Zelensky kidogo amwage chozi katika interview na BBC

Zelensky kidogo amwage chozi katika interview na BBC

Hiyo ni mifano miwili tofauti. Tafuta mwl wa Historia akupe lecture kuhusu historia ya Rusia na Ukraini
Amtafute wapi?
Mtafute wewe huyo mwalimu akupe lecture uje kutupa lecture hapa.
 
Akili zina focus kwenye minofu, afu ghafla unakutana na wafuasi wa yule alikosa hata nyumba ya kulala, akaishia kulala chini ya mti akitokea Damascus, mwenzenu kwa mchoko wa safari alimuona kwenye ndoto Shetani akasema Yesu
Nasikia mmefikia mpaa ku edit Yesu anawambia kweli yeye ni Mungu wakati mwanzo alisema katumwa 😄 Afu mme edit eti Yesu ndio aliongea na Mussa, sio Mungu.
Kwa nini umeamua kulichanganya suala la Ukraine na udini?!
Unataka watu wa upande mwingine nao waanze kuhoji nani alimtokea mtume wako pangoni na kama kweli kitabu chako kilishushwa au ni hadithi tu za ngano kama hadithi nyingine??
 
Kwa nini umeamua kulichanganya suala la Ukraine na udini?!
Unataka watu wa upande mwingine nao waanze kuhoji nani alimtokea mtume wako pangoni na kama kweli kitabu chako kilishushwa au ni hadithi tu za ngano kama hadithi nyingine??
Lazima ipo reason flani ndio ikaingia dini, we hapa umeisha ingiza dini. Wewe fatilia story ya Mtume Muhammad kabla ya kupewa utume utafahamu maisha yake, hajawahi kusema uwongo.

Kabla ya kupewa utume alikuwa akitwa na warabu Sadiq Al Amin mana yake ni mwaminifu wa kweli, hata mke wake wakwanza bi Khadija Al Khuweled alimuajiri kazi wakati ule.
Bn
Bi Khadija alikuwa amefata dini ya kikristo vizuri tu., na alipo ona Mtume Muhammad ni mwaminifu yeye ndiye alimproposal Mtume Muhammad amuowe, na Mtume alikubali.

Wakati ule bi Khadija ana miaka 40 na Mtume ana miaka 25, lakini wakristo kama nyie huwa hamuongelei point hi 👋

Nyie huwa mnafata point za kumchafua Mtume Muhammad, eti alimuowa bi Aisha ana miaka 9 wakati hamna dali za ukweli, wakati ukweli bi Aisha alikuwa ana miaka 17 au 19 tena ni Mwenyezi Mungu ndio alimletea Ruia akamuowe bi Aisha. si kama mnavyo dai nyie.

Wakati hamuongelei mama yake Yesu alizaa ana umri wa miaka 12, tena kabla ya kuzaa alisha poswa na Joseph akiwa ndogo kabisa 😄

Kwa hio we si lazima umwamini Mtume Muhammad wacha sisi tuendelee kumuamini. Na we endelea kumuamini Mtume wako Paulo a.k.a Saul, afu sa chunguza story ya huyo Saul wako na Mtume Muhammad back ground zao, ndio utapata jawabu nani ni mkweli.
 
Damu ya yesu alikunywa nani?
Damu ya Yesu imetupatanisha na Mungu kwa kutufutia dhambi zetu sisi tuliomwamini Yesu kuwa Bwana na Mwokozi wa maisha yetu. Kupitia Damu ya Yesu tumehesabiwa haki mbele za Mungu, Baba yetu. Hata sasa Damu ya Yesu inanena mema juu yetu.

Karibu kwenye ufalme ndugu, bado mlango wa neema uko wazi.

YESU NI BWANA NA MWOKOZI
 
Paradiso ikoje?
Ulienda Ukraine baada ya Crimea kuvamiwa na Putin mwaka 2014 au kabla yake?
Uliweza kufika Mashariki mwa Ukraine katika majimbo ya Donetsk na Luhansk yanayounda mkoa wa Donbas? Nayo yalikuwa kama paradiso??
We hebu nipe mfano nchi ipi miji yao yote iko sawa? Hata Tanzania kila miji iko tofouti na mingine kuna miji mizuri na kuna miji si mizuri.
 
Back
Top Bottom