Zelensky: Hakuna nchi inayoweza kustahimili vita na Urusi peke yake

uyu rais anakomalia maslai yake bnafs alaf apigan yeye anapganishwa ili hal uwezo wa taifa lake dogo utapgan vp vita kwa kutegmea misada ilihal aliambiwa asijiunge nato mrus atak adui yake akarbie barazan kwake akakaid pia kujiuzur akimbilie uamishon vita viishe atak raia waseiendelekuzurik asa saiv anakamat kila kijan mtaan jeshin wakapgan jesh linapngua nchi inazd kuharbka kwann asiitishe makubalian tu aomne poo sifa ya kiongoz ni kulinda raia wko kulikua na sabab gan za kupgan vita kwa kulazmsha kujiunga nato angekataa kufat mkumbo wa marekan angekua ikulu kwa aman tu
 
Wale wachambuzi uchwara walioshiba ugali humu JF utakuta bado wanalia na kupiga miguu wakisema "Russia ni Simba wa karatasi na supapawa feki!"

Hapo dancer mkata viuno, mcheza uchi, mvaa skin tight na viatu vya kike na mwenye vita yake kasema Russia sio utani. Lakini wale wachambuzi vita kutoka tatahimba hawatokubali.
 
Taifa la Mungu Israeli likiingia front wakiwa na Mungu - Yehova YWHW, dakika sifuri Russia anasamaratishwa. rejea vita ya Daudi na Goliathi
Ila Sasa hivi Mungu kawaacha kwa sababu wamemuasi na kurudia zile tabia zilizopelekea Mungu kuangamiza Miji ya Sodoma na Gomorra.
Ni wazi Sasa hivi Mungu Yuko pamoja na Urusi.
 
Mmarekani peke yake hawezi , jeshi limejaa mashoga na ndio hata na Afghanistani tu akaichukuwa Nato kupigana , na Sadam Hussein kaichukuwa Nato na wazungu wengine, peke yake ingalimshinda kama alivyoshindwa Vietnam
Hujamaliza mbona?
Pamoja na kuchukua kikundi Cha mazezeta wenzake lakini bado alikimbia Afghanistan na kuacha lindo la silaha ambazo hata nchi kama Nigeria hawana
 
Gabbar Sing hongera kwa kujitahidi kuongea kiswahili ingawa kwa shida sana.
Kwanza msalimie Amitah Barchan,Mithun Chakraborty na Amjad Khan.
Lakini huyo zelensky Hana nguvu wala sauti,kama angekataa kujiunga na NATO ,USA wangemtoa mapema sana,maana lengo la USA ni kumsogelea Urusi mlangoni kabisa.
Sio kumtoa hivihivi TU,bali hata kumuua kabisa.
 
Mungu ana Agano la milele na Israeli. Mungu huheshimu Agano alilolifanya na Ibrahimu, Isaka na Yakobo.
Ni kweli,ila pale waisrael walipomuasi Mungu,Mungu aliwaacha watiwe adabu kidogo mpaka pale akili ilipowakaa sawa na kutubu na kisha kumrudia.
Kuna kipindi Mungu aliwapa adhabu Kali na aliweza hata kuwaacha wakapigwa na maadui zao Hadi walipotmbua makosa Yao na kuomba msamaha

Hata hivyo kaa ukijua Urusi Hana uadui na Israel.
 
hahahaha kwiyo bora ale bata huku raia wanaisha sas atamtawala nan wananch wanapungua kila uchao
 
Mungu ana Agano la milele na Israeli. Mungu huheshimu Agano alilolifanya na Ibrahimu, Isaka na Yakobo.

Agano na Israeli ipi ? au hii iliyopo sasa taifa la mashoga ??

Your browser is not able to display this video.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…