Zelensky: Tumewapa hasara kubwa hurusi

Zelensky: Tumewapa hasara kubwa hurusi

Narumu kwetu

JF-Expert Member
Joined
Jul 12, 2015
Posts
1,888
Reaction score
4,489
Ukrainian President Volodymyr Zelensky said the Ukrainian army has already destroyed more than 1,000 Russian tanks, nearly 200 Russian aircraft, and almost 2,500 armored fighting vehicles.

Despite these losses, Russian troops still have equipment to launch additional attacks, Zelensky said.

Source CNN today 1/05/2022

Kama kuna kaukweli basi urusi kazi wanayo,huwenda ikawa ndio maana wamekimbia kiaina wakidai lengo lao ni East.
 
Atoe kwanza boriti kwenye jicho lake ndipo aone kibanzi kwenye jicho la mwenzake! Yeye hakupata hasara? Haoni hasara aliyoipata? Angenyamaza kimya, sidhani kama ana haki ya kusema chochote katika hili! Upumbavu wake umeisababishia hasara kubwa nchi yake kwa faida za mabeberu wa magharibi!
 
Huyu jamaa ni mjinga na ujinga wake ndio umepelekea wananchi wake kufa kwa sababu zisizo na msingi.
Masharti ya russia yasingekuwa na madhara yoyote makubwa kwa taifa lake lakini kwa sababu ya pride na kushikiwa akili na westerners sasa hivi anakula hasara na wasio na hatia.

Kiongozi thabiti angetambua kwamba taifa sio rais tu bali kuna wananchi na angecalculate risk na madhara ambayo yangetokea baadae basi moja kwa moja angefanya maamuzi sahihi.

Wasanii wote naona hawapaswi kuwa viongozi sababu hawana nafsi ya uongozi.
 
Atoe kwanza boriti kwenye jicho lake ndipo aone kibanzi kwenye jicho la mwenzake! Yeye hakupata hasara? Haoni hasara aliyoipata? Angenyamaza kimya, sidhani kama ana haki ya kusema chochote katika hili! Upumbavu wake umeisababishia hasara kubwa nchi yake kwa faida za mabeberu wa magharibi!
Naona kama wewe ndo ungenyamaza kimya chief, yeye ana haki ya kujitapa.

1. Anatetea kiapo chake cha kulinda Ukraine.
2. Yeye ndo amevamiwa na sio kwamba amevamia.
3. Ukubwa wa jeshi la Urusi mpaka sasa ameweza kuwadhitibiti kwa sehemu Kyiv isichukuliwe.
4. Operation toka siku 3 mpaka sasa umeingia mwezi wa 3, ongera kwake kwa ujasiri huu.
5. Ameshambulia sehemu kadhaa kwa udogo Russia, na amepiga mpaka meli bora kabisa ya kisasa ya Kirusi yenye mifumo ya S300 defence system. Jamaa kajihidi mno.
6. Amedhihirisha kuwa russia wamemtia hasara sababu inaonekana hasara amepata yeye tu ila kumbe hata Russia amepata.
7. Amefanya ulimwengu ujue mrusi kuna mda mikwara mingi kama msukuma aloshinda tatu mzuka milioni 5 kumbe vitendo hamna kitu.

Mwisho kabisa huu ndo uanaume, sio unavamiwa na baunsa unakuwa mnyonge kumtoa mkeo na familia, mwanaume lazima upambane.
 
Mchape na kofi.
... Kiongozi kuna watu humu wanachojua ni kuropoka tu; eti wanamlaumu Zelensky kwa kuiingiza nchi yake vitani. Ukraine imevamiwa, walichotamani Zelensky aikabidhi nchi kwa Russia kama anatoa zawadi ya andazi labda. Unajiuliza hawa watu wanawaza nini hupati majibu.

