ACHA kuvuta.Wafuasi wa muda akili hamna kabisa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ACHA kuvuta.Wafuasi wa muda akili hamna kabisa
Past future tense is when a future action is so certain to occur that it's tantamount to considering it already accomplished in the past.Dah mkuu umenichekesha sana 'past future tense '
Siyo 1:18 bali ni 1:50 hadi 90 (KIA\MIA). It's an established fact!Kila askari mmoja wa urusi anaye uliwa basi ukrain inapoteza askari 14 hadi 18 sasa piga hesabu mfano urusi kapoteza askali 20000 basi ukrain inakuwa imepoteza 280000
Maelezo mengi halafu hueleweki bado.dogo muwe mnatulia kidogo ujuwe sometimes, binadamu anaweza kutype akandika hajakikusudia alicha taka kuandika, sababu watu kama sisi tuna deal na Dubai Financial Market (DFM).
Akili zina focus kwenye minofu, afu ghafla unakutana na wafuasi wa yule alikosa hata nyumba ya kulala, akaishia kulala chini ya mti akitokea Damascus, mwenzenu kwa mchoko wa safari alimuona kwenye ndoto Shetani akasema Yesu
Pia inabidi tuwafahamishe hivi tukikosea kutype, sio kosa kwanini waliweka edit? Hamjiulizi mbona nyie kila siku mnaedit bibilia zenu.
Nasikia mmefikia mpaa ku edit Yesu anawambia kweli yeye ni Mungu wakati mwanzo alisema katumwa 😄 Afu mme edit eti Yesu ndio aliongea na Mussa, sio Mungu.
Aisay wakristo mmepiga hatua kali sana, mnataka kufika zaidi ya Jahanamu nasikia. Mpa mnabadili walicho ongea Mitume wa Mungu, Paulo asifiwe kwa jina la baba na mwana, na roho mtakatifu 3=1 😄
dogo mimi nawajua wadogo kwangu na wakubwa kwangu, mimi kwa tarifa yako we unaweza ukawa sawa na mtoto wangu yule wa mwisho ki umri.Maelezo mengi halafu hueleweki bado.
NB;Kuhusu "dogo",chungulia kwenye bukta utamuona.
Ukraine ilivamiwa na RussiaHilo Jinga kweli katika watu duniani, sijaona.
Ukraine ilikuwa Paradise kabisa niliwahi kwenda kule mara mbili, nchi ilikuwa absolutely superb.
Huyo comedy alipandikizwa hapo na America ili wapate njia ya kupigana na Mrusi, na lilivyo jinga hilo Yahudi likawaingiza wa Ukraine cha kikanisa.
Ukraine imevurugwa kabisa nchi yao labda itahitajia miaka 25 au 30 irudi kama ilivyo kuwa.
Na bado wamshukuru Putin ana roho nzuri hawa ndio wakristo nawakubali sio kina Biden wajila nyaa.
Biden anafanana tabia na wafuasi wa Paulo hapa JF c wote karibu 90%
Nakala Kwa kp kipanya44 aione kwenye jalada.Raisi wa Ukraine [emoji1255] V. Zelensky katika mahojiano na BBC kuhusu vita baina yake na Russia amejikuta akitaka kutokwa na machozi pale alipobananishwa na mwandishi wa habari baada ya kutakwa kutaja idadi ya wanajeshi wake wanaolamba mchanga kila siku vitani.
Majibu ya Zelensky Yalikuw kama ifuatavyo.
"Najua tunapoteza wanajeshi wengi kila siku, na idadi hiyo inaendelea kuongezeka kila siku. Siwezi kutaja idadi kamili wakati huu kwa sababu sitaki Urusi ifahamu."
"I know how many people we lose every day. I see these changes every day. And they are not decreasing. We cannot disclose the number right now because I do not want Russia to know the figures."
