Zelensky amemjibu Trump kwamba alipokea dola bilioni 100 tu za msaada wa Marekani kama ruzuku, sio mkopo

Bado unatafuta tamko rasmi la Putin kuhusu muda? Wasting your time. Tafuta clip zote za Putin na media za Urusi kuhusu kuanza kwa special operation usikie makisio yaliyokuwa yakifanywa.

Baada ya kuteka Crimea chini ya mwezi mmoja (February-March 2014), walijua kuchukua Kyiv itakuwa a walk in the park huku wakishangiliwa na wananchi wa Ukraine. Hawakutarajia miaka mitatu ya uadui mkubwa.
Bado unaendelea na porojo zako?

Kama hauna ushahidi hizi unaandika ni takataka
 
Mzee achana na hizi takataka za propaganda lete source ikionyesha Russia wakisema SO ni week 3
Interesting.

Unaona Imperial War Museum (IWM) ni “takataka za propaganda”? Huwa unasoma kazi za think tank zipi na ngapi zinazoaminika kuhusu masuala ya vita na migogoro ya kimataifa?
 
Wanaukimbi.

Zelensky anasema kwamba alipokea msaada wa dola bilioni 100 pekee kama ruzuku, sio mkopo.

"Hatutambui deni la Ukraine la dola bilioni 500 kwa Marekani.

Sitambui hata dola bilioni 100. Tulikubaliana na Biden kwamba ilikuwa ruzuku, sio deni."
===============
JUST IN: Zelensky says that he received only $100 billion in U.S. aid as grant, not a loan.

"We don't recognize Ukraine's $500 billion debt to the US.

I don't even recognize $100 billion. We agreed with Biden that it was a grant, not a debt.

Ndugu Zele atamkumbuka sana Joe Biden
 
Mpuuzi kwakua anatetea nchi yake isipeleke silaha kumwaga ndani ya black hole sio?
Ukiona kakosea tengeneza wewe alafu uzipeleke mstari wa mbele
Kuna watu humu ndani wanajiona vipanga lakini akili tope kama uliyemjibu
 
Kabla sijasoma hili gazeti lako tunakubaliana kuwa hakuna mahali Russia walisema SO itafanyika kwa wiki 3​
Kwa hiyo alisema ni special operation ya miaka mtatu? Hata rafiki yake Alexander Lukashenko alimwonya kuwa anaweza kusababisha uadui wa muda mrefu, ila yeye akadai itakwisha kwa muda mfupi sana. Hata Xi Jiping mwenyewe (siyo wewe mjikwezaji) alimwonya kuwa asiendekeza vita ya kutafua sphere of influence badala yake ajaribu kutumia ushawishi, yeye akasema haitachukua muda kabisa. Leo tunaanza mwaka wa nne kukiwa na askari zaidi ya 850,000 wa urusi wamekuwa neutralized na wewe bado unasema ni Special operation siyo vita. Marekani kwa miaka 20 Iraq na Afghansian walipoteza askari wasiofikia 10,000, lakini Urusi kwa miaka mitatu wanakaribia milion moja. Sema tu kuwa Putin alimicalculate vita hiyo; alijiamini kuwa Su

Kama huna uhakika usiwe unpigana kutetea usliojua. Mwezi januari mwaka 2022, Urusi ilipeleka elite unit yake iliyoko Kostroma kwenda Kazakhstan likatuliza maasi, na ikazima maasi hayo ndani ya wiki moja. Alipoanza special Military operation alipeleka elite unit hiyo kwenda kuchukua Kiev, lakini wakauwawa sana, na ndiyo chanzo cha vita kuendelea kwa muda mrefu kwani alitegemea kuangusha Kiev harakaharaka na kumrudisa kibaraka wake Viktor Yanukovych madarakani. Mpango ulipoboma ndiyo akaanzisha vita ya moja kwa moja huko Eastern regions ambako alikuwa anatumia vibaraka wake kuweka vurugu hadi wakaangusha Malaysian Airlines fligh 17.
 
Interesting.

