Zelensky amemjibu Trump kwamba alipokea dola bilioni 100 tu za msaada wa Marekani kama ruzuku, sio mkopo

Zelensky amemjibu Trump kwamba alipokea dola bilioni 100 tu za msaada wa Marekani kama ruzuku, sio mkopo

Zele ashikilie hapo hapo, ikiwezekana akamuombe msamaha kaka yake Putin, wale ni ndugu hawawezi shindwana, damu nzito, amwambie USA alimdanganya ili akwapue madini yake. Kwangu mimi naona Bora Ukraine iwe sehemu ya Urusi kuliko anachokitaka Trump.
Ulaya wako pamoja na Ukraine.Trump atacome down.
 
  • Thanks
Reactions: Tsh
Nani alikwambia Urusi walipanga wiki 3 ya SO?
Ok. Walipanga miaka mitatu.

Kasome kauli za Putin mwanzoni mwa “special operation” alipopanga vifaru vyake kilomita kadhaa nje ya Kyiv.
 
Kwa hiyo NATO na Ukraine wamefanikiwa nini kwenye hili?
Miaka mitatu ya kazi ngumu toka kwa “comedian” hadi kujenga uswahiba kati ya Urusi na mkuu wa NATO. Tunasubiri kinachofuata.
 
Ok. Walipanga miaka mitatu.

Kasome kauli za Putin mwanzoni mwa “special operation” alipopanga vifaru vyake kilomita kadhaa nje ya Kyiv.
Acha porojo

Russia hawakupanga chochote

Lete hapa source kutoka Russia ikionyesha maafisa walisema walipanga SO ya wiki 3
 
Wanaukimbi.

Zelensky anasema kwamba alipokea msaada wa dola bilioni 100 pekee kama ruzuku, sio mkopo.

"Hatutambui deni la Ukraine la dola bilioni 500 kwa Marekani.

Sitambui hata dola bilioni 100. Tulikubaliana na Biden kwamba ilikuwa ruzuku, sio deni."
===============
JUST IN: Zelensky says that he received only $100 billion in U.S. aid as grant, not a loan.

"We don't recognize Ukraine's $500 billion debt to the US.

I don't even recognize $100 billion. We agreed with Biden that it was a grant, not a debt.

Business man in office says we will have to crosscheck every receipt with magnifying glass to see the figure correctly and make them pay or
 
Ni kweli kabisa! Duniani kuna takribani jumla ya watu bilioni 10. Sasa piga hesabu dola bilioni 500 zingegawiwa kwa idadi ya watu duniani kila mtu angepata dola ngapi? Jumlisha na za vita vingine vinavyotokea sehemu mbali mbali duniani.
Kila mtu angepata dola 50. Tu. ( kama laki na ishirini hivi za madafu
 
US ka-veto condemnation ya Russian invasion. Balaa sana
 
Wanaukimbi.

Zelensky anasema kwamba alipokea msaada wa dola bilioni 100 pekee kama ruzuku, sio mkopo.

"Hatutambui deni la Ukraine la dola bilioni 500 kwa Marekani.

Sitambui hata dola bilioni 100. Tulikubaliana na Biden kwamba ilikuwa ruzuku, sio deni."
===============
JUST IN: Zelensky says that he received only $100 billion in U.S. aid as grant, not a loan.

"We don't recognize Ukraine's $500 billion debt to the US.

I don't even recognize $100 billion. We agreed with Biden that it was a grant, not a debt.

Kuhusu msaada huo kuna taarifa zinapindishwa sana na wanasiasa wa marekani. Serikali ya Marekani ilitoa msaada mkubwa wa silaha, siyo fedha. Silaha hizo nyingi ni zile ambazo zilikuwa zinaanza kuwa decommisioned jeshini, nyingine hasa cluster munitions zilikuwa kwenye storage tangu vita ya Vietnam. Sasa kila silaha iliyotolewa msaada ilikuwa inapewa thamani, lakini sasa watu wanatafsri kuwa zilikuwa pesa taslimu.
 
Wenyewe wanaita vifurushi mara ya Joe Biden alitangaza kifurushi kipya cha msaada wa usalama cha dola bilioni 2.5 kwa Ukraine, ambacho kinajumuisha vifaa vya kijeshi vya dola bilioni 1.25 na dola bilioni 1.22 chini ya Mpango wa Usaidizi wa Usalama wa Ukraine (USAI).
Hamna cash money
>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>
Ukrainian President Volodymyr Zelenskyy confirmed that Ukraine has received approximately $76 billion of the $177 billion in aid approved by the United States. The statement, made during an interview with The Associated Press on February 2.