Kiapo #1 cha mkuu wa nchi yoyote ni kuilinda nchi hadi tone la mwisho la damu ikibidi kufanya hivyo. So far so good, kwa mtazamo wangu, Amri Jeshi Mkuu Zelensky amefanya kazi nzuri sana kuilinda nchi yake dhidi ya nduli Putin!

Hawa hawa utasikia wanailaani Marekani kwa kuzivamia nchi za kiarabu ila wanaitukuza Russia kwa kuivamia Ukraine; ajabu sana. Ukitafakari sana unaweza kuona kilichowajaa vifuani!
 
Huyu comedian sijui anamdanganya nani sijui anajua dunia haioni nchi yake ilivyo chakaa
Mkuu unajua gharama ya kifaru kimoja cha urusi jaribu hata kugoogle ,kifaru kimoja ni billion 23 za kibongo ,sasa linganisha kifaru kimoja kinatoa gorofa ngap,hapo hujapigia gharama za helicopter, ndege,magar,na vifaa vingine tatizo wabongo mnajua kifaru ni bei ya vits.hapo sijajumuisha gharama za ile meli ya kisasa,vikwazo ,na asett zote ambazo ziko freezing zimetaifishwa
 
Naona kama wewe ndo ungenyamaza kimya chief, yeye ana haki ya kujitapa.

1. Anatetea kiapo chake cha kulinda Ukraine.
2. Yeye ndo amevamiwa na sio kwamba amevamia...
Hayo yooooote uliyoyaandika niliyaona pengine hata kabla hujayaona lakini nimechagua kumpuuza maana kama angekuwa na akili japo kidogo asingeweka rehani maisha ya wanançhi wake kwa faida ya Marekani na washirika wake! Ninachosema ni kwamba, angekuwa na akili pasingekuwa na vita!
 
Naona kama wewe ndo ungenyamaza kimya chief, yeye ana haki ya kujitapa.

1. Anatetea kiapo chake cha kulinda Ukraine.
2. Yeye ndo amevamiwa na sio kwamba amevamia.
...
Kikubwa tunaona kama Zelensky anapigana
Lkn ni pressure kubwa anayoipata to kwa Marekani
Marekani ndo mpango mzima na waliipanga hata kabla Mccain hajafariki
Hapo ni timing inatafutwa
Mrusi si Afghanistan,Zelensky yuko mtu kati anatumika na hana ujanja hata kiduchu

Ipo video Mccain na kiongozi 1 wa US wakiongea na wanajeshi wa Ukraine na kuwaahidi watawapa kila aina ya silaha na support yote ili kupigana Urusi

Imegoma tu kupanda hapa
 
Huyu jamaa ni mjinga na ujinga wake ndio umepelekea wananchi wake kufa kwa sababu zisizo na msingi.
Masharti ya russia yasingekuwa na madhara yoyote makubwa kwa taifa lake lakini kwa sababu ya pride na kushikiwa akili na westerners sasa hivi anakula hasara na wasio na hatia...
Acha kujitoa ufahamu bwashee yaan mwiz akuvamie alafu ukae kimya,Ukraine ni nchi huru ina haki ya kujilinda
 
McCain akiwa Ukraine
 
Acha kujitoa ufahamu bwashee yaan mwiz akuvamie alafu ukae kimya,Ukraine ni nchi huru ina haki ya kujilinda
Mkuu em ingia YouTube check hii
McCain,Lindsey Graham and Amy Klobochur in Ukraine

Hv watu ni wageni sana wa US,kwani US ndo msafi wa hii dunia?

Zelensky anatumika tuu
 
Acha kujitoa ufahamu bwashee yaan mwiz akuvamie alafu ukae kimya,Ukraine ni nchi huru ina haki ya kujilinda
Ukifikiri nje ya box utaelewa! Zele ni puppet leader kama mlivyo wengi hapa Afrika! Mawazo yako yananifanya niamini na wewe ni miongoni mwa viongozi vibaraka wa magharibi!
 
Back
Top Bottom