Unaona Imperial War Museum (IWM) ni “takataka za propaganda”? Huwa unasoma kazi za think tank zipi na ngapi zinazoaminika kuhusu masuala ya vita na migogoro ya kimataifa?
Screenshot_20250224-233808.jpg

Tetea kwanza hiyo hoja yako ya wiki 3 halafu ndio tutaweza kjkaa meza moja tufanye mjadala
 
Kwa hiyo alisema ni special operation ya miaka mtatu? Hata rafiki yake Alexander Lukashenko alimwonya kuwa anaweza kusababisha uadui wa muda mrefu, ila yeye akadai itakwisha kwa muda mfupi sana. Hata Xi Jiping mwenyewe (siyo wewe mjikwezaji) alimwonya kuwa asiendekeza vita ya kutafua sphere of influence badala yake ajaribu kutumia ushawishi, yeye akasema haitachukua muda kabisa. Leo tunaanza mwaka wa nne kukiwa na askari zaidi ya 850,000 wa urusi wamekuwa neutralized na wewe bado unasema ni Special operation siyo vita. Marekani kwa miaka 20 Iraq na Afghansian walipoteza askari wasiofikia 10,000, lakini Urusi kwa miaka mitatu wanakaribia milion moja. Sema tu kuwa Putin alimicalculate vita hiyo; alijiamini kuwa Su

Kama huna uhakika usiwe unpigana kutetea usliojua. Mwezi januari mwaka 2022, Urusi ilipeleka elite unit yake iliyoko Kostroma kwenda Kazakhstan likatuliza maasi, na ikazima maasi hayo ndani ya wiki moja. Alipoanza special Military operation alipeleka elite unit hiyo kwenda kuchukua Kiev, lakini wakauwawa sana, na ndiyo chanzo cha vita kuendelea kwa muda mrefu kwani alitegemea kuangusha Kiev harakaharaka na kumrudisa kibaraka wake Viktor Yanukovych madarakani. Mpango ulipoboma ndiyo akaanzisha vita ya moja kwa moja huko Eastern regions ambako alikuwa anatumia vibaraka wake kuweka vurugu hadi wakaangusha Malaysian Airlines fligh 17.
Hii umeandika ni pumba.

Hoja yetu ni lini mamlaka za Russia zilisema SO itakuwa ya wiki 3?

Wewe na mwenzako fanyeni juu chini muweze kututhibitishia hilo kwanza

Acheni haya magazeti yenu too long didn't read, a long post full of nonsense and bullshit
 
Kwa hiyo alisema ni special operation ya miaka mtatu? Hata rafiki yake Alexander Lukashenko alimwonya kuwa anaweza kusababisha uadui wa muda mrefu, ila yeye akadai itakwisha kwa muda mfupi sana. Hata Xi Jiping mwenyewe (siyo wewe mjikwezaji) alimwonya kuwa asiendekeza vita ya kutafua sphere of influence badala yake ajaribu kutumia ushawishi, yeye akasema haitachukua muda kabisa. Leo tunaanza mwaka wa nne kukiwa na askari zaidi ya 850,000 wa urusi wamekuwa neutralized na wewe bado unasema ni Special operation siyo vita. Marekani kwa miaka 20 Iraq na Afghansian walipoteza askari wasiofikia 10,000, lakini Urusi kwa miaka mitatu wanakaribia milion moja. Sema tu kuwa Putin alimicalculate vita hiyo; alijiamini kuwa Su

Kama huna uhakika usiwe unpigana kutetea usliojua. Mwezi januari mwaka 2022, Urusi ilipeleka elite unit yake iliyoko Kostroma kwenda Kazakhstan likatuliza maasi, na ikazima maasi hayo ndani ya wiki moja. Alipoanza special Military operation alipeleka elite unit hiyo kwenda kuchukua Kiev, lakini wakauwawa sana, na ndiyo chanzo cha vita kuendelea kwa muda mrefu kwani alitegemea kuangusha Kiev harakaharaka na kumrudisa kibaraka wake Viktor Yanukovych madarakani. Mpango ulipoboma ndiyo akaanzisha vita ya moja kwa moja huko Eastern regions ambako alikuwa anatumia vibaraka wake kuweka vurugu hadi wakaangusha Malaysian Airlines fligh 17.
Hivi wanajeshi 850,000 una wajua au unawasikia?
Kabla ya vita Urusi ilikuwa na wanajeshi 900,000 kiujumla kwa hiyo kwa takwimu zako Urusi kwa sasa imebakiza wanajeshi 50000 tu,mambo mengine muwe mnatumia akili.
 
