa sijui kukaa mezani labda URUSI yote iwe imeisha. ZELENSK NA RAIS wa UTURUKI walifanya kikao kwa iyo RAIS WA UTURUKI akasema atajaribu kumshawishi PUTIN wasitishe VITA wakae kwenye meza ya mazungumzo.
Pia alitaka akamshawisha waachie mtambo wa kufua umeme wa nuclear wa Zaporizhia power plant,ila akajibiwa mapema kuwa icho kitu akiwezekani.
PUTIN kasema kabisa masharti ya kuacha VITA yapo wazi
* LUHANSK,DONERSK,CRIMEA NA KHERSON kuwa sehemu ya URUSI
*UKRAINE kutojiunga na NATO
Huku wanasonga mbele, huku wanasema wanaomba poo, mara aseme vita ni vichungu upande wao, mara CRIMEA kuna fuka moshi..
Sijui kipi ni kipi.
Hahahahaha hamna taifa lenye mikwara kama Urusi, walitaka vikosi vya Ukraine vijisalimishe, watoa mpaka muda wa kujisalimisha kuweka silaha chini.Special operation ya wiki mbili.....
Zelensky alipewa masaa 24 ila hadi leo anaamrisha...
Bwana Utam Urusi taifa teule takbir... ha ha ha
Nimeipenda hii, mtu yoyote mbabe lazima kichwani awe butu.Mtu yeyeto mbabe ni lzm kichwani awe butu. Ujinga wa putin ndo umeleta hayo
Kule uarabun US amepata manufaa saana, kwanza waarabu wote amewaweka mfukoni, anauza silaha, anapata mafuta n.kHivi Vita vya kujitakia vimegeuka hasara tu kwa Urusi ni sawa na Vita vya kujitakia vya US kule Iraq.
Aliwaza kipumbavu mnoUrusi alidhani anapigana na Ukraine pekee
Hahahahaa upo sahihi mkuu, wanamsifu saaana putin. Imefika wakati wanaona Russia haiwezi kuongozwa na mtu mwingine zaidi ya Putin.Ukiliona linatembea limevimba kama duma basi mashabiki wake wanasifia ubabe. Ustadi wa kupigana sijui judo; mamikanda myeusi, etc haijawahi kuwa miongoni mwa sifa za maana za wakuu wa nchi. Rather inaonesha kichwani ni questionable!
Kifurushi kilichoidhinishwa wiki hii kinafika lini Ukraine?Underdog katika ubora wetu....
Kafuateni machuma yenu
Crimea kila siku panawaka
Hahahahahah anatembea kama nani? Halafu kichwani nini? HahahahahahahahaAnatembea kama dume la nyani kichawi empty.Mchina kajifunza kwa ya Ukraine,kaangalia uchumi ni muhimu zaidi ubabe waachie wajinga.
Hata mimi mkuu, sikujua kama putin ni kichaa namna hiiDikiteta Putin kaaibishwa kweli kweli..,zile mbwembe zote kwishney
Sikuwahi kuwaza kama Yule dikiteta ana akili finyu kiasi hiki [emoji848]