Zelensky athibitisha kuwa Bakhmut yote imetekwa na Urusi

Sikirimimimasikini

JF-Expert Member
Joined
Dec 27, 2019
Posts
2,926
Reaction score
15,634
Deutsche Welle (DW) ya Ujeumani yaripoti kuwa Zelensky amethibitisha kuwa mji wa Bakhmut wote umeshatekwa na majeshi ya Urusi.

Hayo yamejiri leo jumapili wakati Bwana Zele alipokuwa kwenye mkutano wa G7 na mabosi wake ambapo mabosi wake walimuuliza Zele kama Ukraine inamiliki walau kamtaa kwenye mji wa Bakhmut.

Bwana Zele akashindwa kuwaongopea mabosi wake, hatimaye kwa masikitiko makubwa na uso uliojaa fedheha iso na kifani akajibu HAPANA, Ukraine kwa sasa haimiliki sehemu yoyote ya Bakhmut, si tu mtaa bali hata kanyumba kamoja.

Cc: MK254

=======


 

Ujifunze kufanya copy pasting ya taarifa zote, mbona umeepuka kuweka hii paragraph

The claim that the city has been captured was disputed on Saturday by Ukrainian officials, who said fighting to control the city continued.​


Ukraine's Deputy Defense Minister Hanna Maliar said heavy fighting was continuing.
 
Ha ha ha haa.
Jinsi unavyoiandika habari hii ni entertainment tosha kabisa.
Unareport kwa mbwembwe na madaha sana..
Ila ushindi mtamu asikuambie mtu.
 
Nahisi umechanganyikiwa Mkuu, unakopi habari ya DW ya jana jumamosi (Saturday) tena toka kwa viongozi uchwara wa Ukraine halafu wasiotajwa majina wakati mie habari hii niliyoileta ni ya leo leo jumapili tena hata lisaa limoja halijapita toka iripotiwe...na zaidi ya yote inatoka kwa Rais wa Ukraine Bwana Zelensky akiongea officially kwenye mkutano wa G7.

 

Unaelewa nini maana ya neno "appears"
 
Eneo gani la mji huo linalopiganiwa atoe coordinate tumuonyeshe picha ya eneo hilo ambalo hakuwa na taarifa nalo kuwa limechukuliwa na Russia. Mbona Ni Rahisi tu kuonyesha eneo!

Cordinates unataka za nini, mnachekesha sana maustadh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…