Adiosamigo
JF-Expert Member
- Oct 2, 2013
- 7,681
- 9,892
dogo imekuwa nyimbo za kanisani, siniliteleza hapo nimekubali, badala kusema huyo kichaa alipo kuja akanza kudai eti Crimea yao sio ya Mrusi.Hivi unajua ni lini Crimea ilichukuliwa lini na Putin?
Naamini ulienda kupata matibabu ya ugonjwa wako wa akiliHilo Jinga kweli katika watu duniani, sijaona.
Ukraine ilikuwa Paradise kabisa niliwahi kwenda kule mara mbili, nchi ilikuwa absolutely superb.
Huyo comedy alipandikizwa hapo na America ili wapate njia ya kupigana na Mrusi, na lilivyo jinga hilo Yahudi likawaingiza wa Ukraine cha kikanisa.
Ukraine imevurugwa kabisa nchi yao labda itahitajia miaka 25 au 30 irudi kama ilivyo kuwa.
Na bado wamshukuru Putin ana roho nzuri hawa ndio wakristo nawakubali sio kina Biden wajila nyaa.
Biden anafanana tabia na wafuasi wa Paulo hapa JF c wote karibu 90%
Mjinga ni Zelensky au wewe? Yaani mfano, unataka kusema alivyokuja Idd Amin Dadah akadai Mkoa wa Kagera ni sehemu ya Uganda na ataichukua, ulitaka Mwl. Nyerere akae kimya tu na akubali tu? Hivi nyie huwa mnazaliwa na binadamu kweli?Hilo Jinga kweli katika watu duniani, sijaona.
Ukraine ilikuwa Paradise kabisa niliwahi kwenda kule mara mbili, nchi ilikuwa absolutely superb.
Huyo comedy alipandikizwa hapo na America ili wapate njia ya kupigana na Mrusi, na lilivyo jinga hilo Yahudi likawaingiza wa Ukraine cha kikanisa.
Ukraine imevurugwa kabisa nchi yao labda itahitajia miaka 25 au 30 irudi kama ilivyo kuwa.
Na bado wamshukuru Putin ana roho nzuri hawa ndio wakristo nawakubali sio kina Biden wajila nyaa.
Biden anafanana tabia na wafuasi wa Paulo hapa JF c wote karibu 90%
Hapo umeanza kueleweka.Ngadholya ngasu sha la Maria 😄
Umekosea uzi damu ya kunguniDunia Iko chini ya yule mwovu (shetani). Lazima vita viwepo duniani ili damu zimwagike masheitwani yanywe damu maana ndio chakula chao. Mwamini Yesu upate wokovu upate uhakika wa kuingia katika mbingu mpya na nchi mpya huko ndiko kwenye makao yetu sio katika dunia hii mbovu iliyopo sasa
Huwezi kuzidiwa akili na mkristo ukiwa muislamu tu tayari unakua na akili mbali kuliko kafiriHapo nimekubali niliteleza kuandika Crimea, uzuri wetu wafuasi wa Mtume Muhammad tukikosea tunakubali hata kuitwa wajinga asiye kubali kakosea hajifunzi, safi sana mara ya kwanza mkristo kanizidi akili 😄
KiajeAliyekuwa raisi wa UkraineV. Zelensky
Elensky kapindua katiba sio rahisi wa UkraineKiaje
Elensky kapindua katiba sio rahisi wa UkraineKiaje
Hiki ki Vietnam au?[emoji23][emoji23][emoji23]Elensky kapindua katiba sio rahisi wa Ukraine
Kuda wake wa urahisi ulikwisha maliza zamani sanaaa
Hiyo ni mifano miwili tofauti. Tafuta mwl wa Historia akupe lecture kuhusu historia ya Rusia na UkrainiMjinga ni Zelensky au wewe? Yaani mfano, unataka kusema alivyokuja Idd Amin Dadah akadai Mkoa wa Kagera ni sehemu ya Uganda na ataichukua, ulitaka Mwl. Nyerere akae kimya tu na akubali tu? Hivi nyie huwa mnazaliwa na binadamu kweli?
Tatizo la wasiojua humu JF ndio hujifanya wanajuuuuuuua!! Ahahahahaha!!!Hiyo ni mifano miwili tofauti. Tafuta mwl wa Historia akupe lecture kuhusu historia ya Rusia na Ukraini
Hilo Jinga kweli katika watu duniani, sijaona.
Ukraine ilikuwa Paradise kabisa niliwahi kwenda kule mara mbili, nchi ilikuwa absolutely superb.
Huyo comedy alipandikizwa hapo na America ili wapate njia ya kupigana na Mrusi, na lilivyo jinga hilo Yahudi likawaingiza wa Ukraine cha kikanisa.
Ukraine imevurugwa kabisa nchi yao labda itahitajia miaka 25 au 30 irudi kama ilivyo kuwa.
Na bado wamshukuru Putin ana roho nzuri hawa ndio wakristo nawakubali sio kina Biden wajila nyaa.
Biden anafanana tabia na wafuasi wa Paulo hapa JF c wote karibu 90%
Aliyekuwa raisi wa UkraineV. Zelensky katika mahojiano na BBC kuhusu vita baina yake na Russia amejikuta akitaka kutokwa na machozi pale alipobananishwa na mwandishi wa habari baada ya kutakwa kutaja idadi ya wanajeshi wake wanaolamba mchanga kila siku vitani.
Majibu ya Zelensky Yalikuw kama ifuatavyo.
"Najua tunapoteza wanajeshi wengi kila siku, na idadi hiyo inaendelea kuongezeka kila siku. Siwezi kutaja idadi kamili wakati huu kwa sababu sitaki Urusi ifahamu."
"I
Ni vyema sisi tubakie na yetu ya kibongo,hayo makubwa makubwa tuwaachie wajanja kama akina mr.Moscovischt.Na Russia imeharibiwa sana kuliko Ukraine ila kwakua ni taifa la kidikteita hawasemi ukweli
Ila Elensky anatutania kimsingi wanajeshi wa Ukraine hawafi
dogo muwe mnatulia kidogo ujuwe sometimes, binadamu anaweza kutype akandika hajakikusudia alicha taka kuandika, sababu watu kama sisi tuna deal na Dubai Financial Market (DFM).Hapo umeanza kueleweka.
Ndio manake Putin anaila Nato mdogo mdogo, huoni mpaa Biden kachoka katumia akili zote kuliko umri wake, sa akili zimemruka, mara awe kama wale robbat mara anajisemea hovyo Putin kiboko aisayWaukrain wa bongo walibisha sana pale mwanzo kuwa urussi anakaa mapeemaaa asubuhi,matokeo yake mrusi anawagaragaza pamoja na kibabu,macron chalii,sunaki chaliii,mjanja ni V.Orban na Fico pekee.
Wewe unaedhani zele siyo mpuuzi ndiye mjinga nambari oneni mjinga tu atamlaumu Zele kwa mgogoro kaukuta au kumlaum kwa nchi yake kuvamiwa