I just made my point. Well, they say ignorance is bliss. Who am I to deny you your indulgence?
If u don't have proofs u don't have the points

When u can't bring a rational argument to the table, that means you know u're wrong 'cause you don't have any facts to support your argument

Idiot!
 
View attachment 3248466

Tetea kwanza hiyo hoja yako ya wiki 3 halafu ndio tutaweza kjkaa meza moja tufanye mjadala
Unajisumbua bure. Yako maandishi mengi ya wachambuzi yenye makisio tofauti tofauti kuanzia siku 10, wiki tatu, mwezi hadi miezi miwili. Nilichukua hilo la wiki 3 lililokaribiana na uvamizi wa Crimea February 2014.

Unashindwa kupata picha ya ujumbe toka matarajio ya mwezi hadi miaka mitatu. Unadai ushahidi wa wiki 3? Unaona raha kujiaminisha kuwa Putin alitarajia kabisa kuwa vitani na Ukraine muda wote huu >3yrs hadi anatafuta msaada wa wapiganaji toka N Korea na nchi zingine kufanikisha SO yake?

Na sasa anasubiri upatanishi wa Trump/USA badala ya kumaliza hiyo SO? Mantiki iko wapi hapo.
 
Wewe ni mwendawazimu ungekubali kuwa hilo ka wiki 3 umeteleza.

Kadiri unavyoendelea kutetea uongo ndivyo unazidi kuonekana mjinga
 
Hakuna mjinga anayeamini hii vita ingefika hata nusu mwaka. Tofauti ya Ukraine na Russia kwa idadi ya wapiganaji, silaha na pesa ni kubwa mno. Hata msaada wa silaha wa NATO haufuniki uwezo wa Russia. Ndio sababu Putin alipata jeuri ya kudai ni “special operation”; sio vita!

Miaka mitatu baadaye and counting unaweza kuamini unachopenda. Reality ni kuwa Zelenskyy aliyedharauliwa sana kama comedian, ameonyesha serious leadership ambayo haikutarajiwa kabisa. Ameweza kukabiliana na bully kishujaa sana.

Mnaofurahia harakati za madikteta na wanyanyasaji. Kwenu, Zelenskyy ni “mjinga” sana. Alitakiwa kuachia ngazi na kujikabidhi kwa bully ili ateswe, auawe au apelekwe utumwani kama wahenga wenu walivyouzana utumwani Ulaya na Uarabuni. Well, you’re entitled to your mindset and choices.
Mkuu unatumia mihemko badala ya fact.
Unashangaa Urusi kupigana na Ukraine inayo pewa misaada na mataifa zaidi ya 50 miaka 3, mbona huishangai Israel iliyo pambana na kundi dogo la wapiganaji mwaka na nusu na ameshindwa kuwashinda na kuwaangamiza?
Au mbona huishangai Marekani aliye pigana na Vietnam miaka 8 na hakufanikiwa kuteka hata kijiji?
Mbona huishangai usoviet iliyo pambana na mjahidina miaka kumi na kitu na wakaishindwa?
Kabla ya kushangaa miaka alio tumia Ukraine unajua Urusi alitumia muda gani kuwashinda wachechinia?
Au ww kwa akili yako unadhani vita ya Ukraine ndo vita ya kwanza Urusi kupigana kwahiyo hajui maana ya vita?
Au unadhani vita ni sawa na kucheza sindimba sio?
 
