Kalunya
JF-Expert Member
- Oct 5, 2021
- 13,322
- 18,609
Putin anatembea kama dume la nyani lakini kichwani ni box tupu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Putin anatembea kama dume la nyani lakini kichwani ni box tupu
HahahahahhahahaPutin anatembea kama dume la nyani lakini kichwani ni box tupu
Sasa hivi idadi ya askari wa Urusi waliopo frontline waliopoteza maisha inaelekea kufikia nusu na vifaa vyao vingi sana kuharibiwa. Kwa mtu mwenye akili timamu hili si jambo dogo. Putin ameliona hili ingawa kwa kuchelewa🤔
Hivi mbona hamjiulizi kwa nini Putin anasema zoezi zima ni special operation - kwa nini atangazi vita kamili?? Remember Putin is no fool.
Kitu kingine - hivi kwa nini hamjiulizi mpaka sasa Urusi imetumia asili mia ngapi ya jeshi lake kamili - mkifanya utafiti bila jazba, mtashangaa sana - Urusi ikihamua kutumia hata asili mia 25% ya jeshi lake - jeshi la Ukraine pamoja na usaidizi wa NATO/US bado hawataweza kufua dafu kwa jeshi la Putin na infact Ukraine nzima ita fall within one to two months, nawakumbusheni kwamba mpaka sasa Urusi haija hamua kukunjua makucha yake kikamilifu - mtakuja kuniambia.
Yaani wewe unaeishi kusikojulikana unathubutu kabisa kutilia mashaka uwezo wa akili za putin mtu ambaye alipokuwa tu university enzi za cold war era akawa'recruited kama KGB agent kwa miaka zaidi ya 15 na Spy aliyekuwa undercover ujerumani kwa miaka 5 akifanya espionage?Dikiteta Putin kaaibishwa kweli kweli..,zile mbwembe zote kwishney
Sikuwahi kuwaza kama Yule dikiteta ana akili finyu kiasi hiki [emoji848]
RUSSIA kamatia hapo hapooooooSpecial operation ya wiki mbili.....
Zelensky alipewa masaa 24 ila hadi leo anaamrisha...
Bwana Utam Urusi taifa teule takbir... ha ha ha
Kawasaidie kumtoaPutin ni kiongozi wa hovyo kuwahi kutokea, Raia Warusi wangekuwa na usemi juu ya nchi hakupaswa kuendelea kuwa madarakani hata kwa dakika moja.
Dikiteta Putin kaaibishwa kweli kweli..,zile mbwembe zote kwishney
Sikuwahi kuwaza kama Yule dikiteta ana akili finyu kiasi hiki [emoji848]
Yani kila kukicha mnazisha nyuzi za kujifariji.PUTIN wala hana uwo muda wa sijui kukaa mezani labda URUSI yote iwe imeisha. ZELENSK NA RAIS wa UTURUKI walifanya kikao kwa iyo RAIS WA UTURUKI akasema atajaribu kumshawishi PUTIN wasitishe VITA wakae kwenye meza ya mazungumzo.
Pia alitaka akamshawisha waachie mtambo wa kufua umeme wa nuclear wa Zaporizhia power plant,ila akajibiwa mapema kuwa icho kitu akiwezekani.
PUTIN kasema kabisa masharti ya kuacha VITA yapo wazi
* LUHANSK,DONERSK,CRIMEA NA KHERSON kuwa sehemu ya URUSI
*UKRAINE kutojiunga na NATO
Mtu yeyeto mbabe ni lzm kichwani awe butu. Ujinga wa putin ndo umeleta hayo
Hivi mbona hamjiulizi kwa nini Putin anasema zoezi zima ni special operation - kwa nini atangazi vita kamili?? Remember Putin is no fool.
Kitu kingine - hivi kwa nini hamjiulizi mpaka sasa Urusi imetumia asili mia ngapi ya jeshi lake kamili - mkifanya utafiti bila jazba, mtashangaa sana - Urusi ikihamua kutumia hata asili mia 25% ya jeshi lake - jeshi la Ukraine pamoja na usaidizi wa NATO/US bado hawataweza kufua dafu kwa jeshi la Putin na infact Ukraine nzima ita fall within one to two months, nawakumbusheni kwamba mpaka sasa Urusi haija hamua kukunjua makucha yake kikamilifu - mtakuja kuniambia.
Hakika [emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]Madikteta kadri wanavyokaa madarakani ndio uwezo wao wa akili unazidi kupungua, wanaongeza makosa ya kijinga kabisa, miscalculations, ukandamizaji, vurugu na mateso.
Dikteta Putin alifikiri West wangechukulia poa tu kama alivyofanya uvamizi na kupora Crimea mwaka 2014, ilikuwa miscalculation kubwa sana. Kilichomtokea mpaka sasa atakuwa haamini.
[emoji1787][emoji1787][emoji2][emoji2]Ile mikwala ya kuwasha mitambo ya nuclear weapons imeishia wapi? Nakumbuka kipindi kile vita bado mbichi huyu Fala alikuwa anawasha na kuzima mitambo akidhani Ukraine watarudi nyuma
Mzee Putin mjinga sana,tulivyokuwa tunasikia sifa zake unaweza kudhani hakuna hata nzi wa kutua nchini mwake,ila sasa anachapwa na Ukraine mpaka anaomba vita iishe,huku mizoga ya hao wanajeshi wake ikikuzia alizeti mashambani hukoIle mikwala ya kuwasha mitambo ya nuclear weapons imeishia wapi? Nakumbuka kipindi kile vita bado mbichi huyu Fala alikuwa anawasha na kuzima mitambo akidhani Ukraine watarudi nyuma
Nilikuwa namuona kama mtu smart kumbe kichwani hamna kitu..,ila Kuna tatizo kwa wanaume wote wanaoonekana kuwa smart kiakili kwa muonekano wa nje [emoji848]Mzee Putin mjinga sana,tulivyokuwa tunasikia sifa zake unaweza kudhani hakuna hata nzi wa kutua nchini mwake,ila sasa anachapwa na Ukraine mpaka anaomba vita iishe,huku mizoga ya hao wanajeshi wake ikikuzia alizeti mashambani huko
Kakojoe ukalale mkuuYani kila kukicha mnazisha nyuzi za kujifariji.PUTIN wala hana uwo muda wa sijui kukaa mezani labda URUSI yote iwe imeisha. ZELENSK NA RAIS wa UTURUKI walifanya kikao kwa iyo RAIS WA UTURUKI akasema atajaribu kumshawishi PUTIN wasitishe VITA wakae kwenye meza ya mazungumzo.
Pia alitaka akamshawisha waachie mtambo wa kufua umeme wa nuclear wa Zaporizhia power plant,ila akajibiwa mapema kuwa icho kitu akiwezekani.
PUTIN kasema kabisa masharti ya kuacha VITA yapo wazi
* LUHANSK,DONERSK,CRIMEA NA KHERSON kuwa sehemu ya URUSI
*UKRAINE kutojiunga na NATO
Kakojoe ukalale mkuu