Zelensky kidogo amwage chozi katika interview na BBC

Kila askari mmoja wa urusi anaye uliwa basi ukrain inapoteza askari 14 hadi 18 sasa piga hesabu mfano urusi kapoteza askali 20000 basi ukrain inakuwa imepoteza 280000
Siyo 1:18 bali ni 1:50 hadi 90 (KIA\MIA). It's an established fact!

Kipanya anatakwimu zake za elfu moja na mia kwa mkupukuo wa askari KIA wa Russia.

Hii ina maana kwamba, kwa kuzingatia hoja yake, askari wa Ukraine KIA ni 5,000 hadi 9,000!
 
Maelezo mengi halafu hueleweki bado.
NB;Kuhusu "dogo",chungulia kwenye bukta utamuona.
 
Maelezo mengi halafu hueleweki bado.
NB;Kuhusu "dogo",chungulia kwenye bukta utamuona.
dogo mimi nawajua wadogo kwangu na wakubwa kwangu, mimi kwa tarifa yako we unaweza ukawa sawa na mtoto wangu yule wa mwisho ki umri.

Sina haja ya kufika huko eti nikuchungulie, huo ni mchezo wa kanisani. Waswahili wanamsemo wa kusema mwenye tabia anajulikana kwa action zake 😄
 
Russia na Ukraine ni mataifa ndugu lakini US kawachonganisha kwa kuweka pandikizi lao.
 
Ukraine ilivamiwa na Russia
 
Nakala Kwa kp kipanya44 aione kwenye jalada.
 
Russia kapoteza wanajeshi wengi Sana kuliko Ukraine Ila ni taifa LA kidictator hawasemi. Vita sio kitu kizuri
Vp Ukraine ambo ni taifa la kidemokrasia wamesema ??!!!
BTW Kama Ukraine hawaweki data zao wazi, hiyo idadi ya warusi wengi kufa kuzidi Ukraine umeitoa chumbani kwako au Kwa kp kipanya44?
 
Huyo comedy alipandikizwa hapo na America ili wapate njia ya kupigana na Mrusi, na lilivyo jinga hilo Yahudi likawaingiza wa Ukraine cha kikanisa.
We mbwa koko una maana gani !.
 
Rais mpuuzi wa karne!
Ameharibu nchi yake na kusababisha vifo vingi sana bila ulazima huo!
 
Past future tense is when a future action is so certain to occur that it's considered already accomplished in the past.
Examples: noun/ pronoun+will/shall + have/ has + verb in past participle.......
Au nimeenda chaka?
 
Ivi kiingereza kinakupa shida gani wewe au ulisoma jioni people tafsiri yake ni watu sio wanajeshi
halafu, ivi Putini anataja idadi halisi ya wanajeshi wake? ule msururu wa vifaru km64 uliotoka russia wale wanajeshi waliishia wapi kwani?
 
Damu ya yesu alikunywa nani?
 
alicheza kete mbaya sana kutoa sadaka nchi yake iliyojengwa kwa miaka mingi.
 
Ukraine ilikuwa Paradise kabisa niliwahi kwenda kule mara mbili, nchi ilikuwa absolutely superb.
Paradiso ikoje?
Ulienda Ukraine baada ya Crimea kuvamiwa na Putin mwaka 2014 au kabla yake?
Uliweza kufika Mashariki mwa Ukraine katika majimbo ya Donetsk na Luhansk yanayounda mkoa wa Donbas? Nayo yalikuwa kama paradiso??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…