Hivi wanajeshi 850,000 una wajua au unawasikia?
Kabla ya vita Urusi ilikuwa na wanajeshi 900,000 kiujumla kwa hiyo kwa takwimu zako Urusi kwa sasa imebakiza wanajeshi 50000 tu,mambo mengine muwe mnatumia akili.
Jeshi la Urusi vitani Ukraine ni pamoja Syria, Wagner, North Korea, India, Sri Lanka ukiachilia mbali wale wa partial mobilization wanaondelea kupelekwa frontline kwa kupewa signing bonuses kubwa

1740430849117.png

1740430930045.png
 
Jeshi la Urusi vitani Ukraine ni pamoja Syria, Wagner, North Korea, India, Sri Lanka ukiachilia mbali wale wa partial mobilization wanaondelea kupelekwa frontline kwa kupewa signing bonuses kubwa

View attachment 3248470
View attachment 3248472
Acheni propaganda za kijinga huwezi kupoteza wanajeshi 850,000 katika ulimwengu wa sasa alafu uendelee kuhimili vita kwenye uwanja wa mapigano.
kwa idadi hiyo ya wanajeshi si tu Ukraine ilitakiwa kuwa imewafurusha wanajeshi wa Urusi ndani ya Ukraine bali walitakiwa wawe wamesha iteka Moscow na putin awe ukimbizini.
 
Putin anacheka chini chini.. Ukraine muda si mrefu itakuwa mkate wa boflo,laini kwenye maji ya moto..
 
Acheni propaganda za kijinga huwezi kupoteza wanajeshi 850,000 katika ulimwengu wa sasa alafu uendelee kuhimili vita kwenye uwanja wa mapigano.
kwa idadi hiyo ya wanajeshi si tu Ukraine ilitakiwa kuwa imewafurusha wanajeshi wa Urusi ndani ya Ukraine bali walitakiwa wawe wamesha iteka Moscow na putin awe ukimbizini.
nadhani wewe ni kati ya wanaopenda kusikia wanachomini tu: Confirmation bias ambao ndio ujinga mkubwa Je ukiambiwa nusu ya askari 11,000 wa North Korea tayari wameshauawa utaamini? Tena wengi wao wanajiuwa wenyewe kuogopa kuchukuliwa mateka.

Ni kutokana na wingi wa askari ndiyo maana urusi imeendelea na vita siyo kwa tactics. Wanauwawa wengi na urusi inazidi kuleta wengi hasa kutoka maeneo maskini ya Altai, Buryatia, Tyva, Ingushetia, na Amur. Kwenye majimbo hayo sasa kuna wimbi la akina mama kudai watoto wao
 
Ni bora utulie na kuendelea kufuatilia yanayoendelea. Angalau furahi basi kuwa sasa Putin kawa swahiba wa bosi wa NATO (Trump/USA). Marekani walishakubali wazo la Ukraine kujiunga NATO lisiwepo. Na sasa wameweka mkazo.

Usisumbuke na porojo nyingi. Hakuna namna Ukraine chini ya Zelenskyy ingeepuka uvamizi wa Urusi. Putin yuko katika “special mission” ya kusahihisha makosa ya kihistoria waliyofanya Bolsheviks (kina Vladmir Lenin) kuruhusu Ukraine iwe taifa huru ndani ya USSR mwaka 1919 na Nikita Kruschev kwa kuihamishia Crimea kwa Ukraine mwaka 1954. Yaelekea Trump atamsaidia kukamilisha hiyo mission.

Kwa vile unampenda sana Vladmir Putin basi jipe muda kusoma mawazo yake katika thesis hii aliyoandika kuhusu Ukraine ili ujue kuwa kiongozi makini hawezi kuandaa jeshi kwa muda mrefu na gharama kubwa kiasi kile kisha akaziba masikio kwa hatari (risk) zote ili kuvamia na kuiteka nchi huru yenye uimara wake kwa sababu zinazozungumzika:

Angalau tuwe na mjadala serious sio ushabiki pekee.
 
Back
Top Bottom