Zelensky agomea ombi la Urusi la kusitisha vita, asema hadi Warusi waondoke Ukraine

Sasa hivi idadi ya askari wa Urusi waliopo frontline waliopoteza maisha inaelekea kufikia nusu na vifaa vyao vingi sana kuharibiwa. Kwa mtu mwenye akili timamu hili si jambo dogo. Putin ameliona hili ingawa kwa kuchelewa🤔

Hivi mbona hamjiulizi kwa nini Putin anasema zoezi zima ni special operation - kwa nini atangazi vita kamili?? Remember Putin is no fool.

Kitu kingine - hivi kwa nini hamjiulizi mpaka sasa Urusi imetumia asili mia ngapi ya jeshi lake kamili - mkifanya utafiti bila jazba, mtashangaa sana - Urusi ikihamua kutumia hata asili mia 25% ya jeshi lake - jeshi la Ukraine pamoja na usaidizi wa NATO/US bado hawataweza kufua dafu kwa jeshi la Putin na infact Ukraine nzima ita fall within one to two months, nawakumbusheni kwamba mpaka sasa Urusi haija hamua kukunjua makucha yake kikamilifu - mtakuja kuniambia.
 
Hiyo operesheni yake inamtokea puani Baadhi ya wanajeshi wa Urusi wanajijeruhi kwa risasi miguuni ili waondolewe kwenye mapambano
 
Dikiteta Putin kaaibishwa kweli kweli..,zile mbwembe zote kwishney
Sikuwahi kuwaza kama Yule dikiteta ana akili finyu kiasi hiki [emoji848]
Yaani wewe unaeishi kusikojulikana unathubutu kabisa kutilia mashaka uwezo wa akili za putin mtu ambaye alipokuwa tu university enzi za cold war era akawa'recruited kama KGB agent kwa miaka zaidi ya 15 na Spy aliyekuwa undercover ujerumani kwa miaka 5 akifanya espionage?

Wewe uliyezaliwa juzi na kuanza kumiliki smartphone unahoji akili za putin?
Good God!
 
Madikteta kadri wanavyokaa madarakani ndio uwezo wao wa akili unazidi kupungua, wanaongeza makosa ya kijinga kabisa, miscalculations, ukandamizaji, vurugu na mateso.

Dikteta Putin alifikiri West wangechukulia poa tu kama alivyofanya uvamizi na kupora Crimea mwaka 2014, ilikuwa miscalculation kubwa sana. Kilichomtokea mpaka sasa atakuwa haamini.
Dikiteta Putin kaaibishwa kweli kweli..,zile mbwembe zote kwishney
Sikuwahi kuwaza kama Yule dikiteta ana akili finyu kiasi hiki [emoji848]
 
Putin atakuwa amechanganyikiwa. Ukraine hawawezi kukubali huo upumbavu wake wa kupora maeneo ya nchi yao halafu awapingie pia jinsi ya kuendesha mambo yao, Ukraine haitakuwa na sababu ya maana kukubali terms za kipuuzi kama hizo zisizikuwa na faida yoyote kwao.
Yani kila kukicha mnazisha nyuzi za kujifariji.PUTIN wala hana uwo muda wa sijui kukaa mezani labda URUSI yote iwe imeisha. ZELENSK NA RAIS wa UTURUKI walifanya kikao kwa iyo RAIS WA UTURUKI akasema atajaribu kumshawishi PUTIN wasitishe VITA wakae kwenye meza ya mazungumzo.

Pia alitaka akamshawisha waachie mtambo wa kufua umeme wa nuclear wa Zaporizhia power plant,ila akajibiwa mapema kuwa icho kitu akiwezekani.

