Zelensky amemjibu Trump kwamba alipokea dola bilioni 100 tu za msaada wa Marekani kama ruzuku, sio mkopo

Zelensky amemjibu Trump kwamba alipokea dola bilioni 100 tu za msaada wa Marekani kama ruzuku, sio mkopo

Ritz

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2011
Posts
51,303
Reaction score
40,190
Wanaukimbi.

Zelensky anasema kwamba alipokea msaada wa dola bilioni 100 pekee kama ruzuku, sio mkopo.

"Hatutambui deni la Ukraine la dola bilioni 500 kwa Marekani.

Sitambui hata dola bilioni 100. Tulikubaliana na Biden kwamba ilikuwa ruzuku, sio deni."
===============
JUST IN: Zelensky says that he received only $100 billion in U.S. aid as grant, not a loan.

"We don't recognize Ukraine's $500 billion debt to the US.

I don't even recognize $100 billion. We agreed with Biden that it was a grant, not a debt.

Zele ashikilie hapo hapo, ikiwezekana akamuombe msamaha kaka yake Putin, wale ni ndugu hawawezi shindwana, damu nzito, amwambie USA alimdanganya ili akwapue madini yake. Kwangu mimi naona Bora Ukraine iwe sehemu ya Urusi kuliko anachokitaka Trump.
 
Itakuwa sehemu ya Urusi na Marekani, Putin na Trump wanaigawana.
 
Back
Top Bottom