“When I hear – both in the past and even now – from the US that America has provided Ukraine with hundreds of billions [of dollars] 177, to be precise, based on what Congress approved, as the president of a nation at war, I can tell you – we’ve received more than US$75 billion,” Zelenskyy stated.

“So, when people talk about US$177 billion or even US$200 billion, we’ve never received that. That’s important. We’re talking about tangible things because this aid didn’t come as cash but rather as weapons, which amounted to about US$70 billion,” he added.

The President emphasized that Ukraine had not received $200 billion.

“But when it’s said that Ukraine received $200 billion to support the army during the war – that’s not true. I don’t know where all that money went. Perhaps it’s true on paper with hundreds of different programs – I won’t argue, and we’re immensely grateful for everything. But in reality, we received about US$76 billion. It’s significant aid, but it’s not US$200 billion,” Zelenskyy said.
>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>
 
Mzee achana na hizi takataka za propaganda lete source ikionyesha Russia wakisema SO ni week 3
Hakuna mjinga anayeamini hii vita ingefika hata nusu mwaka. Tofauti ya Ukraine na Russia kwa idadi ya wapiganaji, silaha na pesa ni kubwa mno. Hata msaada wa silaha wa NATO haufuniki uwezo wa Russia. Ndio sababu Putin alipata jeuri ya kudai ni “special operation”; sio vita!

Miaka mitatu baadaye and counting unaweza kuamini unachopenda. Reality ni kuwa Zelenskyy aliyedharauliwa sana kama comedian, ameonyesha serious leadership ambayo haikutarajiwa kabisa. Ameweza kukabiliana na bully kishujaa sana.

Mnaofurahia harakati za madikteta na wanyanyasaji. Kwenu, Zelenskyy ni “mjinga” sana. Alitakiwa kuachia ngazi na kujikabidhi kwa bully ili ateswe, auawe au apelekwe utumwani kama wahenga wenu walivyouzana utumwani Ulaya na Uarabuni. Well, you’re entitled to your mindset and choices.
 
UNBELIEVABLE !!!
BREAKING NEWS

US join Russia on a vote on Ukraine !!

The UN has adopted Ukraine’s resolution condemning Russian aggression and demanding the immediate withdrawal of Putin’s forces, marking the war’s third anniversary.
The U.S. joined Russia, North Korea, Belarus, and Hungary in opposing the resolution

Trump is ditching Ukraine completely, he needs to be out ASAP so he won't be seen as the US president who lost a war, who had to face another humiliation after Afghanistan.
Instead, EU will face the end of the war, the debts, the reconstruction, a failed state at its doors, a Nazi problem that could turn into terrorism as Ukrainian revenge against their sponsors.
 
Hakuna mjinga anayeamini hii vita ingefika hata nusu mwaka. Tofauti ya Ukraine na Russia kwa idadi ya wapiganaji, silaha na pesa ni kubwa mno. Hata msaada wa silaha wa NATO haufuniki uwezo wa Russia. Ndio sababu Putin alipata jeuri ya kudai ni “special operation”; sio vita!

Miaka mitatu baadaye and counting unaweza kuamini unachopenda. Reality ni kuwa Zelenskyy aliyedharauliwa sana kama comedian, ameonyesha serious leadership ambayo haikutarajiwa kabisa. Ameweza kukabiliana na bully kishujaa sana.

Mnaofurahia harakati za madikteta na wanyanyasaji. Kwenu, Zelenskyy ni “mjinga” sana. Alitakiwa kuachia ngazi na kujikabidhi kwa bully ili ateswe, auawe au apelekwe utumwani kama wahenga wenu walivyouzana utumwani Ulaya na Uarabuni. Well, you’re entitled to your mindset and choices.
Kabla sijasoma hili gazeti lako tunakubaliana kuwa hakuna mahali Russia walisema SO itafanyika kwa wiki 3​
 
Kabla sijasoma hili gazeti lako tunakubaliana kuwa hakuna mahali Russia walisema SO itafanyika kwa wiki 3​
Bado unatafuta tamko rasmi la Putin kuhusu muda? Wasting your time. Tafuta clip zote za Putin na media za Urusi kuhusu kuanza kwa special operation usikie makisio yaliyokuwa yakifanywa.

Baada ya kuteka Crimea chini ya mwezi mmoja (February-March 2014), walijua kuchukua Kyiv itakuwa a walk in the park huku wakishangiliwa na wananchi wa Ukraine. Hawakutarajia miaka mitatu ya uadui mkubwa.
 
Back
Top Bottom