Jamaaa Putin ni sawa na Umeme HATARI yule jamaa akitaka ufe masaa24 tu unaaga Dunia!!!!Kama ulikuwa hujui putin kabla hata ya vita ameshajaribu mara nyingi sana kumuua zelensky na kashindwa mambo sio marahisi kama kukaa nyuma ya keyboard na kuan
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jamaaa Putin ni sawa na Umeme HATARI yule jamaa akitaka ufe masaa24 tu unaaga Dunia!!!!Kama ulikuwa hujui putin kabla hata ya vita ameshajaribu mara nyingi sana kumuua zelensky na kashindwa mambo sio marahisi kama kukaa nyuma ya keyboard na kuan
Trump anamugopa sana Putin hata kuongea naye anatafuta maneno mepesi.Jamaaa Putin ni sawa na Umeme HATARI yule jamaa akitaka ufe masaa24 tu unaaga Dunia!!!!
Mpaka sahivi kashindwa kumuua zelenskyJamaaa Putin ni sawa na Umeme HATARI yule jamaa akitaka ufe masaa24 tu unaaga Dunia!!!!
Marekani sio urusi kwamba mwenye akili ni mmoja.Trump ni dikteta kama Putin, ataongeza muda wa kutawala.
Mtanzania ambae hauko vitani ndio Nchi inategemea misaada mingi kuliko Nchi nyingi Afrika unamcheka alie kwenye mapambano kuwa anazoea dezo..Dah kuzoea dezo uku.
Zelensky ameshajua trump sio mwenzake tena sasa ameelekeza macho yake yote EU na jana EU wamempa zelenky aid ya Euro 3.5billion, Trump hana mpango wowote yeye hana msimamo mara anaongea hivi mara vileTrump anatafuta sababu akate msaada kwa Ukraine ili wamddhoofishe zaidi.
Hii yote Ili Ukraine akubali terms walizoelewana trump na Putin.
Leta takwimu acha porojo ww unadhani watu 850,000 ni nyanya sio?nadhani wewe ni kati ya wanaopenda kusikia wanachomini tu: Confirmation bias ambao ndio ujinga mkubwa Je ukiambiwa nusu ya askari 11,000 wa North Korea tayari wameshauawa utaamini? Tena wengi wao wanajiuwa wenyewe kuogopa kuchukuliwa mateka.
Ni kutokana na wingi wa askari ndiyo maana urusi imeendelea na vita siyo kwa tactics. Wanauwawa wengi na urusi inazidi kuleta wengi hasa kutoka maeneo maskini ya Altai, Buryatia, Tyva, Ingushetia, na Amur. Kwenye majimbo hayo sasa kuna wimbi la akina mama kudai watoto wao
Usichanganye vita ya Ukraine na hizo za kale. Elewa kwanza madhumuni na malengo ya kila vita. Marekani hawakwenda Vietnam kuteka nchi. Walitaka kuzuia utawala wa Vietcong (wakomunisti) - wakashindwa. Soviet walienda Afghanistan kutaka kumrejesha madarakani mtawala wa kikomunisti - wakashindwa.Mkuu unatumia mihemko badala ya fact.
Unashangaa Urusi kupigana na Ukraine inayo pewa misaada na mataifa zaidi ya 50 miaka 3, mbona huishangai Israel iliyo pambana na kundi dogo la wapiganaji mwaka na nusu na ameshindwa kuwashinda na kuwaangamiza?
Au mbona huishangai Marekani aliye pigana na Vietnam miaka 8 na hakufanikiwa kuteka hata kijiji?
Mbona huishangai usoviet iliyo pambana na mjahidina miaka kumi na kitu na wakaishindwa?
Kabla ya kushangaa miaka alio tumia Ukraine unajua Urusi alitumia muda gani kuwashinda wachechinia?
Au ww kwa akili yako unadhani vita ya Ukraine ndo vita ya kwanza Urusi kupigana kwahiyo hajui maana ya vita?
