Adiosamigo
JF-Expert Member
- Oct 2, 2013
- 7,681
- 9,892
dogo imekuwa nyimbo za kanisani, siniliteleza hapo nimekubali, badala kusema huyo kichaa alipo kuja akanza kudai eti Crimea yao sio ya Mrusi.Hivi unajua ni lini Crimea ilichukuliwa lini na Putin?