State Propaganda
JF-Expert Member
- Apr 25, 2024
- 542
- 1,286
ndio manake past future hapo anakaa ikulu ya Ukraine bila sheria"Aliyekuwa Rais wa Ukraine"?Kivipi?Au ni past-future?
Badala atoe taarifa,ameweka kiwango chake cha chuki.Sawa ila hiyo picha mzee🙌🙌
Mimi na kuliza swali atoke askari wa America aje Tanzania, apigane na Kenya, nani ni fala hapo.Kwa hiyo Vlodomir alianzisha vita kupingana na nchi yake mwenyewe?
Dah mkuu umenichekesha sana 'past future tense '"Aliyekuwa Rais wa Ukraine"?Kivipi?Au ni past-future?
Kiswahili chako kigumu sijaelewa.Nitafsirie.Una maanisha nini hapo?Mimi na kuliza swali atoke America aje Tanzania, apigane na Kenya nani ni fala hapo.
Putin alikuwa hana shida na Ukraine, waliwapa nchi, lakini huyo bwege akasababisha Cremia kubebwa. Pia kuna majimbo mengine yataliwa na Mrusi ndio bye bye tena, kwa ujinga wa huyo comedian.
Vita sio nzuri kabisa huwa naangalia Kongo, Sudani watoto,wanawake na wazee wanavyoteseka dah ni huzuni sana.Russia kapoteza wanajeshi wengi Sana kuliko Ukraine Ila ni taifa LA kidictator hawasemi. Vita sio kitu kizuri
Hivi unajua ni lini Crimea ilichukuliwa lini na Putin?Mimi na kuliza swali atoke America aje Tanzania, apigane na Kenya nani ni fala hapo.
Putin alikuwa hana shida na Ukraine, waliwapa nchi, lakini huyo bwege akasababisha Cremia kubebwa. Pia kuna majimbo mengine yataliwa na Mrusi ndio bye bye tena, kwa ujinga wa huyo comedian.
ni mjinga tu atamlaumu Zele kwa mgogoro kaukuta au kumlaum kwa nchi yake kuvamiwaAliyekuwa raisi wa Ukraine [emoji1255] V. Zelensky katika mahojiano na BBC kuhusu vita baina yake na Russia amejikuta akitaka kutokwa na machozi pale alipobananishwa na mwandishi wa habari baada ya kutakwa kutaja idadi ya wanajeshi wake wanaolamba mchanga kila siku vitani.
Majibu ya Zelensky Yalikuw kama ifuatavyo.
"Najua tunapoteza wanajeshi wengi kila siku, na idadi hiyo inaendelea kuongezeka kila siku. Siwezi kutaja idadi kamili wakati huu kwa sababu sitaki Urusi ifahamu."
"I know how many people we lose every day. I see these changes every day. And they are not decreasing. We cannot disclose the number right now because I do not want Russia to know the figures."
Chanzo :Telegram channeli ya ukraine_watch
View attachment 3050100View attachment 3050101
wajinga kama nyiny ndo mtaji wa Putin , hujui hata lin Zele kaingia madarakan na lin Crimea imeporwa na RussiaMimi na kuliza swali atoke America aje Tanzania, apigane na Kenya nani ni fala hapo.
Putin alikuwa hana shida na Ukraine, waliwapa nchi, lakini huyo bwege akasababisha Cremia kubebwa. Pia kuna majimbo mengine yataliwa na Mrusi ndio bye bye tena, kwa ujinga wa huyo comedian.
Na Russia imeharibiwa sana kuliko Ukraine ila kwakua ni taifa la kidikteita hawasemi ukweliRussia kapoteza wanajeshi wengi Sana kuliko Ukraine Ila ni taifa LA kidictator hawasemi. Vita sio kitu kizuri
Russia kapoteza wanajeshi wengi Sana kuliko Ukraine Ila ni taifa LA kidictator hawasemi. Vita sio kitu kizuri
Kila askari mmoja wa urusi anaye uliwa basi ukrain inapoteza askari 14 hadi 18 sasa piga hesabu mfano urusi kapoteza askali 20000 basi ukrain inakuwa imepoteza 280000Russia kapoteza wanajeshi wengi Sana kuliko Ukraine Ila ni taifa LA kidictator hawasemi. Vita sio kitu kizuri
Hapo nimekubali niliteleza kuandika Crimea, uzuri wetu wafuasi wa Mtume Muhammad tukikosea tunakubali hata kuitwa wajinga asiye kubali kakosea hajifunzi, safi sana mara ya kwanza mkristo kanizidi akili 😄wajinga kama nyiny ndo mtaji wa Putin , hujui hata lin Zele kaingia madarakan na lin Crimea imeporwa na Russia
Ngadholya ngasu sha la Maria 😄Kiswahili chako kigumu sijaelewa.Nitafsirie.Una maanisha nini hapo?