Zelensky amemjibu Trump kwamba alipokea dola bilioni 100 tu za msaada wa Marekani kama ruzuku, sio mkopo

Aya tuambie ni lini Tanzania imepewa usd bilion 500.?kwa kifupi hakuna cha bure iwe ni Tanzania wanakopa au Ukraine alipe alivopewa tena avitapike.
Kuna watu wanashabikia hii migogoro kwa ushabiki kama wa Simba na Yanga. Acha kufuata mkumbo
 
Mtu anasukuma Mambo kwa misaada
 
Hivi wanajeshi 850,000 una wajua au unawasikia?
Kabla ya vita Urusi ilikuwa na wanajeshi 900,000 kiujumla kwa hiyo kwa takwimu zako Urusi kwa sasa imebakiza wanajeshi 50000 tu,mambo mengine muwe mnatumia akili.
Si amekuwa akiajiri kila mwaka. Au we habari za urusi kukusanya kuruta huna.
 
Eti dola b100 tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…