PUTIN kasema kabisa masharti ya kuacha VITA yapo wazi

* LUHANSK,DONERSK,CRIMEA NA KHERSON kuwa sehemu ya URUSI

*UKRAINE kutojiunga na NATO
 
Ni watu wajinga na wanaohusudu madikteta tu ndio wanaoamini kauli za Putin, nyie ndio mmebaki mnaamini Ukraine hakuna vita.
Wewe endelea kusubiri atangaze vita wakati ameshatumia wanajeshi zaidi ya laki moja na silaha zote kasoro nyuklia kwenye uvamizi wake.
Labda definition ya vita kwa Russia ni kunapokuwepo matumizi ya Nyuklia.
Hivi mbona hamjiulizi kwa nini Putin anasema zoezi zima ni special operation - kwa nini atangazi vita kamili?? Remember Putin is no fool.

Kitu kingine - hivi kwa nini hamjiulizi mpaka sasa Urusi imetumia asili mia ngapi ya jeshi lake kamili - mkifanya utafiti bila jazba, mtashangaa sana - Urusi ikihamua kutumia hata asili mia 25% ya jeshi lake - jeshi la Ukraine pamoja na usaidizi wa NATO/US bado hawataweza kufua dafu kwa jeshi la Putin na infact Ukraine nzima ita fall within one to two months, nawakumbusheni kwamba mpaka sasa Urusi haija hamua kukunjua makucha yake kikamilifu - mtakuja kuniambia.
 
Hapo sasa Russia tayari ameshindwa kupata antidote za zile silaha za  Himars alizotoa Marekani na bado wana mpango wa kuleta silaha zingine hatari zaidi.

It's the end of the road for the racist Russians.
 
Madikteta kadri wanavyokaa madarakani ndio uwezo wao wa akili unazidi kupungua, wanaongeza makosa ya kijinga kabisa, miscalculations, ukandamizaji, vurugu na mateso.

Dikteta Putin alifikiri West wangechukulia poa tu kama alivyofanya uvamizi na kupora Crimea mwaka 2014, ilikuwa miscalculation kubwa sana. Kilichomtokea mpaka sasa atakuwa haamini.
Hakika [emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]
 
Ile mikwala ya kuwasha mitambo ya nuclear weapons imeishia wapi? Nakumbuka kipindi kile vita bado mbichi huyu Fala alikuwa anawasha na kuzima mitambo akidhani Ukraine watarudi nyuma
[emoji1787][emoji1787][emoji2][emoji2]
 
Ile mikwala ya kuwasha mitambo ya nuclear weapons imeishia wapi? Nakumbuka kipindi kile vita bado mbichi huyu Fala alikuwa anawasha na kuzima mitambo akidhani Ukraine watarudi nyuma
Mzee Putin mjinga sana,tulivyokuwa tunasikia sifa zake unaweza kudhani hakuna hata nzi wa kutua nchini mwake,ila sasa anachapwa na Ukraine mpaka anaomba vita iishe,huku mizoga ya hao wanajeshi wake ikikuzia alizeti mashambani huko
 
Nilikuwa namuona kama mtu smart kumbe kichwani hamna kitu..,ila Kuna tatizo kwa wanaume wote wanaoonekana kuwa smart kiakili kwa muonekano wa nje [emoji848]

Hata hayati magufuli kwa muonekano wa nje alikuwa anaonekana mtu smart na mwenye akili sana.., lakini mambo yake Sasa

N.B.aka ni kautafiti kidogo kwa mujibu wa kp kipanya44[emoji41][emoji41]
 
Yani kila kukicha mnazisha nyuzi za kujifariji.PUTIN wala hana uwo muda wa sijui kukaa mezani labda URUSI yote iwe imeisha. ZELENSK NA RAIS wa UTURUKI walifanya kikao kwa iyo RAIS WA UTURUKI akasema atajaribu kumshawishi PUTIN wasitishe VITA wakae kwenye meza ya mazungumzo.

Pia alitaka akamshawisha waachie mtambo wa kufua umeme wa nuclear wa Zaporizhia power plant,ila akajibiwa mapema kuwa icho kitu akiwezekani.

PUTIN kasema kabisa masharti ya kuacha VITA yapo wazi

* LUHANSK,DONERSK,CRIMEA NA KHERSON kuwa sehemu ya URUSI

*UKRAINE kutojiunga na NATO
Kakojoe ukalale mkuu
 
Back
Top Bottom