Tsh
JF-Expert Member
- Aug 26, 2021
- 17,022
- 36,936
Pale atapata upinzani mkubwa, sidhani kama ataiweza hiyo presha.Raisi ana mamlaka makubwa.
Anapanga safu yake kuanzia majaji hadi jeshini.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pale atapata upinzani mkubwa, sidhani kama ataiweza hiyo presha.Raisi ana mamlaka makubwa.
Anapanga safu yake kuanzia majaji hadi jeshini.
Wanaukimbi.
Zelensky anasema kwamba alipokea msaada wa dola bilioni 100 pekee kama ruzuku, sio mkopo.
"Hatutambui deni la Ukraine la dola bilioni 500 kwa Marekani.
Sitambui hata dola bilioni 100. Tulikubaliana na Biden kwamba ilikuwa ruzuku, sio deni."
===============
JUST IN: Zelensky says that he received only $100 billion in U.S. aid as grant, not a loan.
"We don't recognize Ukraine's $500 billion debt to the US.
I don't even recognize $100 billion. We agreed with Biden that it was a grant, not a debt.
View: https://x.com/megatron_ron/status/1893694220742832307?s=12&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
Wanaukimbi.
Zelensky anasema kwamba alipokea msaada wa dola bilioni 100 pekee kama ruzuku, sio mkopo.
"Hatutambui deni la Ukraine la dola bilioni 500 kwa Marekani.
Sitambui hata dola bilioni 100. Tulikubaliana na Biden kwamba ilikuwa ruzuku, sio deni."
===============
JUST IN: Zelensky says that he received only $100 billion in U.S. aid as grant, not a loan.
"We don't recognize Ukraine's $500 billion debt to the US.
I don't even recognize $100 billion. We agreed with Biden that it was a grant, not a debt.
View: https://x.com/megatron_ron/status/1893694220742832307?s=12&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
wameshindwa Warusi kwa miaka 3 ndo Trump aweze?
Watamla kichwa mapema tu. Wataanzia alipoishia yule dogo wa PennsylvaniaRaisi ana mamlaka makubwa.
Anapanga safu yake kuanzia majaji hadi jeshini.
Ashikiliee wakati silaha anakopeshwa😂😂😂. Trump akimnyima silaha atapigana na manatí? Elon Musk akibeba vifaa vyake vya Star Link atatumia ungo wa Azam TV?Zele ashikilie hapo hapo, ikiwezekana akamuombe msamaha kaka yake Putin, wale ni ndugu hawawezi shindwana, damu nzito, amwambie USA alimdanganya ili akwapue madini yake. Kwangu mimi naona Bora Ukraine iwe sehemu ya Urusi kuliko anachokitaka Trump.
Anafikiri ni zile komedi alizokuwa anacheza. Hivi sijui Ukraine 🇺🇦 walianzaje kumpa nchi muigizaji!!!?jamaa kadata Anazani ye niwa muhimu sana kwa Russia ,yan Russia anzisha Vita ili msi join NATO afu unakkuja kusema ujiuzulu wewe afu mjiunge NATO ,Uyu ni comedian kwel
Labda Zelenskyy awe na hulka ya kitumwa kama walivyo Waafrika wengi na viongozi wao.Zele ashikilie hapo hapo, ikiwezekana akamuombe msamaha kaka yake Putin, wale ni ndugu hawawezi shindwana, damu nzito, amwambie USA alimdanganya ili akwapue madini yake. Kwangu mimi naona Bora Ukraine iwe sehemu ya Urusi kuliko anachokitaka Trump.
Bila shaka itabidi Zelenskyy aachie madaraka ingawa sidhani kama itasaidia sana
Arudi kwa kaka yake Putin ambembeleze.Ashikiliee wakati silaha anakopeshwa😂😂😂. Trump akimnyima silaha atapigana na manatí? Elon Musk akibeba vifaa vyake vya Star Link atatumia ungo wa Azam TV?
Kuliko amkubalie Trump hilo pendekezo lake la kujisombea madini bora ampe Urusi nchi iitwe Urusi maana angalau hapo rasilimali bado zitawafaidisha raia wake.Labda Zelenskyy awe na hulka ya kitumwa kama walivyo Waafrika wengi na viongozi wao.
Tayari ameshakataa dili la Trump la kitapeli la madini na ametangaza yuko tayari kujiuzulu kama hatua hiyo itahakikisha usalama wa Ukraine.
Zelenskyy amekuwa na mzozo na Trump tangu 2017, Trump alipoanza kuzuia misaada ya Marekani iliyoidhinishwa kwa Ukraine akitaka kwanza afanyiwe masuala binafsi ndipo aachilie hiyo misaada. Zelenskyy alimwekea ngumu.
Hivyo kwa Trump huu ni mgogoro binafsi. Bila shaka itabidi Zelenskyy aachie madaraka ingawa sidhani kama itasaidia sana. Lengo halisi la Putin ni kuiunganisha Ukraine yote na Urusi. Safari hii ana mshirika muhimu sana: Trump (POTUS).
Zelenskyy hajawahi kuwa na uhusiano mzuri na Trump tangu 2016. Alikuwa akimuwekea ngumu madai yake yasiyo na msingi. Hata haya ya sasa.Zele hata aachie madaraka haitasaidia kitu lazima madini yachimbwe
Alikuwa akiisifu sana Marekani kuwa iko nao bega kwa bega. Mmarekani sio wa kumuani hata kwa sekunde
Mkuu ni Urusi au ni Putin binafsi unayempenda kiasi hicho?Kuliko amkubalie Trump hilo pendekezo lake la kujisombea madini bora ampe Urusi nchi iitwe Urusi maana angalau hapo rasilimali bado zitawafaidisha raia wake.
Zelenskyy hajawahi kuwa na uhusiano mzuri na Trump tangu 2016. Alikuwa akimuwekea ngumu madai yake yasiyo na msingi. Hata haya ya sasa.
Madini kuchimbwa si ajabu. Ni biashara tu. Ukraine inachohitaji ni security guarantees za kutoshambuliwa tena.
Kuiamini Marekani inategemea pia utawala ulioko madarakani wakati huo. Wakati huu ni zamu ya Putin kufurahi. Ni Israel tu ndio yenye guarantee muda wote.
In any case, hakuna nchi ya kuaminiwa 100% dunia nzima.
Vita siyo nzuri.Vita mbaya sana. Dola bilioni moja zinaweza maliza kabisa kabisa njaa duniani.
Rasilimali akimwachia mmarekani, pale ataachiwa mashimo TU😅Kuliko amkubalie Trump hilo pendekezo lake la kujisombea madini bora ampe Urusi nchi iitwe Urusi maana angalau hapo rasilimali bado zitawafaidisha raia wake.