Zelensky ameduwaa: Kikao cha NATO kimeisha na wajumbe wanafuraha na kupongezana, lakini yeye hana anajiona mpweke!!

Africa Sasa,huuuuuuu
Yuko na huyo dada, yeye kasalimia amempa nafasi mdada na yeye azungumze na mdada mwenzake



Hivi kwa Nini sisi black mapito magumu ya mtu ndio story zetu nzuri
Matatizo ya kujitakia unataka nani akuonee huruma anaonewa huruma rais nchi ipo kwenye mafuriko au vita ambavyo kweli mgogoro ulikuwa hausuluhishiki ww vita kajitakia mwenyewe.
 
Sijui uhalsia wa hiyo picha maana vazi alilokua nalo hiyo siku halina mfuko wa shati, unajua maustadh hamukawii kufanya editing za mapropaganda, angalia tofauti ya fizi fulana



Nilijua tu kubwa jinga ukose kuwataja maustadh hapa 😃,,, we kubwa jinga kwani maustadh wamekufanya nini mana dah😂😅
 
Matatizo ya kujitakia unataka nani akuonee huruma anaonewa huruma rais nchi ipo kwenye mafuriko au vita ambavyo kweli mgogoro ulikuwa hausuluhishiki ww vita kajitakia mwenyewe.
Angefanya nini kuepusha Ukraine kuvamiwa na Putin??
 
Zelensky ni mjinga...alipaswa kutumia akili zake bila kuendeshwa na mtu...mfano wako hata hauendani na kilichotokea Ukraine...kuba historia kubwa huko nyuma..mpaka wamefikia hapo..
 
Jamaa ana rethinking his life decisions, kutoka kuwa comedian mpaka kufikia hatua ya kuteketeza nchi nzima, anajisemea "wtf just happened to me?"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…