Au unadhani vita ni sawa na kucheza sindimba sio?
trump ni kigeu geu tu. Aliwahi kudhihaki Ukraine kupewa silaha za zamani, lakini leo anabadiliWenyewe wanaita vifurushi mara ya Joe Biden alitangaza kifurushi kipya cha msaada wa usalama cha dola bilioni 2.5 kwa Ukraine, ambacho kinajumuisha vifaa vya kijeshi vya dola bilioni 1.25 na dola bilioni 1.22 chini ya Mpango wa Usaidizi wa Usalama wa Ukraine (USAI).
Hamna cash money
Ukrainian President Volodymyr Zelenskyy confirmed that Ukraine has received approximately $76 billion of the $177 billion in aid approved by the United States. The statement, made during an interview with The Associated Press on February 2.
“When I hear – both in the past and even now – from the US that America has provided Ukraine with hundreds of billions [of dollars] 177, to be precise, based on what Congress approved, as the president of a nation at war, I can tell you – we’ve received more than US$75 billion,” Zelenskyy stated.
“So, when people talk about US$177 billion or even US$200 billion, we’ve never received that. That’s important. We’re talking about tangible things because this aid didn’t come as cash but rather as weapons, which amounted to about US$70 billion,” he added.
The President emphasized that Ukraine had not received $200 billion.
“But when it’s said that Ukraine received $200 billion to support the army during the war – that’s not true. I don’t know where all that money went. Perhaps it’s true on paper with hundreds of different programs – I won’t argue, and we’re immensely grateful for everything. But in reality, we received about US$76 billion. It’s significant aid, but it’s not US$200 billion,” Zelenskyy said.
Sijaona unachosimamia nini kama siyo kusimaisha mishipa ya shingo ili kukidhi haja ya kutaka kuonekana unajua kubisha bila kuwa na unalosimamia. Huwezi kupata jibu lolote la maana bila kuwa na hoja inayoelewekaLeta takwimu acha porojo ww unadhani watu 850,000 ni nyanya sio?
Ww unafuata takimu zinazo tolewa na Ukraine kwa ajili ya propaganda na kuziamini kweli ww hauko sawa kichwani.
Ni mwaka jana tu CIA ilitoa takwimu kuwa wanajeshi wa Urusi 200,000 wamekufa au wamejeruhiwa ww mwaka huu unatuambia 850,000 kwa hiyo mwaka huu urusi ilikuwa inapoteza wanajeshi 30000 kila siku?
Vita imewashinda mmeanza propaganda za kijinga.
Considering amekuwa madarakani muda wote huo wa crisis, trump hawez mchomoa wala hatomtishaKuna mlio bado hajatoa Zelensky kwa spana anazopigwa na Trump.
Ila sioni kama atakuwa madarakani in next three months.
Aya tuambie ni lini Tanzania imepewa usd bilion 500.?kwa kifupi hakuna cha bure iwe ni Tanzania wanakopa au Ukraine alipe alivopewa tena avitapike.Mtanzania ambae hauko vitani ndio Nchi inategemea misaada mingi kuliko Nchi nyingi Afrika unamcheka alie kwenye mapambano kuwa anazoea dezo..
Ataki kumuua mkuu uyo PUTIN Kaka ni Hatari!!! Unisimbue kukupa mifano!! HAMINI IVO akitaka icho kichwa Zalensky masaa 6 na apigwi na Kombora apana anapigwa risasi uku anatoa Macho ZALENSKSMpaka sahivi kashindwa kumuua zelensky
Putin Hawezi na ameshindwa kumuua zelenskyAtaki kumuua mkuu uyo PUTIN Kaka ni Hatari!!! Unisimbue kukupa mifano!! HAMINI IVO akitaka icho kichwa Zalensky masaa 6 na apigwi na Kombora apana anapigwa risasi uku anatoa Macho ZALENSKS
Tanzania hawadaiwi mkuu ni Nchi isiyotegemea misaada kutoka Nchi za Nje hata lile deni la Taifa wanalosema ni himilivu ni la Haiti sio Tanzania kwa sababu haijawahi kukopa.Aya tuambie ni lini Tanzania imepewa usd bilion 500.?kwa kifupi hakuna cha bure iwe ni Tanzania wanakopa au Ukraine alipe alivopewa tena avitapike.