Zelensky agomea ombi la Urusi la kusitisha vita, asema hadi Warusi waondoke Ukraine

Yani kila kukicha mnazisha nyuzi za kujifariji.PUTIN wala hana uwo muda wa sijui kukaa mezani labda URUSI yote iwe imeisha. ZELENSK NA RAIS wa UTURUKI walifanya kikao kwa iyo RAIS WA UTURUKI akasema atajaribu kumshawishi PUTIN wasitishe VITA wakae kwenye meza ya mazungumzo.

Pia alitaka akamshawisha waachie mtambo wa kufua umeme wa nuclear wa Zaporizhia power plant,ila akajibiwa mapema kuwa icho kitu akiwezekani.

PUTIN kasema kabisa masharti ya kuacha VITA yapo wazi

* LUHANSK,DONERSK,CRIMEA NA KHERSON kuwa sehemu ya URUSI

*UKRAINE kutojiunga na NATO
 
Source msn? Hivi kwanini ushabiki unakutoa ufahamu, do you think any US news source will give credible news on Russia? Ukraine imekuwa magofu, nyie mnaongea kishabiki huku.
 
Wanajifariji tu ila UKRAINE inazidi kubaki jangwa na wala hakuna kitakachomwondoa MRUSI labda wakubali matakwa ya MRUSI
Source msn? Hivi kwanini ushabiki unakutoa ufahamu, do you think any US news source will give credible news on Russia? Ukraine imekuwa magofu, nyie mnaongea kishabiki huku.
 

Kwani Urusi hawezi tuma mwakilishi kumshawishi Zele kupunguza umwagaji damu kwa kukubali:

LUHANSK,DONERSK,CRIMEA NA KHERSON kuwa sehemu ya URUSI
Na
*UKRAINE kutojiunga na NATO bila kuendelea kumwaga damu za watu wake?
 
Special operation ya wiki mbili.....
Zelensky alipewa masaa 24 ila hadi leo anaamrisha...
Bwana Utam Urusi taifa teule takbir... ha ha ha
Hahahahaha hamna taifa lenye mikwara kama Urusi, walitaka vikosi vya Ukraine vijisalimishe, watoa mpaka muda wa kujisalimisha kuweka silaha chini.

Hii ngoma ilipofikia ni wazi Putin ameshachemka, kwa miezi yote aliyotumia Ukraine, hata 40% ya malengo hajafikia.
 
Ukiliona linatembea limevimba kama duma basi mashabiki wake wanasifia ubabe. Ustadi wa kupigana sijui judo; mamikanda myeusi, etc haijawahi kuwa miongoni mwa sifa za maana za wakuu wa nchi. Rather inaonesha kichwani ni questionable!
Hahahahaa upo sahihi mkuu, wanamsifu saaana putin. Imefika wakati wanaona Russia haiwezi kuongozwa na mtu mwingine zaidi ya Putin.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…