Zelensky kidogo amwage chozi katika interview na BBC

Zelensky kidogo amwage chozi katika interview na BBC

State Propaganda

JF-Expert Member
Joined
Apr 25, 2024
Posts
542
Reaction score
1,286
Raisi wa Ukraine [emoji1255] V. Zelensky katika mahojiano na BBC kuhusu vita baina yake na Russia amejikuta akitaka kutokwa na machozi pale alipobananishwa na mwandishi wa habari baada ya kutakwa kutaja idadi ya wanajeshi wake wanaolamba mchanga kila siku vitani.

Majibu ya Zelensky Yalikuw kama ifuatavyo.

"Najua tunapoteza wanajeshi wengi kila siku, na idadi hiyo inaendelea kuongezeka kila siku. Siwezi kutaja idadi kamili wakati huu kwa sababu sitaki Urusi ifahamu."

"I know how many people we lose every day. I see these changes every day. And they are not decreasing. We cannot disclose the number right now because I do not want Russia to know the figures."
 
Hilo Jinga kweli katika watu duniani, sijaona.

Ukraine ilikuwa Paradise kabisa niliwahi kwenda kule mara mbili, nchi ilikuwa absolutely superb.

Huyo comedy alipandikizwa hapo na America ili wapate njia ya kupigana na Mrusi, na lilivyo jinga hilo Yahudi likawaingiza wa Ukraine cha kikanisa.

Ukraine imevurugwa kabisa nchi yao labda itahitajia miaka 25 au 30 irudi kama ilivyo kuwa.

Na bado wamshukuru Putin ana roho nzuri hawa ndio wakristo nawakubali sio kina Biden wajila nyaa.

Biden anafanana tabia na wafuasi wa Paulo hapa JF c wote karibu 90%
 
Kwa hiyo Vlodomir alianzisha vita kupingana na nchi yake mwenyewe?
Mimi na kuliza swali atoke askari wa America aje Tanzania, apigane na Kenya, nani ni fala hapo.

Putin alikuwa hana shida na Ukraine, waliwapa nchi, lakini huyo bwege akasababisha maneno kudai Cremia imebebwa kinguvu na Putin anataka kuikomboa. Sa ujinga wake ndio atasababisha majimbo mengine yataliwa na Mrusi ndio bye bye tena, kwa ujinga wa huyo comedian.
 
Mimi na kuliza swali atoke America aje Tanzania, apigane na Kenya nani ni fala hapo.

Putin alikuwa hana shida na Ukraine, waliwapa nchi, lakini huyo bwege akasababisha Cremia kubebwa. Pia kuna majimbo mengine yataliwa na Mrusi ndio bye bye tena, kwa ujinga wa huyo comedian.
Kiswahili chako kigumu sijaelewa.Nitafsirie.Una maanisha nini hapo?
 
Mimi na kuliza swali atoke America aje Tanzania, apigane na Kenya nani ni fala hapo.

Putin alikuwa hana shida na Ukraine, waliwapa nchi, lakini huyo bwege akasababisha Cremia kubebwa. Pia kuna majimbo mengine yataliwa na Mrusi ndio bye bye tena, kwa ujinga wa huyo comedian.
Hivi unajua ni lini Crimea ilichukuliwa lini na Putin?
 
Dunia Iko chini ya yule mwovu (shetani). Lazima vita viwepo duniani ili damu zimwagike masheitwani yanywe damu maana ndio chakula chao. Mwamini Yesu upate wokovu upate uhakika wa kuingia katika mbingu mpya na nchi mpya huko ndiko kwenye makao yetu sio katika dunia hii mbovu iliyopo sasa
 
Aliyekuwa raisi wa Ukraine [emoji1255] V. Zelensky katika mahojiano na BBC kuhusu vita baina yake na Russia amejikuta akitaka kutokwa na machozi pale alipobananishwa na mwandishi wa habari baada ya kutakwa kutaja idadi ya wanajeshi wake wanaolamba mchanga kila siku vitani.

Majibu ya Zelensky Yalikuw kama ifuatavyo.

"Najua tunapoteza wanajeshi wengi kila siku, na idadi hiyo inaendelea kuongezeka kila siku. Siwezi kutaja idadi kamili wakati huu kwa sababu sitaki Urusi ifahamu."

"I know how many people we lose every day. I see these changes every day. And they are not decreasing. We cannot disclose the number right now because I do not want Russia to know the figures."

Chanzo :Telegram channeli ya ukraine_watch
View attachment 3050100View attachment 3050101
ni mjinga tu atamlaumu Zele kwa mgogoro kaukuta au kumlaum kwa nchi yake kuvamiwa
 
Mimi na kuliza swali atoke America aje Tanzania, apigane na Kenya nani ni fala hapo.

Putin alikuwa hana shida na Ukraine, waliwapa nchi, lakini huyo bwege akasababisha Cremia kubebwa. Pia kuna majimbo mengine yataliwa na Mrusi ndio bye bye tena, kwa ujinga wa huyo comedian.
wajinga kama nyiny ndo mtaji wa Putin , hujui hata lin Zele kaingia madarakan na lin Crimea imeporwa na Russia
 
Russia kapoteza wanajeshi wengi Sana kuliko Ukraine Ila ni taifa LA kidictator hawasemi. Vita sio kitu kizuri

Russia kapoteza wanajeshi wengi Sana kuliko Ukraine Ila ni taifa LA kidictator hawasemi. Vita sio kitu kizuri
Kila askari mmoja wa urusi anaye uliwa basi ukrain inapoteza askari 14 hadi 18 sasa piga hesabu mfano urusi kapoteza askali 20000 basi ukrain inakuwa imepoteza 280000
 
wajinga kama nyiny ndo mtaji wa Putin , hujui hata lin Zele kaingia madarakan na lin Crimea imeporwa na Russia
Hapo nimekubali niliteleza kuandika Crimea, uzuri wetu wafuasi wa Mtume Muhammad tukikosea tunakubali hata kuitwa wajinga asiye kubali kakosea hajifunzi, safi sana mara ya kwanza mkristo kanizidi akili 😄
 
Back
Top Bottom