Kwa nini umeamua kulichanganya suala la Ukraine na udini?!
Unataka watu wa upande mwingine nao waanze kuhoji nani alimtokea mtume wako pangoni na kama kweli kitabu chako kilishushwa au ni hadithi tu za ngano kama hadithi nyingine??
Lazima ipo reason flani ndio ikaingia dini, we hapa umeisha ingiza dini. Wewe fatilia story ya Mtume Muhammad kabla ya kupewa utume utafahamu maisha yake, hajawahi kusema uwongo.
Kabla ya kupewa utume alikuwa akitwa na warabu Sadiq Al Amin mana yake ni mwaminifu wa kweli, hata mke wake wakwanza bi Khadija Al Khuweled alimuajiri kazi wakati ule.
Bn
Bi Khadija alikuwa amefata dini ya kikristo vizuri tu., na alipo ona Mtume Muhammad ni mwaminifu yeye ndiye alimproposal Mtume Muhammad amuowe, na Mtume alikubali.
Wakati ule bi Khadija ana miaka 40 na Mtume ana miaka 25, lakini wakristo kama nyie huwa hamuongelei point hi 👋
Nyie huwa mnafata point za kumchafua Mtume Muhammad, eti alimuowa bi Aisha ana miaka 9 wakati hamna dali za ukweli, wakati ukweli bi Aisha alikuwa ana miaka 17 au 19 tena ni Mwenyezi Mungu ndio alimletea Ruia akamuowe bi Aisha. si kama mnavyo dai nyie.
Wakati hamuongelei mama yake Yesu alizaa ana umri wa miaka 12, tena kabla ya kuzaa alisha poswa na Joseph akiwa ndogo kabisa 😄
Kwa hio we si lazima umwamini Mtume Muhammad wacha sisi tuendelee kumuamini. Na we endelea kumuamini Mtume wako Paulo a.k.a Saul, afu sa chunguza story ya huyo Saul wako na Mtume Muhammad back ground zao, ndio utapata jawabu nani ni mkweli.