Umeandika pumba sanaRussia kapoteza wanajeshi wengi Sana kuliko Ukraine Ila ni taifa LA kidictator hawasemi. Vita sio kitu kizuri
Vp Ukraine ambo ni taifa la kidemokrasia wamesema ??!!!Russia kapoteza wanajeshi wengi Sana kuliko Ukraine Ila ni taifa LA kidictator hawasemi. Vita sio kitu kizuri
We mbwa koko una maana gani !.Huyo comedy alipandikizwa hapo na America ili wapate njia ya kupigana na Mrusi, na lilivyo jinga hilo Yahudi likawaingiza wa Ukraine cha kikanisa.
Rais mpuuzi wa karne!Raisi wa Ukraine [emoji1255] V. Zelensky katika mahojiano na BBC kuhusu vita baina yake na Russia amejikuta akitaka kutokwa na machozi pale alipobananishwa na mwandishi wa habari baada ya kutakwa kutaja idadi ya wanajeshi wake wanaolamba mchanga kila siku vitani.
Majibu ya Zelensky Yalikuw kama ifuatavyo.
"Najua tunapoteza wanajeshi wengi kila siku, na idadi hiyo inaendelea kuongezeka kila siku. Siwezi kutaja idadi kamili wakati huu kwa sababu sitaki Urusi ifahamu."
"I know how many people we lose every day. I see these changes every day. And they are not decreasing. We cannot disclose the number right now because I do not want Russia to know the figures."
Examples: noun/ pronoun+will/shall + have/ has + verb in past participle.......Past future tense is when a future action is so certain to occur that it's considered already accomplished in the past.
Mbwa koko ni wewe dogo sababu tabia zenu zimefanana.We mbwa koko una maana gani !.
Ivi kiingereza kinakupa shida gani wewe au ulisoma jioni people tafsiri yake ni watu sio wanajeshiRaisi wa Ukraine [emoji1255] V. Zelensky katika mahojiano na BBC kuhusu vita baina yake na Russia amejikuta akitaka kutokwa na machozi pale alipobananishwa na mwandishi wa habari baada ya kutakwa kutaja idadi ya wanajeshi wake wanaolamba mchanga kila siku vitani.
Majibu ya Zelensky Yalikuw kama ifuatavyo.
"Najua tunapoteza wanajeshi wengi kila siku, na idadi hiyo inaendelea kuongezeka kila siku. Siwezi kutaja idadi kamili wakati huu kwa sababu sitaki Urusi ifahamu."
"I know how many people we lose every day. I see these changes every day. And they are not decreasing. We cannot disclose the number right now because I do not want Russia to know the figures."
SahihiRussia kapoteza wanajeshi wengi Sana kuliko Ukraine Ila ni taifa LA kidictator hawasemi. Vita sio kitu kizuri
Damu ya yesu alikunywa nani?Dunia Iko chini ya yule mwovu (shetani). Lazima vita viwepo duniani ili damu zimwagike masheitwani yanywe damu maana ndio chakula chao. Mwamini Yesu upate wokovu upate uhakika wa kuingia katika mbingu mpya na nchi mpya huko ndiko kwenye makao yetu sio katika dunia hii mbovu iliyopo sasa
alicheza kete mbaya sana kutoa sadaka nchi yake iliyojengwa kwa miaka mingi.Raisi wa Ukraine [emoji1255] V. Zelensky katika mahojiano na BBC kuhusu vita baina yake na Russia amejikuta akitaka kutokwa na machozi pale alipobananishwa na mwandishi wa habari baada ya kutakwa kutaja idadi ya wanajeshi wake wanaolamba mchanga kila siku vitani.
Majibu ya Zelensky Yalikuw kama ifuatavyo.
"Najua tunapoteza wanajeshi wengi kila siku, na idadi hiyo inaendelea kuongezeka kila siku. Siwezi kutaja idadi kamili wakati huu kwa sababu sitaki Urusi ifahamu."
"I know how many people we lose every day. I see these changes every day. And they are not decreasing. We cannot disclose the number right now because I do not want Russia to know the figures."
Wafuasi wa Paulo Makonda au Paulo mtume wa biblia??Biden anafanana tabia na wafuasi wa Paulo hapa JF c wote karibu 90%
Paradiso ikoje?Ukraine ilikuwa Paradise kabisa niliwahi kwenda kule mara mbili, nchi ilikuwa absolutely superb.