Zelensky amemjibu Trump kwamba alipokea dola bilioni 100 tu za msaada wa Marekani kama ruzuku, sio mkopo

Zelensky amemjibu Trump kwamba alipokea dola bilioni 100 tu za msaada wa Marekani kama ruzuku, sio mkopo

... kwa kukiuka makubaliano ya kutoitanua NATO karibu na Russia ninaweza kusema "NDIO WALIPANGA UVAMIZI WA CRIMEA 2014! ... DOMINO EFFECT!
Makubaliano ya kutoitanua NATO yanaitwaje, yalifanyikia wapi, yalifanyika lini na viongozi gani walihusika?

NATO-Russia Founding Act 1997 ilihusu nini??
 
Zelensky is on a losing side and can not win. Trump does want to carry a loser with him

No other country will fight against Russia, even the NATO and Europe, why drag the war on any longer

After this is all over he’s going to be just a grease spot in history

Unahisi kwenye dellusion kubwa sana miaka 3 putin kamshindwa kumtoa zelensky mpaka putin anamlilia trump asimsaidie kumtoa zelenksy wewe uko wapi
 
... magharibi waliipanga vita hii kabla haijaanza na uchokozi waliufanya wakijua matokeo na watakachofanya!
HII ILIKUWA VITA YA NATO VS RUSSIA TOKA MWANZO!
Ni bora utulie na kuendelea kufuatilia yanayoendelea. Angalau furahi basi kuwa sasa Putin kawa swahiba wa bosi wa NATO (Trump/USA). Marekani walishakubali wazo la Ukraine kujiunga NATO lisiwepo. Na sasa wameweka mkazo.

Usisumbuke na porojo nyingi. Hakuna namna Ukraine chini ya Zelenskyy ingeepuka uvamizi wa Urusi. Putin yuko katika “special mission” ya kusahihisha makosa ya kihistoria waliyofanya Bolsheviks (kina Vladmir Lenin) kuruhusu Ukraine iwe taifa huru ndani ya USSR mwaka 1919 na Nikita Kruschev kwa kuihamishia Crimea kwa Ukraine mwaka 1954. Yaelekea Trump atamsaidia kukamilisha hiyo mission.

Kwa vile unampenda sana Vladmir Putin basi jipe muda kusoma mawazo yake katika thesis hii aliyoandika kuhusu Ukraine ili ujue kuwa kiongozi makini hawezi kuandaa jeshi kwa muda mrefu na gharama kubwa kiasi kile kisha akaziba masikio kwa hatari (risk) zote ili kuvamia na kuiteka nchi huru yenye uimara wake kwa sababu zinazozungumzika:


Angalau tuwe na mjadala serious sio ushabiki pekee.
 
Wanaukimbi.

Zelensky anasema kwamba alipokea msaada wa dola bilioni 100 pekee kama ruzuku, sio mkopo.

"Hatutambui deni la Ukraine la dola bilioni 500 kwa Marekani.

Sitambui hata dola bilioni 100. Tulikubaliana na Biden kwamba ilikuwa ruzuku, sio deni."
===============
JUST IN: Zelensky says that he received only $100 billion in U.S. aid as grant, not a loan.

"We don't recognize Ukraine's $500 billion debt to the US.

I don't even recognize $100 billion. We agreed with Biden that it was a grant, not a debt.

Vyovyote vile, ajue hii Vita ndio imeisha, it's the matter of when and how, Mzee Trump, anataka kila msaada atakaotoa, ulindwe (collateralized) ama kwa mikataba ya kuchimba gesi na mafuta,au madini! Hakuna cha bure, Trump anataka kuimaliza Vita mezani,akiwa, yeye na Mzee Putin tu, Zelensky hatakaribishwa kwenye kikao,
Kwa ufupi, ukraine iliingizwa Chaka na utawala wa Biden, Biden alifikiri akianzisha Vita, na Russia, ukraine inaingia nato, Russia atachoka na Vita itaisha, na sphere of influence ya America, na western world itakuwa imeinzingira Russia, na Russia atadhibitiwa vzr, Mambo yameenda kinyume
 
Back
Top Bottom